Jussa: Kuna watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko wanataka tuwafuate

Jussa: Kuna watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko wanataka tuwafuate

Ni kikao gani cha cdm kilikaa na kulazimisha ACT wasiingie kwenye maridhiano? Maana ACT walishirikj hadi uchaguzi, hapo cdm wanatokea wapi boss.

kauli za wafuasi wao, kauli zao viongozi wao zinadhihirisha hayo. kama ulimsikiliza vizuri mnyika akiwa kusini utaelewa.
 
kauli za wafuasi wao, kauli zao viongozi wao zinadhihirisha hayo. kama ulimsikiliza vizuri mnyika akiwa kusini utaelewa.
Kauli zinawazuia ACT? Kama kauli zinawazuia wasingeshiriki uchaguzi.
 
View attachment 3649141
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine.

Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama hicho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo, Agosti 12, 2026, akisisitiza kuwa ACT-Wazalendo itaendelea kusimamia ajenda zake badala ya kuwa mkia kwa kufuata ajenda za Vyama vingine.

Soma pia: Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Ismail Jussa amkosoa Mnyika

Jussa amesema ACT-Wazalendo kimejijenga kwa misingi na misimamo yake, huku ajenda za Chama hicho zikifahamika kwa Wananchi.

“Chama chetu kimenyooka sawa sawa na ajenda zetu zinafahamika,” amesema Jussa.

Kwa sasa hakuna Mzanzibar utakayempata hapo. Wote wako pamoja. Nasikia nyuma ya paxia wanampongeza DADA. Zitto kishepoteza Chama chske. Atabaki tu kucheza ngoma ya Wazanji.
 
Sahihi, ila waendelee huko huko ni haki yao. Lakini cdm wasiingie kwenye maridhiano kwa kuiga hayo ya CUF/ACT.
Chadema wasiingie kwenye hayo maridhiano ? Sawa towa sasa ushauri watumie njia gani ? Kufikia hayo MELENGO yao ?
 
Ndoa ya ACT - Wazalendo na CCM itaanza kufa mwaka 2028 na kuzikwa rasmi mwaka 2029 kabla ya uchaguzi mkuu.

Hii ni kwa mujibu wa OMO na hao watengenezaji wa filamu hiyo ya maridhiano ,ACT - Wazalendo watajifanya wanalalamika kuwa CCM imeshindwa kutekeleza yaliyomo kwenye mkataba wa maridhiano hayo.

Watatangaza kujitoa na kuitisha mikutano mbalimbali Unguja na Pemba kwa lengo la kujifanya wanailaumu serikali ya Zanzibar.

Lastly,wataingia tena kwenye uchaguzi kwa katiba isiyo na marekebisho na tume ya uchaguzi ileile.
Tunzeni kumbukumbu hii.
Sawa mnajimu wa jf tumekusikia
 
View attachment 3649141
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine.

Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama hicho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo, Agosti 12, 2026, akisisitiza kuwa ACT-Wazalendo itaendelea kusimamia ajenda zake badala ya kuwa mkia kwa kufuata ajenda za Vyama vingine.

Soma pia: Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Ismail Jussa amkosoa Mnyika

Jussa amesema ACT-Wazalendo kimejijenga kwa misingi na misimamo yake, huku ajenda za Chama hicho zikifahamika kwa Wananchi.

“Chama chetu kimenyooka sawa sawa na ajenda zetu zinafahamika,” amesema Jussa.
Na wewe jimilikishe kulamba asali. Si kila mtu anachagua atakacho.
 
Sio lazima muwafuate. Wafuateni CCM kwani nao wanakata mabadiliko. CHADEMA haihitaji ushirikiano na vyama vya mfukoni
 
Kauli zinawazuia ACT? Kama kauli zinawazuia wasingeshiriki uchaguzi.

zinawzuia nin mkuu? kauli za chadema zinadhihirisha anachokizungumza Jussa, kila mtu afanye siasa zake waache chuki na chokochoko kwa wenzao.
 
Hii ni nayo ni nguriwe poli hivi huyu jamaa mtoto kweli
 
zinawzuia nin mkuu? kauli za chadema zinadhihirisha anachokizungumza Jussa, kila mtu afanye siasa zake waache chuki na chokochoko kwa wenzao.
Jusa anajistukia baada ya wao ACT kujigeuza makondoo kwa ccm.
 
Back
Top Bottom