ACT mpango uliofanikiwa kuitoa CUF &CHADEMA kisiwani...
CCM kutoka mpaka ije ipasuke labda.
Honest labd CUF ila chadema haikuwa na mizizi znz, naona wanafuata the same script kwa kutengeneza chauma kujaribu kuipasua chademaACT mpango uliofanikiwa kuitoa CUF &CHADEMA kisiwani...
CCM kutoka mpaka ije ipasuke labda.
Kwamba kura za visiwani ambazo zinalingana na Jimbo la Nyamagana na misungwi ndio zikwamishe ccm kutoka madarakani, it must be a joke.ACT mpango uliofanikiwa kuitoa CUF &CHADEMA kisiwani...
CCM kutoka mpaka ije ipasuke labda.
Huyu jamaa ni chizi ndio maana wanataka kuingia kwenye genge la wahuni ili wapewe wizara.Huyu mtu ni kama amesahau hao majambazi anaokaa nao mezani na kuwasifu ndio walikaribia kumuua ile October 2020 baada ya uchafuzi.
Sababu kuu ya wao kurudi na kujisahaulisha kama hakuna maovu ya hawa majambazi ni sababu wapo na dada yao kwa sasa ila walimpigia kelele jiwe sababu ni mtanganyika , mbona wakati wa jiwe na huyu dada yao mambo ni yaleyale ila kwa sasa ndio yamezidi kabisa.
View attachment 3649160View attachment 3649161View attachment 3649162
Kama ccm wameshindwa chaumma atauweza mziki.Honest labd CUF ila chadema haikuwa na mizizi znz, naona wanafuata the same script kwa kutengeneza chauma kujaribu kuipasua chadema
Jusa na zito ni wajinga kama machawa ya ccm Yani ni majinga majinga tu hata ukiyasikiliza unaona mipasho tupu.Ubinafsi umewatawala.
Wanaona mabadiliko yakitokea sifa zitaenda CHADEMA.
Nakeleke nikisikia lafudhi ya kizenchi, sijui kwanini?View attachment 3649141
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine.
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama hicho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo, Agosti 12, 2026, akisisitiza kuwa ACT-Wazalendo itaendelea kusimamia ajenda zake badala ya kuwa mkia kwa kufuata ajenda za Vyama vingine.
Soma pia: Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Ismail Jussa amkosoa Mnyika
Jussa amesema ACT-Wazalendo kimejijenga kwa misingi na misimamo yake, huku ajenda za Chama hicho zikifahamika kwa Wananchi.
“Chama chetu kimenyooka sawa sawa na ajenda zetu zinafahamika,” amesema Jussa.
Huyu jamaa ni chizi ndio maana wanataka kuingia kwenye genge la wahuni ili wapewe wizara.
Watu gani hao ?Hakuna anayejimilikisha mabadiliko, ila kuna watu wako serious zaidi yao.
Chadema imefanya makosa mengi sana hata sasa inafanya hivyo hakuna jipya.Katika kosa ambalo cdm hawapaswi kulifanya ni kuungana na ACT kwenye safari ya mabadiliko. Kama kweli wote wanataka mabadiliko, kila mmoja ayatafute kwa mbinu zake, na sio kuungana maana itakuwa tatizo huko mbeleni. Ogopa watu wanaobabaikia vyeo.
Hiki kijamaa ni cha ovyo sanaHuyu mtu ni kama amesahau hao majambazi anaokaa nao mezani na kuwasifu ndio walikaribia kumuua ile October 2020 baada ya uchafuzi.
Sababu kuu ya wao kurudi na kujisahaulisha kama hakuna maovu ya hawa majambazi ni sababu wapo na dada yao kwa sasa ila walimpigia kelele jiwe sababu ni mtanganyika , mbona wakati wa jiwe na huyu dada yao mambo ni yaleyale ila kwa sasa ndio yamezidi kabisa.
View attachment 3649160View attachment 3649161View attachment 3649162