Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhurumie mkuu, maneno makali sana haya kwa mtu mzima kama Pasco.Wewe jamaa ni li pumbavu sana, upo kama malaya malaya hivi kutwa kulamba lamba makalio watawala.
Ningemjibu hivi "shindwa na ulegee!"Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.
Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Yes kwenye ulimwengu wa kidigitali just an SMS ni jambo la kawaida sana, Tanzania tumetawaliwa na marais 6, jee uliwahi kupata an SMS kutoka kwa Rais mwingine yoyote wa JMT kwenye simu yako?. To me this is the first time!, hivyo this is a history in the making!.Mayala naona umekuwa mshamba aisee.Tuko nchi ya kidigutari kwa hiyo Mie naona kawaida tu!!
Mkuu mwakijembe, ni maneno kama haya yalimponza Blaza!. Anayeabudiwa na kusujudiwa ni Mungu pekee na sio binadamu yeyote hata awe Nani!.Kwakuwa ww Paskali unamsujudia rais, basi unaamini kila mtu anamsujudia kama ww. Kwa taarifa yako sisi wengine hata kuona tu hiyo sms kwenye simu zetu ilikuwa ni bonge la kero.
Mkuu unawaza kuteuliwa tu buyu la asali ulilopewa halitoshi unataka kutangazwa kabisa basi sawa kazana kuimba mapambio kwa maslahi ya Chama Chetu Mizigo utakula Jimbo au ubaloziKwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.
Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.
Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio penati yake mwisho, akikosa hapo basi tena
Jamani rais Mwinyi ananisumbua na txt zake kila saa nifanyeje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimechoka na txt za sensa nimamua tu kublock nisubiri kuhesabiwa
Unajikomba sana kisa ubunge wa EALA
Ningemuuliza nani kakupa namba yangu?Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.
"Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi".
Mimi nimeupata ujumbe huu, vipi wewe mwenzagu, pia umeupata?. Umejisikiaje kupokea SMS ya Rais wa JMT kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu?.
Nani mwenye kumbukumbu yoyote ya Rais wa JMT kuwahi kutuma SMS yoyote kuhusu jambo lolote at person level "
Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha..."
Kwa vile tunatofautiana uelewa, just imagine ungekuwa na uwezo wa kuijibu hii SMS ya Rais Samia, ungekuwa na jambo lolote la kumweleza Rais Samia, ungemwambia nini?.
Mimi kwa upande wangu, ningemsalimia, ningempongeza kwa kazi nzuri, na amini usiamini pia ningemweleza kuwa sitaki uteuzi wowote wa hisani, ila nikiomba kumsaidia kazi katika eneo lolote, kama nina uwezo na eneo hilo, na ninakidhi sifa na vingezo, akubali tumsaidie, tutamsaidia sana na kulisaidia sana taifa letu hili!.
Wewe ungemwambia nini Mama Samia?.
Naendelea kusisitiza tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa
Asante Rais Samia kwa SMS ya sensa.
Nawatakia Sensa Njema.
Paskali.
Ulikuwa unajipendekeza wala hajawahi kukuomba uzisome[emoji23][emoji23][emoji23]Kuanzia Leo naaapa kwamba kamwe sisomi nyuzi za mayala amegeaduate PhD ya ......wa .
Pasikali soma hiyo [emoji3516] comment vizuri between lines kama ni mkristo wa kweli kabla jua halijazama utakua kanisani unajutia dhambi ZakoYani wewe jamaa kadiri siku zinavyosogea unashuka standards.
Yani push messages ndio unadanganya watu zimetoka moja kwa moja kwa rais?
Hizo texts si ndio mlikua mnazitumia kwenye uchafuzi mkuu za kumuombea kura jiwe baada ya kampuni za simu kushurutishwa na mkalabel jina la Tundu Lissu as "spam" kuelekea zoezi .
Historia huwa haidanganyi ila ni gharama kubwa kutetea uongo.
This is embarrassing and too low from you.
Watu Kama hawa walikuwa vibaraka wa wakoloni wakati wa ukoloni walikuwa busy kuwalamba makalio wakoloni huku Waafrika wenzao wakilia na kusaga meno . Inabidi autumie uandishi wake vizuri kwa kuandika changamoto mbalimbali za wananchi na sio kutwa kulamba makalio ya watawala ili apate mlo wa kujaza tumbo lake huku jamii yake ikiendelea kuumizwa na hao hao watawala anao walamba makalio.Mhurumie mkuu, maneno makali sana haya kwa mtu mzima kama Pasco.
Njaa inamtesa sana
Mayala maana yake ni njaa, jitihada zako za kubadili njaa kuwa shibe nashauri zianze na jina lako kwanza.Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!.