Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

Kwakuwa ww Paskali unamsujudia rais, basi unaamini kila mtu anamsujudia kama ww. Kwa taarifa yako sisi wengine hata kuona tu hiyo sms kwenye simu zetu ilikuwa ni bonge la kero.
 
Ningemjibu hivi "shindwa na ulegee!"
 
Mayala naona umekuwa mshamba aisee.Tuko nchi ya kidigutari kwa hiyo Mie naona kawaida tu!!
Yes kwenye ulimwengu wa kidigitali just an SMS ni jambo la kawaida sana, Tanzania tumetawaliwa na marais 6, jee uliwahi kupata an SMS kutoka kwa Rais mwingine yoyote wa JMT kwenye simu yako?. To me this is the first time!, hivyo this is a history in the making!.
P
 
Wana jf wenzangu kulikoni mmechukia sana ndugu yetu Pascal Mayalla ?
Je kutaka uteuzi ni kitu kibaya?
Mtu anataka alitumikie taifa tena kwa uzi kuliko hata wale wa siasa chafu why tumbeze kiasi hiki?

Go Pascal
Usikate tamaa hakika asubuhi yako inakuja.
Usiogope matukano.
Hata biblia inasema..atakayevumilia...
 
Rais ni hadhi ya juu sana katika uongozi, ni kweli kabisa unapo bahatika tu hata kumshika mkono Rais wako unajisikia fahari sana na kiwewe kilicho changanyika na furaha.
unajihisi kuheshimiwa/kuheshimika sana.

Ndio maana huwa nasema mara zote haswa kwa wale wote wanao pata heshima ya kuteuliwa na Rais, wanapaswa watimize wajibu wao kwa weledi na uwajibikaji wa hali ya juu sana maaana kuna watanzania wangapi wameachwa hadi akakuteua wewe!! sasa wasio jielewa huwa wanalewa misifa na kujisahau kama kuna watanzania wengi wenye sifa zaidi.
 
Kwakuwa ww Paskali unamsujudia rais, basi unaamini kila mtu anamsujudia kama ww. Kwa taarifa yako sisi wengine hata kuona tu hiyo sms kwenye simu zetu ilikuwa ni bonge la kero.
Mkuu mwakijembe, ni maneno kama haya yalimponza Blaza!. Anayeabudiwa na kusujudiwa ni Mungu pekee na sio binadamu yeyote hata awe Nani!.
Msitake kumponza Mama kama mlivyomponza Baba!. Mama ni mchamungu wa kweli mwenye hofu ya Mungu, hahitaji kuabudiwa, sujudiwa wala Kutukuzwa!.
P
 
Mkuu unawaza kuteuliwa tu buyu la asali ulilopewa halitoshi unataka kutangazwa kabisa basi sawa kazana kuimba mapambio kwa maslahi ya Chama Chetu Mizigo utakula Jimbo au ubalozi
 

Kwenda zako pumbavu sana [emoji35] kutumiwa mesej na huyo ajuza bi tozo ndio uweweseke ? Majizi wahedi nyie maCCM !
 
Ningemuuliza nani kakupa namba yangu?
 
Pasikali soma hiyo [emoji3516] comment vizuri between lines kama ni mkristo wa kweli kabla jua halijazama utakua kanisani unajutia dhambi Zako
 
Mhurumie mkuu, maneno makali sana haya kwa mtu mzima kama Pasco.
Njaa inamtesa sana
Watu Kama hawa walikuwa vibaraka wa wakoloni wakati wa ukoloni walikuwa busy kuwalamba makalio wakoloni huku Waafrika wenzao wakilia na kusaga meno . Inabidi autumie uandishi wake vizuri kwa kuandika changamoto mbalimbali za wananchi na sio kutwa kulamba makalio ya watawala ili apate mlo wa kujaza tumbo lake huku jamii yake ikiendelea kuumizwa na hao hao watawala anao walamba makalio.

Mwalimu alisema Kuna wana siasa malaya malaya na Tanzania hii kwa sasa tuna waandishi malaya malaya, wasomi malaya malaya kutwa kulamba makalio ya watawala ili wapate teuzi huku jamii zao zikiendelea kutaabika na hao hao watawala ni Jambo linalo kera kwa Sana.
 
Mayala maana yake ni njaa, jitihada zako za kubadili njaa kuwa shibe nashauri zianze na jina lako kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…