Juventus Special Thread

Conte analalamika Benfica hawakucheza mpira.Anadai mpira ulichezwa kwa dk 40 tu,muda uliobaki jamaa walifanya obstractions kibao,na refa akaruhusu kwa kupiga filimbi nyingi na kuruhusu upotezaji muda.

Katika mechi zote mbili Benfica wana shorts on target mbili tu.
 
fukuza pogba fukuza asamoah juve lazima waingie fainali uefa..
 
Mourinho kakimbia jukwaa leo nadhani mapigo ya moyo hayakuwa sawa, poleni sana mabuluda wote ila nawakaribisha May 24 mumuunge mkono buluda mwenzenu Ancelot.

Sijapona bado maumivu ya juzi, siku mbili hizi nimekuwa mlevi wa kupindukia, kila siku narudi saa 10 alfajiri niko ndwii, na Dunhill pakti nzima inateketea kwa usiku mmoja.

Mweeeee! 😔😔😔
 
Sijapona bado maumivu ya juzi, siku mbili hizi nimekuwa mlevi wa kupindukia, kila siku narudi saa 10 alfajiri niko ndwii, na Dunhill pakti nzima inateketea kwa usiku mmoja.

Mweeeee! 😔😔😔

Pepo tookaaa!muachie mourinho wetu!
 
Salam wadau. Pongezi kwa juventus kwa kuchukua scudetto kwa mara ya tatu mfululizo. Juve wamechukua scudetto baada ya AS Roma kufungwa 4-1 na Catania.

Pongezi pia ziwaende SS Napoli kwa kuvikwa ubingwa wa italia almaarufu copa italia. Napoli wamewatandika Fiorentina kwa 3-1.
Hongera Conte, hongera Rafael Banitez.
Cc: juve2012, Mourinho, obwato, pachanya, EMT, Jacobus
 
Last edited by a moderator:


MMBEA HAULIZWI...

haikuishia hapo klabu ya AC Milan imewatandika wapinzani wao wa jadi klabu ya Inter goli 1-0 goli lililowekwa kimiani na kiungo nguli na pia ni sugu Niger the Young...

Forza Milan
 
Last edited by a moderator:

Mmeona eeh?madhara ya kumkimbiza Bolt.kizunguzungu pwaa chali!chezea la vechia signora wewe.campioni di talia.wakitaka na haya wayachukue wampe inter,tutatwaa mengine.unamshusha juve daraja?hawana adabu hawa ngoja tuendelee kutwaa ubingwa mfululizo hadi wakome.we have proven them wrong.na waseme sasa kwamba tunapanga matokeo.waseme sasa?nasema hivi,semeni sasa?hamna adabu nyie waitaliano.ngoja niende kwenye forums zao nikawapashe.kila tukitwaa ubingwa naikumbuka calciopoli,nawakumbuka trezeguet,del piero,camoranesi,na wenzao,naitafakari hasara hii inayoendelea kuidhoofisha serie a kwa ajili ya mpuuzi mmoja tu aitwaye Moratti!nalia sana.hongera juve,hongera wadau wote wa italia.nitakuwa nikimwaga like kwa kila comment ya kiungwana kwenye thread hii kwa muda wa wiki hii yote.huree Mourinho shifta Viper myao wa tunduru Chimunguru bologna ndetichia Belo obwato Ziroseventytwo "pweza"pachanya Pazi rubaman strong ruler .nawatumia salaam wale woote wenye kisebusebu na kiroho papo wakiongozwa na rais wao gutierez pole kwa msiba wa Tito na karibu jijini Turin yaani ni full shangwe saa hizi pale vinovo training camp,kama ingekuwa kule kwetu hizi shangwe saa hizi barabara zimefungwa,watu wamesimama vibarazani,wanawake wamebeba watoto huku wakiswingswing,vijana wako mbele,wanawake na wanaume wako kati,wapiga ngoma wako line ya pili toka nyuma,wazee wako back bench ngoma inapita barabarani,watu wanaimba "kamuacha mume wake kafuata mdundikoo eehee lelele le kafwata mdundikoo kamuacha mume waake kafuata mdundikoo ndu ndu ndu ndu ndundu.."aaah watoto wa siku hizi nawapa pole sana,hawajapitia uzoefu huu dah!hadi waende msibani maneromango ndio waone mambo haya,tena mazishi yenyewe siku hizi mnazika kinondoni,yaani mtoto akienda mbali basi labda beach,kila siku beach tuu,wakiacha shule wakawa wavuvi mnalalamika,pelekeni watoto nyumbani wakafaidi african dance jamani,teh teh,nina furaha leo yaani natapika tu,tapika tu,kila linalokuja kichwani tapika tu kwi kwii!
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kuwa mabingwa ktk ligi yenu,ila poleni ktk uefa alhamisi mnakuwa watazamaji uwanja wenu wa nyumbani europa ligi final 14 May 2014,mimi nawakilishwa na Sevilla ktk hilo kombe ya UEFA Alhamisi ila final ni j5,na ktk kombe kubwa i.e UEFA Champions League Final jijini Lisbon tarehe 24 Mei 2014 J1 ni
El Derbi madrileño (Real Madrid vs Atletico Madrid)
 
