ha ha ha ha ha ha ha ha ha mwisho wa siku mtashia kusema barca kabebwa kwani hapo ndipo utakapozdsha chuki zako kwa messi kwani atawafanya vibaya na mshukuru Mungu yule Chellin kakimbia kujifanya majeruhi
PNC 1 huyu Mourinho ni rafiki yetu wala si antiMessi kabisa ila kwaajili ya mwali aliyepo mbele yetu hatuna budi kusimama kila mtu kwa zamu yake ,ndo maana kuna wakati nashindwa kuitolea jibu game hii ingawaje daddy wangu Aleyn kesha nipachika jina la msaliti ila si usaliti ni upendo tu na mapenzi yangu kwa timu zote mbili............na kweli si ajabu Chiellin huyu anayecheza na majeraha uwanjani tukamwona uwanjani, Mou msije kuwa mnafanya mind game?
Dr.Arturo, Dr.Marchisio, Dr.Pogba bado kuna safu ya Maprof, Philosophers and saints
#FinoAllaFinale
Saint Messi, Dr. Suarez, Dr. Neymar, Eng Iniesta etc.......lol
Juventus: Club confirms signing of Paolo Dybala from Palermo on five-year contract for initial 32-million euro fee
http://soccernet.espn.go.com/team/_/id/111 via ESPNFC http://es.pn/fcapp
PNC 1 huyu Mourinho ni rafiki yetu wala si antiMessi kabisa ila kwaajili ya mwali aliyepo mbele yetu hatuna budi kusimama kila mtu kwa zamu yake ,ndo maana kuna wakati nashindwa kuitolea jibu game hii ingawaje daddy wangu Aleyn kesha nipachika jina la msaliti ila si usaliti ni upendo tu na mapenzi yangu kwa timu zote mbili............na kweli si ajabu Chiellin huyu anayecheza na majeraha uwanjani tukamwona uwanjani, Mou msije kuwa mnafanya mind game?
PNC 1 huyu Mourinho ni rafiki yetu wala si antiMessi kabisa ila kwaajili ya mwali aliyepo mbele yetu hatuna budi kusimama kila mtu kwa zamu yake ,ndo maana kuna wakati nashindwa kuitolea jibu game hii ingawaje daddy wangu Aleyn kesha nipachika jina la msaliti ila si usaliti ni upendo tu na mapenzi yangu kwa timu zote mbili............na kweli si ajabu Chiellin huyu anayecheza na majeraha uwanjani tukamwona uwanjani, Mou msije kuwa mnafanya mind game?
ha ha ha ha ha ha sawa mkuu kwa kuwa wewe ni mtoto wa mamamdogo sio mbaya nimekubaliana na wewe ila vp kuhusu xavi akiingia hawawez kuwa saint wawiliTeh teh teh, Iniesta ni artist, Xavi ni scientist na Messi ni Dr ila hamna saint hata mmona huko Catalunya na match nzima itakua na saint mmoko tu, St.Andrea Pirlo
sawa mama yetu umeeleweka nilishajua Morinho kabadilika kumbe hata barca ikishinda hawez kukasirika sana
Barzagli jana na leo kafanya mazoezi vizuri tu, Chiellini ni pigo lakini wapo vijana wataziba pengo, Caceres na Ogbonna wapo fit wanasubiri kupewa namba tu
Ahsante mamy kwa pole
ha ha ha ha ha ha ha ha mkuu Frank WanjiruMwisho wa siku michezo ni furaha, and to be honest, ni vigumu sana kumchukia Messi, ukimchukia huyu kilikuu utakua unauchukia mchezo wenyewe wa soka
Wapone haraka wote ili tushuhudie bonge la game la machozi ,jasho na damu mpaka mtu ananyenyua ndoo ni watu weweeeee!!......yaani sijui nikalicheki wapi maana nahisi home sitainjoi.
Xavi bado hajasimikwa usaint Mkuu wangu, kwa sasa yeye ni scientist tu
View attachment 257121
View attachment 257123
Teh teh teh, Iniesta ni artist, Xavi ni scientist na Messi ni Dr ila hamna saint hata mmona huko Catalunya na match nzima itakua na saint mmoko tu, St.Andrea Pirlo
huyu babu anapiga pasi utafikiri anakosea wakat mwingine anatoa pasi kwa hisia bila kumwangalia muhusika ila lazma muhusika aipate na hata semi final na madrid yeye ndiye aliyetengeneza ule mpira mpaka ukaja karbia na chaki ukabid urudishwe kwenye 18 katika piganikupige ukamkuta morata kazi ikawa imeisha
Hahahahahahaha!!! Sawa bana nimekubali Pirlo ni Saint tena yeye na wenzake Barzagli na Bonucci watakuwa wanaiwakilisha ile Italy iliyobeba kombe la dunia mara ya mwisho........please nakuomba tu Xavi aingie kwenye stage ya Pre Saint .......lol
Mie nimetoka kufanya service muda mchache uliopita, kuna mabuluda wamenialika huko kanda ya kati tukashuhudie huo mtanange kindugu zaidi
#FinoAllaFine