Kwi kwi kwi kwi kwi, tukikaa kimya hawa maoyaoya wanadhani sie madomo zege sijui ingawa mara nyingi tunapenda kuongea kwa vitendo.......huyo Gang Chomba ni nyokolidadu halafu mkuu mwenyewe wa kaya ndiyo huyo myao wa tunduru, nadhani hata ukimuangalia utaelewa huyu ni wakumpa shikamoo
Ahahahahahahahaha hivi TUPACified kapigwa Ban kweli?
Kila zama na nabii wake Ntuzu na yaliyopita si ndwele, Nedved saa hizi ni Mkurugenzi wetu, mwache ale pension yake kwa amani zote
Yaani sisi tukiongea inakua nongwa, team yangu imeishikisha ukuta the most expensive and most overrated team duniani halafu nikae kimya au niongee kwa woga tena kibarazani kwangu?
Hakuna aliyetegemea kuwaona mabuluda katika stage hii, wapiga domo wa England wamebakiza marefa uchwara tu, kama nilivyosema awali, Bianconero itaushangaza ulimwengu wa soka mwaka huu
BTW Chelsea anacheza na nani kwenye champions league? 😜😜
mabeki wa kitaliano si unawajua vizuri lakini au?....muulize fundi wa mpira zizzou au ngiri suarez!....max allegri hupangaga ukuta wa mabeki watatu ila kwakuwa nyie wabishi tuliongeza level moja jana wakawa mabeki wanne...sebuleni kwenu kwakuwa mtakuwa mnapigiwa vigelegele na mke tunamtaka tunaweza ongeza waya wa umeme kabisa juu ya ukuta!barzagli akamaliza shughuli mapeemaaaaa!
Hahahaha!!! Unaniua kwa cheko hapa maana kila mtu ananishangaa....nyie mmepinda na kunyongorota kabisaaaa!!! Shikamoo wote...... Ntuzu naomba ucheki replay tena hawa jamaa jana wamecheza vizuri wengi hawakutegemea wana haki ya kuongea....
Kila zama na nabii wake Ntuzu na yaliyopita si ndwele, Nedved saa hizi ni Mkurugenzi wetu, mwache ale pension yake kwa amani zote
Yaani sisi tukiongea inakua nongwa, team yangu imeishikisha ukuta the most expensive and most overrated team duniani halafu nikae kimya au niongee kwa woga tena kibarazani kwangu?
Hakuna aliyetegemea kuwaona mabuluda katika stage hii, wapiga domo wa England wamebakiza marefa uchwara tu, kama nilivyosema awali, Bianconero itaushangaza ulimwengu wa soka mwaka huu
BTW Chelsea anacheza na nani kwenye champions league? 😜😜
Dah!!! Kunywa kapepsi kabaridi huko uliko nakuja kulipa.... Hivi unaanzaje kukaa kimya kwa game mlilolicheza jana? Mnaanzia wapi? Ronaldo hadi anamfokea refa chezea angekuwa mwingine red ingemuhusu pale......jana mmeushangaza ulimwengu kwa kweli wale waliotupia mapicha yao ya Simba na Swala wameaibika, Swala kala Simba hahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!
Okay Mkuu unaweza kuongea lkn kwa hii juve sio km iko Na mpira km ule ulioibwaga Madrid miaka ile. Sioni kabisa vizazi vya mpira ktk hiyo timu yenu.
Wiki ijayo sio mbali utakuja niambia mwenyewe. Ancelloti ni mfaleme huko kwenu Italy.
everlenk Jana sikutizama kabisa mpira lkn kwa juve hii wala haitishi
Dah!!! Kunywa kapepsi kabaridi huko uliko nakuja kulipa.... Hivi unaanzaje kukaa kimya kwa game mlilolicheza jana? Mnaanzia wapi? Ronaldo hadi anamfokea refa chezea angekuwa mwingine red ingemuhusu pale......jana mmeushangaza ulimwengu kwa kweli wale waliotupia mapicha yao ya Simba na Swala wameaibika, Swala kala Simba hahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!
