wewe ungekuwa jaji ungehukumu mtu anyongw tangu siku ile ileAliemsukuma ahukumiwe vyema
inawezekana alimsukuma kidogo tena kimahaba, lakin kwa kuwa marehem alikuwa amelewa alidondoka na kujiumizaAlimsukuma akaangukia kisogo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Justice ya nn wakati alikuwa anafaidi utamu ule... Mwacheni mwenzenu naye aishi kwa amani
Mahakama tusiingilie acha wafanye kazi yaowewe ungekuwa jaji ungehukumu mtu anyongw tangu siku ile ile
Haikua mahaba dogo alikua anakimbiza sim jamaa asione alikua anaongea na nani kwani angempa sim aone ingekuaje?inawezekana alimsukuma kidogo tena kimahaba, lakin kwa kuwa marehem alikuwa amelewa alidondoka na kujiumiza
hivi kwa nini imechukua muda mrefu sana hadi hii kesi kuamshwa tena?Mahakama tusiingilie acha wafanye kazi yao
Hakuna anayemwandama.sidhani kama ni kweli yule mtoto alijua yatatokea yale, hata kama asingemsukuma kama inavyodaiwa bado mngemuandama
Rest in peace Steven,Ninaomba kwa Mungu haki itendeke.Aliyesababisha kifo chake nae aumie kwa kupata adhabu kubwa kwa mujibu wa sheria.
Jamaa angekuwa hai sijui wangedai afungwe 30yrs kwa ubakaji?!sidhani kama ni kweli yule mtoto alijua yatatokea yale, hata kama asingemsukuma kama inavyodaiwa bado mngemuandama
Ushahidi kaka ulikuwa haujakamilikahivi kwa nini imechukua muda mrefu sana hadi hii kesi kuamshwa tena?
Kwann marehemu alikua anamraghai mtoto under 18yrs, marehemu alikosa wakubwa wenzie wa kuwakaza???Aliemsukuma ahukumiwe vyema