Niliangalia mechi jana,Viola walifanya kosa moja tu biashara ikaishia hapo hapo still Juve hawakucheza kiwango kizuri sana.Conte ana pressure sana kwenye michuano ya ulaya jana nilimuona Nedved jukwaani alishangilia sana freekick ya Pirlo
Olympique Lynnas Vs Juventus
mmh!huu ni mtego kwa sababu ni average team.Juve watajitoa au kujiingiza wenyewe semifinals.
Tutawakalisha hao watoto
ushindi ni ushindi tu 1-0 muhimu point3 hata Juventus ingeshinda 8 kwa 7 muhimu point3.
ushindi ni ushindi tu 1-0 muhimu point3 hata Juventus ingeshinda 8 kwa 7 muhimu point3.
wewe utakuwa shabiki wa style ya soka ya Mourinho au Capello!
Naona Mwanangu uko ktk timu yako na ligi yako!
Aaaah mi nipo pande za EPL na Chelsea na Jose Mourinho!
ha ha haa!ndio nyumbani kwangu huku mkuu,nikitoka "kazini" kule jamii intelligence nakuja huku kutuliza kichwa na "familia" yangu ya wastaarabu akina Mourinho shifta Belo Pazi Zeroseventytwo a.k.a pweza pachanya Viper na wengineo!karibu sana mkuu.Nitaanza kukutembelea hapo darajani nichangiechangie kwa kuwa sasa nimepata mwenyeji ilimradi unihakikishie hakuna harsh language bwana.
Karibu sn Mkuu! Kule Kwetu hatuna lugha mbaya Mkuu nafikiri unanifaham! Hao jamaa zako hua wanakuja sn!
Nao msimu huu Italy kwenye UEFA wametolewa ktk raudi ya 16.
ahsante mkuu.Italia tuna safari ndefu kurudi kileleni.Calciopoli imetumaliza mkuu.Walidhani wanatukomoa Juve kumbe wanaikomoa serie a nzima hadi wao wenyewe.Saa hizi wanatia huruma Inter.laana ya uonevu inawatafuna wao na soka lote la Italy.Wengine tumeanza ushabiki na timu hizi zamani sana hata tv ilikuwa hamna ndio maana tunashindwa kuhama ila kiukweli Italia ya sasa ni kivuli cha Italia ya nyuma, si michezo tu,bali nchi nzima.Italy inayumba kiuchumi,labda wakubali kuwa chini ya Rumi(Vatican)
Tevez again to the rescue.Watoto wamekaza sana.Controversial refereeing,forward haiko makini,Osvaldo kakosa sana magoli,Vidal leo kama kavuta bangi,hayupo uwanjani,hana hamasa,kakosa sana magoli,yote tisa,kumi ni refa.Italian serie a imeshuka kiwango sawa,na marefa nao shida gani?huyu refa hata marefa wetu bongo wana afadhali jamani Mourinho
Kwakweli ata mimi Nilikua nalipenda sn kabumbu la Italy Lkn siku hizi limeshuka sn! Yani ata kwenye World cup najiuliza km kikosi cha Italy km kitafanya vzr km 2006.
Ngoja tuone itakavyokua Lkn Nina Mashaka kidogo na Wa Italy!