Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

Justice for Kanumba: Wale marafiki, mashabiki wa Kanumba tujumuike hapa

inawezekana alimsukuma kidogo tena kimahaba, lakin kwa kuwa marehem alikuwa amelewa alidondoka na kujiumiza
Haikua mahaba dogo alikua anakimbiza sim jamaa asione alikua anaongea na nani kwani angempa sim aone ingekuaje?
 
Rest in peace Steven,Ninaomba kwa Mungu haki itendeke.Aliyesababisha kifo chake nae aumie kwa kupata adhabu kubwa kwa mujibu wa sheria.

unafikiri SK hapo alipolala hata kama angekuwa ana ufahamu angependa huyo dada apate adhabu? mbona ni kama wewe ndio umeuwawa? aliyetendwa si SK?
 
850932905933278efeeb418189c9c200.jpg
 
Kanumba ulipigana vita , mwendo ukaushinda na safari ukaimaliza Rest in eternal peace kanumba
 
[emoji23][emoji23] maisha bila unafiki hayaendi,hii haki mnayoidai ni baada ya kesi kufufuka mbona hizi kelele hamkupiga siku za nyuma hapa maumivu yanakuja kwa kumuona dada jambazi anakula bata mtaani heee heeee ndio maisha yalivyo jamani.
 
Mkuu unashindwa hata kuandika jina lake kwa kuanza na herufi kubwa, kweli utaweza kutafuta justice?
 
Alikuwa na kwaida ya kunipiga kila akilewa,je,hukujipanga kummaliza siku hiyo baada ya kuchoka vipigo vyake? Kwamba mimi mdogo na angeweza kufanya lolote kwa kuwa yeye ndo alikua na siraha.Je,haukumlua timing ili ummalize kabla hajakumaliza?
 
Aliemsukuma ahukumiwe vyema
Kwann marehemu alikua anamraghai mtoto under 18yrs, marehemu alikosa wakubwa wenzie wa kuwakaza???
Hivi ushawai kuwaza kwenye ilo tukio endapo Lulu ndie angekuwa kafariki alafu Kanumba angekua hai?

Lulu is innocent, over
 
Back
Top Bottom