Jussa: Kuna watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko wanataka tuwafuate

Sio mara ya kwanza ACT kufanya maridhiano na CCM upande wa Zanzibar.
 
Nadhani siku hizi anatumia akiba yake ya ujinga aliouhifadhi kwa siku nyingi.
 
Kwamba kura za visiwani ambazo zinalingana na Jimbo la Nyamagana na misungwi ndio zikwamishe ccm kutoka madarakani, it must be a joke.
Na hapo nimeandika kiswahili bado hujaelewa..
Nimezungumzia kisiwani wewe umeleta habari za Nyamagana zimekujaje!
 
Honest labd CUF ila chadema haikuwa na mizizi znz, naona wanafuata the same script kwa kutengeneza chauma kujaribu kuipasua chadema
Chauma kukipasua Chadema hapana haitowezekana.
Njia ya kuipasua Chadema ni moja tu kutumia pesa ndani ya wanachama kuvurugana kinyume na hapo kuna ugumu.
 
..CCM wamejitikia KITANZI kwa mauaji ya OCT 29. Hawawezi kuchomoka mwisho wao umefika.
Tatizo moja kubwa ni kunakosekana watu wa kupress ndo maana hali hiyo itapoa.
Angekuwepo lissu Heche yaani wale viongozi wote wakawa wanapress mbona mpaka leo hali ingekuwa tofauti.
Sasa Heche anapress pekeake wanamchosha tu kina mnyika wao wamepoa.
 
Sahihi, ila waendelee huko huko ni haki yao. Lakini cdm wasiingie kwenye maridhiano kwa kuiga hayo ya CUF/ACT.
Chadema waliiga baada ya Mwenyekiti wao kutolewa gerezani kwa huruma za Mwenyekiti wa CCM.
 
Chadema waliiga baada ya Mwenyekiti wao kutolewa gerezani kwa huruma za Mwenyekiti wa CCM.
Hata hivyo bado aliyekuwa na hizo ni Mbowe na hili genge lake lililohamia Chauma sasa. Viongozi wengine waliokuwa hawakubalina ni hizo tabia walikaa kimya kwa sababu ya collective responsibility. Hata Mbowe kupoteza ushawishi ndani ya cdm hadi kupoteza uenyekiti ni sababu ya hayo maridhiano ya michongo.
 
Jusa issue zake ni za ZnZ na tayari wameisha ingia kwenye serikali jumuishi ya huko. Sasa hayavya Muungano ambako walishiriki uchafuzi huo, wanataka maridhiano ya nini au anataka kupitia Mlango huu kuona vya bara
 
Huyu atakuwa kapewa pande la steki au nundu
 
Heh heh hawa watu, wakati wa Magufuli na wengineo walijimilikisha agenda nyingi sasa wanachovya buyu la asali na mtu kwao wamekengeuka, historia ni mwalimu mzuri, msije kuanza kuloloma tena baada ya buyu la asali kuhamia kwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…