Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Tactics used to impose Direct colonial administrative systemkwa mfano swali gani kwa faida ya wadau gentleman
Tactics used to impose Direct colonial administrative systemkwa mfano swali gani kwa faida ya wadau gentleman
wacha nimchangamshe bongo kidogo back bencher mwenzio gentleman 🐒Gentleman unambana sana kijana gentleman ...
haha history za kukariri hazinichengi maana mpaka namaliza O-level sikuwahi kupata B,C,D, wala F licha ya utukutu wangu!wacha nimchangamshe bongo kidogo back bencher mwenzio gentleman
Nimecheka hatariii.Mimi nilikua na montress
Always wa kwanza since day one had tunaondoka darasa la saba .. anaitwa Irene. Bas ndo kilikua kidem Chang .... Monitor akiniandika jina kinamwambia anifute ...
Sasa NECTA wakatukaliza kwa alphabet nikakosa support nikapata wastan wa 39 chenyewe kikapata 47 kikaenda vipaji Mimi kata ....
Wahuni wa vipaji wakaji sonsomolea huko. Leo nakakumbuka na na ujinga wake wa kunishikana shikana class na kunipeana majib. ...
Shenzi zake mbwa yule .... Aliniharibu. 😂😂❤️❤️😂😂
Abeeeh wizzo.Coca eeeh
back bencher umegoogle nini au imetoka moja kwa moja from head?Tactics used to impose Direct colonial administrative system
wacha nimchangamshe bongo kidogo back bencher mwenzio gentleman 🐒
back bencher umegoogle nini au imetoka moja kwa moja from head?
maji maji war ilitokea lini na ilipiganwa wapi baina ya nani na nani?🐒
haha me back bencher kweli yaani iwe kwenye daladala, darasani, kanisani nakaa back back there ila hilo swali dogo sana mkuu umeniunderestimate sana 😀back bencher umegoogle nini au imetoka moja kwa moja from head?
maji maji war ilitokea lini na ilipiganwa wapi baina ya nani na nani?
Nilienda likizo na mama Mbeya,wanataka nisome huko primary,nikaingia ofisi za walimu nzuri sana!Wakanionyesha Darasa duuh,nikagoma nikasema nataka nisome kwa walimu!Nikarudia na mama na baba Dar!Sio Kila mtu ana kumbukumbu nzuri za utoto wake. Wengine tumepitia life gum Sana utotoni.
lakini hata hivyo hatukosi Jambo la kutufurahisha Kila tukumbukapo maisha ya utoto tukiwa shule.
Jambo linalonifurahisha nikiwa Mdogo ni pale nilipo mpiga mwalim Kofi kiganjani pake nilipohisi kanichapa kwakunionea ... Yeye akiwa ameketi kwenye dawati lake pale mbele tukiwa tunasahihisha daftari.
I was very young (2001) and I did it bila hasira Wala Nini ... Nilimwambia mwalim "acha ukorofi"
basi darasa likacheeeeeka
😂😂😂😂😂
Mwalim akaniitia wababe wa darasa wakanishika juu juu akanitandika viboko hadi nikajikojolea bhana....
Nililia Sana and still aliposema niseme nimekosa Nikamwambia mwalim "wewe ni mgomvi Sana" .....
Ilikuwa (2001) Kwakweli Walim walikua wanaogopwa Sana back then Sasa hiyo kitu nilimfanyia mwalimu wangu na yeye alivoniadhib kikatili ilivuma karib mitaa yote na shule zingine zote.
Ikafika time Hadi Mimi nikaanza kifurahi na kutaka kusikiliza mtu akihadithia the way nilimrudishia mwalim and nayeye alivonisurubu ...
From the day yule mwalim akawa ananiita "Mwanang" na alinipa kipaumbele kwenye Kila kazi darasani ... Nikikosa alinichapa kikatili Sana Ila alikua ananipemda kwa misimamo yangu.
Hadi namalizia standard seven 2007 alikuwa kolikoli na Mimi.
Alikuja kufariki 2017 kwa ajali akiwa amesalia myezi kadhaa kustaafu. And nilikuwa nna mawasiliano nae mazuri still ...
How bout you .. share tukio lako turefresh akili zetu ....
Jamaa kichwa mbayaa kweli😅Mimi kuna jamaa anaitwa calvin rest in peace. Tulipigana alinitwanga kweli kweli nikaenda home kuchukua kisuu kwenda kumalizana nae bahati sister aliniona akanifata nyuma ikawa bahati.
dah,Back benchers wenzangu nikiwa o-level siku nimetoroka basi Jama Ile rokoo ikapita bwana. Wao wakasema nimefiwa na baba angu ambae ndo ananisomesha ....
Basi nikachangishiwa na rambi rambi wakanambia nisije siku tatu. Af zile hela waliponipa nikagoma kuzipokea ..
Bas wanaume wote class tukaenda kwa jamaa etu mmoja tuka andaa msos wa pamoja tukala.
ama kweli jasiri haachi asili,haha me back bencher kweli yaani iwe kwenye daladala, darasani, kanisani nakaa back back there ila hilo swali dogo sana mkuu umeniunderestimate sana 😀
sakramenti siijui mkuu!ama kweli jasiri haachi asili,
hadi kanisani hutamani kabisa siti za karibu na madhabahuni Lazima ukae back bench?
hutaki kuungama au?
na kwenye sakramenti usikute pia unaenda kupokea wa mwisho