just for fun: Ni kitu gani ulifanya ukiwa shule ukikikumbuka hadi leo unacheka peke ako?

Mwamba frani alikuwa mjinga Sana Yan alikata gogo kwenye sufuria la mzee Fran muuza mihogo kibandani kwake hrf akakoroga na mwiko siku ya pili yake tukakuta mzee amepikia sufuria lile lile na mwiko ule ule tulicheka saana harafu tukanunua na sisi mihogo tukala ni usenge Sana akili za mavi
 
Shule ya msingi darasa la tatu kuna mwalimu aliniita nguruwe.


Nadhani NI kwasababu nilikuwa mnene Sana.


Siku-mind.

Kufika la Saba.

Mwalimu alipewa taarifa binti Yake kapakatwa darasani ilikuwa Saa 5 asubui wakati wa jmosi test Kwa class 7 watakaofanya mtihani WA MWISHO .


Show ilipigwa madarasa ya nyuma kulee.( Chamwino primary school madarasa ya( iii)


Ebwanaee kuna mwamba alitubamba Bwana wakati show inaendelea.

Mwamba news akaipeleka viral kwamba naima kanyooshwa na nguruwe WA darasa.

SASA ticha kusikia tu mwanae Bikra ndo imetolewa na nguruwe .

Akanga'aka.

Kesi ikabamba

Siku naulizwa vipi?

Nikajibu.




Unawajua nguruwe wewe?
 
Causes of civil war in Africa,
trabalisim lazima iwepo iwe point ya kwanza kabisa,

Je,
unakumbuka Land alianation ilikua ni point muhimu sana kwenye swali gani katika history?

au bado hujabadilika gentleman mpaka chuo?
Hahahah! Na umejibu ki-gentlemen
 
Mimi kwa kweli matukio yangu yalikuwa unique, nikisimulia tu niliosoma nao watajua ni Mimi.


Ila Kuna jamaa aliandika barua ya kumtongoza demu tukiwa darasa la 4. Kwenye hiyo barua aliandika maneno mazito sana. Yule binti akapeleka hiyo barua kwa mwalimu wa darasa, na yeye akaipeleka kwa mwalimu mkuu. Igagongwa kengele shule nzima assembly. Mwenye barua akaitwa mbele asome barua yake. Akawa akifika sentensi flani anairuka anaendelea mstari wa mbele. MWalimu anamsimamisha anamtandika viboko vitatu anamwambia aanze upya kusoma. Tulikaa hapo nusu saa. Jamaa Kila akifika ule mstari anauruka. Fimbo zilivozidi walimu wanapokezana kumchapa akaona isiwe tabu, watamuua bure. Akatusomea tu. Alikuwa kaandika "Nakupenda sana naomba unipe papuchi yako nikufuck" (KWA MANENO HALISI).

Tuliogopa balaa. Zamani maneno mazito tulikuwa hatuyajui. Sjui jamaa alisikia wapi.
 
Hahahaha!
 
Hahaha! Noma sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…