Juventus Special Thread

Hahahahaaa siwezi kuacha aisee

Last edited by a moderator:
Na wewe usiwe km ccm kuita watu wezi kumbe........

Last edited by a moderator:

Pale Serie A kungekuwa na timu moja ina ushindani mkubwa sana na Juve basi tungeshuhudia Juve anakamata nafasi ya pili au ya tatu.
Kwa nafasi za kiungo walizosajili ni za kawaida sana, pale walihitajika waweke mtu wa maana katikati.
Kule mbele wasidhani Morata anaweza akawika sana kama msimu ulioisha, sidhani kama itakuwa Rais. Hivi huyu Mandzukic ana umri gani, Juve wanapaswa kusajili watu wenye damu changa ambao wanaweza wakakaa hata kwa misimu minne mfululizo, hawa akina Mandzukic sehemu zao ni kama Man U, Galatasaray, AC Milan n.k
 
Oooh, daah gemu ndio nimeicheki leo kutokana na miangaiko ya dunia. Kweli nyanya inaweza kugeuka salo mwakahuu! Ila bora mapungufu yaonekane mapema ili yarekebishwe. wachezaji wengi hawajazoeana ndio maana hata mechi za majaribio tulicheza kawaida sana. timu ilikua na majeruhi wengi tofauti na timu hizi ndogo ambazo wachezaji wao walikua fiti na morarii ya hali ya juu sababu hata viola nao nimewaona walikua na usongo
 
Seria A siku hizi ni ligi ya wakongwe Di Natale, Totti, Klose, Pirlo, Tevez, Evra wote ni wakongwe but wamefanya vizuri
 
Mourinho eeeh how old ur,! Hiyo style yako ya uandishi imenifanya niulize, huwa nakuchukulia kuwa wewe ni 50+.
 
Last edited by a moderator:
Mourinho eeeh how old ur,! Hiyo style yako ya uandishi imenifanya niulize, huwa nakuchukulia kuwa wewe ni 50+.

Teh teh teh, muulize sweetheart everlenk atakua na kumbukumbu nzuri
Naona wenye mipesa ya masugar daddy wamekomaa na kijana wetu Pogboom, bado nasisitiza kuuza nyanya kabla hazijawa salo, huu mwaka naona utakua mbaya sana kwetu na bei ya nyanya zetu sokoni inaweza kushuka, bora tuziuze kwenye masika hii kabla kiangazi hajafika
 
Last edited by a moderator:
Seria A siku hizi ni ligi ya wakongwe Di Natale, Totti, Klose, Pirlo, Tevez, Evra wote ni wakongwe but wamefanya vizuri

Pesa Mkuu, pesaaaa
Team inayomaliza nafasi ya 5 kwenye serie A haiwezi kuikaribia hata kidogo team inayoshuka ligi kule EPL kimapato ( ya msimu ) ndio maana huku kwetu tumebaki kuwa wateja wazuri wa 'chuma chakavu'
 
Are you serious? ? ? ? ? ? ? ?
 
Bianconeri wenzangu mnaonaje ujio wa cuadrado.?

Cuadrado anakwenda kucheza winga ya kulia? Tuna vijana wengi sana wa kucheza namba hiyo, sioni ni kwa namna gani Cuadrdo ata-improve team yetu.
Ukiwaacha Marchisio na Pogba, hatuna kiungo wa kati anayeweza kuamua mchezo uchezejwe, kwa maoni yangu hapo katikati ndio panahitaji kuimarishwa ila kina Marotta wamekazana na mawinga tu maana hata yule mkoloni ni winga matokeo yake ni kutupangia kina Padoin kwenye CM
 
Llorente kwaheri.
 
Llorente kwaheri.

Safari njema, napata wakati mgumu kwamba huyu jamaa nitamkumbuka kwa lipi.
Sasa nimesikia Mzee upo Vinovo, hebu tuhabarishe yaliyojiri, maana simuelewi kabisa Marotta
 
Safari njema, napata wakati mgumu kwamba huyu jamaa nitamkumbuka kwa lipi.
Sasa nimesikia Mzee upo Vinovo, hebu tuhabarishe yaliyojiri, maana simuelewi kabisa Marotta

huyu Lorente kwanini msimpeleke EPL kwa Arsenal au Man U?
 
Huu mwaka ni majanga. Yan kupata wachezaji wa kuziba mapengo ya vidal, pirlo, na pogba ni vigumu sana. Juve itatupa sana stress mashabiki mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…