Msiba wa Tito Vilanova ni huzuni kubwa jijini Barcelona,na ilikuwa huzuni sana wiki iliyopita 25 april ukijumlisha na kurushiwa ndizi kwa Dani Alves pale el madrigal villarreal ambapo Barca walikuwa nyuma bao 2-0 kabla kurudisha kwa mabao ya kujifunga mawili ya harakaharaka krosi za Alves na Messi kupiga bao kwa pasi safi baina ya Busquets na Fabregas na kuibuka 2-3 washindi Barca vs Villarreal
 

Yaani Juve2012 kanivunja mbavu kweli jinsi alivyo jigalagaza kwa kushangilia ubingwa, nilidhani vituko hivi anavyo Shifta tu kumbe mabuluda wote maana hata Mourinho kaamua kukesha bar baada ya kufilimbwa na Benfica, sishangai lkn jamaa mvinyo ndio asili yao.

Karibuni May 14 na 24 muone wataalamu wa kandanda wanavyokabidhiwa ndoo zao za uefa zote.
 
Salam wadau. Pongezi kwa juventus kwa kuchukua scudetto kwa mara ya tatu mfululizo. Juve wamechukua scudetto baada ya AS Roma kufungwa 4-1 na Catania.

Hivi Tavez alifunga magoli mangapi kwenye Serie A?

Pongezi pia ziwaende SS Napoli kwa kuvikwa ubingwa wa italia almaarufu copa italia. Napoli wamewatandika Fiorentina kwa 3-1. Hongera Conte, hongera Rafael Banitez.

Hii mechi nilitaka kuiangalia mara sijui ilitokea nini uwanjani wakachelewesha.

Nikawasiliana na rafiki yangu Muitalia aliyepo anga hizo kumwuliza kinachoendelea akanijibu "don't bother, it is just a fcking little cup". Mweee.... nikazima TV na kwenda kulala.

So, Rafa may have won "a fcking little cup".
 

Kulitokea fujo.pia kuna shabiki wa Napoli alipiga risasi kumi hewani.Italia kuna tatizo kubwa la unazi uliopitiliza unaharibu sana soka yao.
 
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, mabuluda wote karibuni tuadhimishe pamoja siku hii muhimu kwangu, hata wasio mabuluda karibuni.
juve2012 shifta Strongruler obwato Ziroseventytwo Belo pachanya RRONDO

Hepi baadei tu yuu,hepi baadei tu yuu,hepi baadei dia champion,heepi baadei tu yuu.hau old aa yuu naw,hau meni kaps yu hevu won nau,heepi baadei bianconero Mourinho heeeepi baaaadei tuu yuuuuu,...upunguze dunhill sasa ushakuwa mbabu na nyota nyekundu siku hizi adimu kweli.
 
Last edited by a moderator:
Kulitokea fujo.pia kuna shabiki wa Napoli alipiga risasi kumi hewani.Italia kuna tatizo kubwa la unazi uliopitiliza unaharibu sana soka yao.

Vipi na Tavez ametingisha nyavu mara ngapi msimu huu?

Halafu kama AC Milan wamekuwa kama Man Utd msimu huu.

Wapi Gang Chomba?
 
Last edited by a moderator:
Vipi na Tavez ametingisha nyavu mara ngapi msimu huu?

Halafu kama AC Milan wamekuwa kama Man Utd msimu huu.

Wapi Gang Chomba?

19 mkuu,Llorente 15,Vidal 11,Pogba 6 kama sijakosea.ndio sabotage force ya Turin hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…