just for fun: Ni kitu gani ulifanya ukiwa shule ukikikumbuka hadi leo unacheka peke ako?

Niliongeza cha juu kwenye hela ya mock kidato cha nne- 2004.Niko class nashangaa bibi anakatiza kwenye viunga vya shule.Suluhisho likawa ni kutoka mkuku tu( nilikuwa sipatani na viboko kabisa).Huku nyuma nikatangazwa parade nimekula hela ya mstaafu.
 
Causes of civil war in Africa,
trabalisim lazima iwepo iwe point ya kwanza kabisa,

Je,
unakumbuka Land alianation ilikua ni point muhimu sana kwenye swali gani katika history?

au bado hujabadilika gentleman mpaka chuo?
 
Causes of civil war in Africa,
trabalisim lazima iwepo iwe point ya kwanza kabisa,

Je,
unakumbuka Land alianation ilikua ni point muhimu sana kwenye swali gani katika history?

au bado hujabadilika?
1. Lack of capital
2. Poor Infrastructures
3. Poor investment policies
4. Lack of education
5. Lack of patriotism
6. Lack of technologies

Hapo nimemaliza, ninauhakika wa B kabisa
 
 
Hivi vyoo vya sink vya kukalia, rafiki yangu alikuwa hapendi kbs kukaa akihofia maradhi, (vyoo vya wanafunzi) hivyo alichokifanya siku hiyo akapanda juu kbs akachuchumaa juu ya sink, kumbe sink ilikuwa imeshaoza Kwa chini, ghafla ikavunjika akashuka nayo mzima mzima akapitia na mlango wa choo ambao pia ulikuwa umechakaaumeegeshwa tu akaanguka nje akiwa mtupu na kinyesi chake! Hapo tuko form 2 boarding school. Nilicheka kidogo nizimie siku hiyo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Niliongeza cha juu kwenye hela ya mock kidato cha nne- 2004.Niko class nashangaa bibi anakatiza kwenye viunga vya shule.Suluhisho likawa ni kutoka mkuku tu( nilikuwa sipatani na viboko kabisa).Huku nyuma nikatangazwa parade nimekula hela ya mstaafu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Asee asubuh nimechelewa shule af sku iyo mwalimu mkuu alikuwa anakipindi cha hesabu asubuhi sku hyo nilikuwa nimevaa raba za mzee wangu we nlikula makofi nkarudi home.
 
Nina visa vingi, ila hiki ndo kinanipaga hype mnoo.
Primary, toka drs la 1 had la 7, nilikua nashika nafas ya kwanza tu.
Sasa tukiwa drs la 5 walihamia wanafunzi 2 mtu na dogo ake wote tulisoma drs 1, sasa kunae m1 huko walikotoka ndo alikua anashika hilo drs lao,

Kuja pale kukuta mie ndo kipanga wa drs, asianze kuhamaki, mara oooh haiwezekan, anajifaragua eti kuanzia sahiv class ntashikilia mie, yaan huyu ndo awe genius wa drs sikubali, na vile eglish aliiweza kdg, aliona kamaliza, bas coca mie zangu kimya nione huyo mgeni ana jambo lipi la kutisha,

Kuja mtihani, matokeo yalivyotoka, alinipita somo la English tyuuh mengine yote nilimtupilia kulee. Nikaibuka zangu kidedea, toka pale ikaanza vita baina yake na yangu, nlikua nampita tUuh, kubwa zaidi, ni NECTA drs la 7, dadekii nikaibuka zangu na marks 223, yeye 197, mwenzake nikachaguliwa shule ya bweni kitaifa, yeye ya kata.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilimyoosha yule kijana, na hanisahau, alikua ananidharau kwa jinsi nilivyo, asijue akili na ufahamu nimebarikiwa.
 


Mimi nilikua na montress
Always wa kwanza since day one had tunaondoka darasa la saba .. anaitwa Irene. Bas ndo kilikua kidem Chang .... Monitor akiniandika jina kinamwambia anifute ...

Sasa NECTA wakatukaliza kwa alphabet nikakosa support nikapata wastan wa 39 chenyewe kikapata 47 kikaenda vipaji Mimi kata ....

Wahuni wa vipaji wakaji sonsomolea huko. Leo nakakumbuka na na ujinga wake wa kunishikana shikana class na kunipeana majib. ...

Shenzi zake mbwa yule .... Aliniharibu. πŸ˜‚πŸ˜‚β€οΈβ€οΈπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…