just for fun: Ni kitu gani ulifanya ukiwa shule ukikikumbuka hadi leo unacheka peke ako?

wacha nimchangamshe bongo kidogo back bencher mwenzio gentleman
haha history za kukariri hazinichengi maana mpaka namaliza O-level sikuwahi kupata B,C,D, wala F licha ya utukutu wangu!
 
Nimecheka hatariii.
 
Tactics used to impose Direct colonial administrative system
back bencher umegoogle nini au imetoka moja kwa moja from head?

maji maji war ilitokea lini na ilipiganwa wapi baina ya nani na nani?πŸ’
 
wacha nimchangamshe bongo kidogo back bencher mwenzio gentleman πŸ’

Back benchers wenzangu nikiwa o-level siku nimetoroka basi Jama Ile rokoo ikapita bwana. Wao wakasema nimefiwa na baba angu ambae ndo ananisomesha ....

Basi nikachangishiwa na rambi rambi wakanambia nisije siku tatu. Af zile hela waliponipa nikagoma kuzipokea ..
Bas wanaume wote class tukaenda kwa jamaa etu mmoja tuka andaa msos wa pamoja tukala.
 
back bencher umegoogle nini au imetoka moja kwa moja from head?

maji maji war ilitokea lini na ilipiganwa wapi baina ya nani na nani?πŸ’



Nimekumbuka mkwawa mkwavinyika .. MWAMBA alipigana for ten consecutive years .. wajerumani wakaleta mkuu wao wa majeshi ili tu apambane na mkwawa lakini wapi.

Japo maji maji ilikua ni ya wangoni huko chini.
 
back bencher umegoogle nini au imetoka moja kwa moja from head?

maji maji war ilitokea lini na ilipiganwa wapi baina ya nani na nani?
haha me back bencher kweli yaani iwe kwenye daladala, darasani, kanisani nakaa back back there ila hilo swali dogo sana mkuu umeniunderestimate sana πŸ˜€
 
Mimi kuna jamaa anaitwa calvin rest in peace. Tulipigana alinitwanga kweli kweli nikaenda home kuchukua kisuu kwenda kumalizana nae bahati sister aliniona akanifata nyuma ikawa bahati.
 
Nilienda likizo na mama Mbeya,wanataka nisome huko primary,nikaingia ofisi za walimu nzuri sana!Wakanionyesha Darasa duuh,nikagoma nikasema nataka nisome kwa walimu!Nikarudia na mama na baba Dar!
 
Mimi kuna jamaa anaitwa calvin rest in peace. Tulipigana alinitwanga kweli kweli nikaenda home kuchukua kisuu kwenda kumalizana nae bahati sister aliniona akanifata nyuma ikawa bahati.


Tajiri.

Tajiri ungekua jela saiv tajiri. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
dah,
mlikua makatili sana nyie back benchers dah,

yaani mnaua wazazi kwa script tu, watu ambao wapo hai na wanaendelea na shughuli zao vizuri tu huko mitaani dah !

halafu mnaenda kumaliza matanga kwa jamaa yenu kwa kula msosi wa nguvu kana kwamba nyinyi ni wafiwa na waombolezaji? aise! DahπŸ’
 
haha me back bencher kweli yaani iwe kwenye daladala, darasani, kanisani nakaa back back there ila hilo swali dogo sana mkuu umeniunderestimate sana πŸ˜€
ama kweli jasiri haachi asili,

hadi kanisani hutamani kabisa siti za karibu na madhabahuni Lazima ukae back bench?

hutaki kuungama au?

na kwenye sakramenti usikute pia unaenda kupokea wa mwisho πŸ’
 
ama kweli jasiri haachi asili,

hadi kanisani hutamani kabisa siti za karibu na madhabahuni Lazima ukae back bench?

hutaki kuungama au?

na kwenye sakramenti usikute pia unaenda kupokea wa mwisho
sakramenti siijui mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…