Daddy embu hakikisha kama kapigwa ban unipe majibu najitolea kuwa wakili wake hii adhabu ibadilishwe.... Sindano zimuingie akiwa humu humu I don't want to loose anyone here.
Teh teh teh, naona kijana bado ana mawenge ya shughuli ya jana mpaka kasahau nyakati.
Leo media yote inamponda mchezaji ghali duniani kwa kuvurunda jana, wamemuandama kijana wa watu bure bila kuelewa ya kuwa hakuwa na cha kufanya mbele ya Chiellini
Niliwauliza juzi hawa kina Salamander kwa nini Khedira hapati namba wakanijibu kisiaasa, sasa jana wakatuletea yule kichwa maji Ramos kwenye Midfield ya Arturo, Marchisio na St.Pirlo, akaishia kurukaruka tu kama kabanwa na mkojo, Vidal katawala dimba kama anacheza na mji mpwapwa vile
Sebuleni kwa Madrid huwa tuna historia ya kupeleka dhahma pale, Del Pierro alishasujudiwa kwa makofi na vigelegele siku tunamtwaa mwali pale, wiki ijayo itakua zamu ya Andrea
Kwa budget finyu sana tunatandaza soka maridhawa kabisa, Ntuzu na team yake yenye mishahara ya kufuru kuanzia wafagizi mpaka kwa kocha na sugar daddy juu, they can only dream of playing soka maridadi kama la mabudula
Teh teh teh, naona kijana bado ana mawenge ya shughuli ya jana mpaka kasahau nyakati.
Leo media yote inamponda mchezaji ghali duniani kwa kuvurunda jana, wamemuandama kijana wa watu bure bila kuelewa ya kuwa hakuwa na cha kufanya mbele ya Chiellini
Niliwauliza juzi hawa kina Salamander kwa nini Khedira hapati namba wakanijibu kisiaasa, sasa jana wakatuletea yule kichwa maji Ramos kwenye Midfield ya Arturo, Marchisio na St.Pirlo, akaishia kurukaruka tu kama kabanwa na mkojo, Vidal katawala dimba kama anacheza na mji mpwapwa vile
Sebuleni kwa Madrid huwa tuna historia ya kupeleka dhahma pale, Del Pierro alishasujudiwa kwa makofi na vigelegele siku tunamtwaa mwali pale, wiki ijayo itakua zamu ya Andrea
everlenk Jana sikutizama kabisa mpira lkn kwa juve hii wala haitishi
Ntuzu my dear nadhani unanielewa vizuri mimi siyo haters kiviiile penye ukweli huwa nasema, siyo kwa sababu eti ya RM nina wanangu pale CR7 na Chicha14 siwezi kuwachukia ,kiukweli Juve ya jana ilikuwa moto hata nami inanipa hofu tukikutana final..... Wameushangaza ulimwengu wengi waliobet jana wamelia ..........najua nawe ni timu RM so huwezi kuwakubali kirahisi Juve.Najua mamito wewe hasimu wako ni Madrid Na ombi lako kuu ni bora ukutane Na juve kuliko watoto Wa ancelloti lkn kwa ninavoona juve kashatupwa nje tayari.
hahahahhahaahha kichwa maji naniiiiiii!!!!????
Juve mna kelele kweli wakati mna umri wa sterling hamjachukua ndoo ya uefa, ngoja niende sebuleni kwa mashetani nitarudi hapa wiki ijayo baada ya second leg ya bernabeu
Ntuzu my dear nadhani unanielewa vizuri mimi siyo haters kiviiile penye ukweli huwa nasema, siyo kwa sababu eti ya RM nina wanangu pale CR7 na Chicha14 siwezi kuwachukia ,kiukweli Juve ya jana ilikuwa moto hata nami inanipa hofu tukikutana final..... Wameushangaza ulimwengu wengi waliobet jana wamelia ..........najua nawe ni timu RM so huwezi kuwakubali kirahisi Juve.