Juventus Special Thread


Ft itakuwa barca 3-0 juve
 
Last edited by a moderator:

Karibu sana mamy
Hakuna aliyetegemea kuwaona mabuluda kwenye finals mwaka huu, hakuna anayetegemea kuwaona mabuluda wakinyanyua ndoo ya UCL ifikapo jumamosi.....tunaitwa the underdogs, hatuna presha na match hii, presha iko kwenu Wacatalunya

Tunaweza kucheza mpira wa aina zote, tukiamua kukaba na kuziba njia zote za mipira we can do that, tukiamua kupiga passes na kupress tunaweza (waulize Madrid), so njooni tu na tikataka zenu lakini mjue hamna beki wa kucheza na Carlitos na Morata, hakuna kiungo wa kuwakaba kina Vidal, Pogba na Marchisio, hakuna mkatalunya wa kuruka kwenye kona na kina Bonucci na Llorente, na mkitaka tucheze daruga tutawageuza Nessi, Neima na Shuarez viwete siku hiyo

Itakua mnafanya mashambulizi 10 na mnatoka patulo sisi tukipiga mashambulizi 2 tu tunagusa mpaka kizazi halafu tunarudi kati, tunawaacha mchezee our big balls weee, sisi tukiwakamata mpaka muombe mmaa
Chiellini kawaambia juzi, magoli anayopewa sifa Messi atayafungia hukohuko kwenyu against Bilbao, siyo mbele ya mabuluda
 

Chiellini said earlier this week: ‘Messi couldn’t score that type of goal in Italy. In Spain they attack better than us, but we are better at defending.’
 
Ahahahahahhahahahahahahahahaha Mimi ngoja ninyamaze.

Umeshikwa na woga, hata nje hutoki umebaki kujificha tu huku ukitetemeka kwa woga, jukwaa umemuachia binti yako everlenk, hakuna unachoweza kufanya zaidi ya kunyamaza
Mdundiko utapigwa jumamosi, endeleeni kuchukua mazoezi ya kufungwa vibwebwe, kumwaga mauno na kusasambua maana bila kujiandaa mtapata shida sana na mdundo wa mabuluda
 
Last edited by a moderator:
My Alter Ego promised in here, to swallow his word if Juve were to made it to the Final, so here i am on his behalf taking back everything negative he said.

Juve and Barça are the 2 best teams in the world atm, hands down. It is obvious who i wish they win, so i'm not gonna jinx them. All the best.
 

Well said Champs
We'll do you a favor by putting them catalans in their place
 

Hahahahahha!!!! nyie wanyonge wenu Madrid......tutawaonyesha vizuri how good to be a young japo twajua ng'ombe hazeki maini lakini mavi ya kale hayanuki.......

Unamjua vizuri Nyokolidadi Messi sometimes is not a human so Chiellin atulie tu maana anapambana na kiumbe wa ajabu at any time anaweza kubadilisha mambo, mkimkania yeye Anaweza kujibadilisha na kuwa Neymar or Suarez or any player na Barca tukacheka juve mkalia,vijana wetu kina Rakitik,Iniesta Alves,Mascherano,Alba,Bosquets watafanya kazi yao vizuri kabisa chini ya Director mwenyewe Enrique.....

Ebanaa Eee hili game litakuwa bonge la game na ni unpredictable hope tutainjoi sana wasitubanie tu wakacheza hovyo hovyo, na atakayeshinda kivyovyote vile atakuwa kidume kweli kweli.

Haya siku hazigandi tunasogea hatimaye leo ni J5.....jmos ifike haraka tumjue mbabe, uwe na wakati mwema wangu.
 

Mimi huwa nawashangaa mnaposema hii Game haitabiriki, haitabiriki kiaje labda!!??
Hii Game Juventus anakaa bila wasiwasi kabisa, labda ni unpredictable sababu hatuwezi kujua Messi na Neymar watapiga ngapi, hatuwezi kujua Messi atawapiga matobo akina nani, hatuwezi kujua Messi atafunga kwa free kick/kwa driblling au kwa one-two.
Harafu siku hizi umekuaje yaani everlenk, umekuwa mzembe mzembe, hata wewe wa kusema hii Game haitabiliki, ni kweli everlenk!!?? Unanisikitisha kwa mtu kama wewe kusema hiv. Au kwa kuwa hauna imani na Man U unaona hata Barca vile vile, hii sio Man U. Barca hatuna mchezo kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Poleni sana, na hivi mmemchokoza Messi kuwa magoli ya ku_dribble anafunga akiwa Spain tuu, mtamkoma.
Hata Manuer Neuer alisema kuwa atamuona Messi kuwa yeye ni nani, na matokeo yake uliyaona. Sasa subiri muone ngoma mtakayokwenda kuicheza.
 
Last edited by a moderator:

Daddy taraaatibuuuu!!!! Haitabiriki kwa upande wa magoli.......ushaanza mambo yako ntanuna......
 
Last edited by a moderator:

ha haha ha ha ha ha ha ha ha naziona 6 pia messi 3
 
Last edited by a moderator:
ha haha ha ha ha ha ha ha ha naziona 6 pia messi 3

huyu everlenk bado anachembe za kutoipenda Barca sababu yeye ana roho ya Man U, kuishabikia Barca ni kujikana. Unapaswa kuishabikia Barca tuu barani Ulaya na wala usiwe na timu nyingine.
 
Last edited by a moderator:
huyu everlenk bado anachembe za kutoipenda Barca sababu yeye ana roho ya Man U, kuishabikia Barca ni kujikana. Unapaswa kuishabikia Barca tuu barani Ulaya na wala usiwe na timu nyingine.
hakika Aleyn mchanganyo hata Mungu hapendi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…