Ni kikao gani cha cdm kilikaa na kulazimisha ACT wasiingie kwenye maridhiano? Maana ACT walishirikj hadi uchaguzi, hapo cdm wanatokea wapi boss.
Kauli zinawazuia ACT? Kama kauli zinawazuia wasingeshiriki uchaguzi.kauli za wafuasi wao, kauli zao viongozi wao zinadhihirisha hayo. kama ulimsikiliza vizuri mnyika akiwa kusini utaelewa.
View attachment 3649141
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine.
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama hicho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo, Agosti 12, 2026, akisisitiza kuwa ACT-Wazalendo itaendelea kusimamia ajenda zake badala ya kuwa mkia kwa kufuata ajenda za Vyama vingine.
Soma pia: Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Ismail Jussa amkosoa Mnyika
Jussa amesema ACT-Wazalendo kimejijenga kwa misingi na misimamo yake, huku ajenda za Chama hicho zikifahamika kwa Wananchi.
“Chama chetu kimenyooka sawa sawa na ajenda zetu zinafahamika,” amesema Jussa.
Chadema wasiingie kwenye hayo maridhiano ? Sawa towa sasa ushauri watumie njia gani ? Kufikia hayo MELENGO yao ?Sahihi, ila waendelee huko huko ni haki yao. Lakini cdm wasiingie kwenye maridhiano kwa kuiga hayo ya CUF/ACT.
Sawa mnajimu wa jf tumekusikiaNdoa ya ACT - Wazalendo na CCM itaanza kufa mwaka 2028 na kuzikwa rasmi mwaka 2029 kabla ya uchaguzi mkuu.
Hii ni kwa mujibu wa OMO na hao watengenezaji wa filamu hiyo ya maridhiano ,ACT - Wazalendo watajifanya wanalalamika kuwa CCM imeshindwa kutekeleza yaliyomo kwenye mkataba wa maridhiano hayo.
Watatangaza kujitoa na kuitisha mikutano mbalimbali Unguja na Pemba kwa lengo la kujifanya wanailaumu serikali ya Zanzibar.
Lastly,wataingia tena kwenye uchaguzi kwa katiba isiyo na marekebisho na tume ya uchaguzi ileile.
Tunzeni kumbukumbu hii.
Chukua note book weka hiyo kumbukumbuSawa mnajimu wa jf tumekusikia
Na wewe jimilikishe kulamba asali. Si kila mtu anachagua atakacho.View attachment 3649141
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine.
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama hicho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo, Agosti 12, 2026, akisisitiza kuwa ACT-Wazalendo itaendelea kusimamia ajenda zake badala ya kuwa mkia kwa kufuata ajenda za Vyama vingine.
Soma pia: Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Ismail Jussa amkosoa Mnyika
Jussa amesema ACT-Wazalendo kimejijenga kwa misingi na misimamo yake, huku ajenda za Chama hicho zikifahamika kwa Wananchi.
“Chama chetu kimenyooka sawa sawa na ajenda zetu zinafahamika,” amesema Jussa.
Inatakiwa katiba mpya, sio utapeli wa maridhiano.Chadema wasiingie kwenye hayo maridhiano ? Sawa towa sasa ushauri watumie njia gani ? Kufikia hayo MELENGO yao ?
Kauli zinawazuia ACT? Kama kauli zinawazuia wasingeshiriki uchaguzi.
Jusa anajistukia baada ya wao ACT kujigeuza makondoo kwa ccm.zinawzuia nin mkuu? kauli za chadema zinadhihirisha anachokizungumza Jussa, kila mtu afanye siasa zake waache chuki na chokochoko kwa wenzao.
Sawa ila katambi amesema yafanyike maridhiano kwanza ndio badaae ifate hiyo katiba mpyaInatakiwa katiba mpya, sio utapeli wa maridhiano.
Katambi ni Swala mdogo sana kwenye upatikanaji wa katiba.Sawa ila katambi amesema yafanyike maridhiano kwanza ndio badaae ifate hiyo katiba mpya