Jussa: Kuna watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko wanataka tuwafuate

View attachment 3649141
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine.

Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama hicho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo, Agosti 12, 2026, akisisitiza kuwa ACT-Wazalendo itaendelea kusimamia ajenda zake badala ya kuwa mkia kwa kufuata ajenda za Vyama vingine.

Soma pia: Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Ismail Jussa amkosoa Mnyika

Jussa amesema ACT-Wazalendo kimejijenga kwa misingi na misimamo yake, huku ajenda za Chama hicho zikifahamika kwa Wananchi.

“Chama chetu kimenyooka sawa sawa na ajenda zetu zinafahamika,” amesema Jussa.
Nilipogundua akina Jussa wametepeta nikipata mashaka makubwa.Nadhani kuna kitu kimefanyika kwao.
Yaani Yussa wa kuwa mpole na mtetezi wa CCM?
 
Ndoa ya ACT - Wazalendo na CCM itaanza kufa mwaka 2028 na kuzikwa rasmi mwaka 2029 kabla ya uchaguzi mkuu.

Hii ni kwa mujibu wa OMO na hao watengenezaji wa filamu hiyo ya maridhiano ,ACT - Wazalendo watajifanya wanalalamika kuwa CCM imeshindwa kutekeleza yaliyomo kwenye mkataba wa maridhiano hayo.

Watatangaza kujitoa na kuitisha mikutano mbalimbali Unguja na Pemba kwa lengo la kujifanya wanailaumu serikali ya Zanzibar.

Lastly,wataingia tena kwenye uchaguzi kwa katiba isiyo na marekebisho na tume ya uchaguzi ileile.
Tunzeni kumbukumbu hii.
 
Huyu mtu ni kama amesahau hao majambazi anaokaa nao mezani na kuwasifu ndio walikaribia kumuua ile October 2020 baada ya uchafuzi.

Sababu kuu ya wao kurudi na kujisahaulisha kama hakuna maovu ya hawa majambazi ni sababu wapo na dada yao kwa sasa ila walimpigia kelele jiwe sababu ni mtanganyika , mbona wakati wa jiwe na huyu dada yao mambo ni yaleyale ila kwa sasa ndio yamezidi kabisa.

View attachment 3649160View attachment 3649161View attachment 3649162
Huyu jamaa sio kabisa. Amesahau aliyofanyiwa.
 
Labda CUF, CHADEMA hajawahi kuwa na base Zanzibar
Ukisema base una maanisha nini kichama?
Mkuu na je base ya Cdm iko wapi nchi hii?
Salim mwl alikuwaje kiongozi wa Cdm nae ni wa zenji halafu zenj pasiwepo na base?
 
Na hapo nimeandika kiswahili bado hujaelewa..
Nimezungumzia kisiwani wewe umeleta habari za Nyamagana zimekujaje!
Wewe ndio empty set ambaye hujaelewa namaanisha nini, namaanisha hivi chadema hata isipopata hata kura moja Zanzibar kukiwa na level electoral field inashinda Urais mapema sana maana kura za Zanzibar ni inconsequential kwenye uchaguzi wa Rais ikiwa mtu atapigiwa kura na watu wa bara Kwa asilimia 60.
 
View attachment 3649141
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine.

Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama hicho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo, Agosti 12, 2026, akisisitiza kuwa ACT-Wazalendo itaendelea kusimamia ajenda zake badala ya kuwa mkia kwa kufuata ajenda za Vyama vingine.

Soma pia: Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Ismail Jussa amkosoa Mnyika

Jussa amesema ACT-Wazalendo kimejijenga kwa misingi na misimamo yake, huku ajenda za Chama hicho zikifahamika kwa Wananchi.

“Chama chetu kimenyooka sawa sawa na ajenda zetu zinafahamika,” amesema Jussa.
Kwenye stations kubwa za SGR unaweza kumuona binti mzuri na begi lake kubwa kubwa la kisasa, ukajua ana safari ya kikazi au weekend anaenda kusalimia familia kumbe ni muuza mbususu anabadili location ya duka lake.
 
Wewe ndio empty set ambaye hujaelewa namaanisha nini, namaanisha hivi chadema hata isipopata hata kura moja Zanzibar kukiwa na level electoral field inashinda Urais mapema sana maana kura za Zanzibar ni inconsequential kwenye uchaguzi wa Rais ikiwa mtu atapigiwa kura na watu wa bara Kwa asilimia 60.
Kweli wee ni zwazwa..
Uzi unazungumzia juu ya jussa juu ya upinzani kisiwani
Nami nikazungumzia juu ya kuuliwa kwa CUF NA CDM kisiwani wewe unalazimisha uzwazwa wako kuconnect na bara...
Hebu tafuta zwazwa mwenzio wa kushare nae uzwazwa wenu.
 
Wewe ndondocha ni jinga kama vichwa bapa wa Zanzibar, sasa chadema ikifa Zanzibar inaathirika nini? Chadema hata isipokuwepo Zanzibar inashinda uchaguzi wa nchi hii tena Kwa landslide victory, na kama huelewi na hapo endelea na undondocha wako bwege kabisa kama watoto wa mapepo wale uvccm.
 
Ubinafsi umewatawala.
Wanaona mabadiliko yakitokea sifa zitaenda CHADEMA.

Chadema ndio wabinafsi amabao wanaolazimisha kila awafate wanavyotaka wao na ikawakatalia wanaanza kutumia nguvu nyingi kukuchafua.
 
Sahihi, ila waendelee huko huko ni haki yao. Lakini cdm wasiingie kwenye maridhiano kwa kuiga hayo ya CUF/ACT.

ACT hawajawalazimisha Chadema waingie kwenye maridhiano, Lakini chadema wanalazimisha ACT wasusie maridhiano.
kwanini kila mtu asiachwe akafanya siasa amabzo mwenye anahisi ndio sahihi?
 
Nilipogundua akina Jussa wametepeta nikipata mashaka makubwa.Nadhani kuna kitu kimefanyika kwao.
Yaani Yussa wa kuwa mpole na mtetezi wa CCM?

wapi au lini Jussa amewatetea CCM?
 
ACT hawajawalazimisha Chadema waingie kwenye maridhiano, Lakini chadema wanalazimisha ACT wasusie maridhiano.
kwanini kila mtu asiachwe akafanya siasa amabzo mwenye anahisi ndio sahihi?
Ni kikao gani cha cdm kilikaa na kulazimisha ACT wasiingie kwenye maridhiano? Maana ACT walishirikj hadi uchaguzi, hapo cdm wanatokea wapi boss.
 
Back
Top Bottom