Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

Italy bana soka lao ni la kujipanga sana, na wanapokuwa tayari wameshajipanga basi lazima warudi na ndoo.
Kama unakumbuka ktk euro 2004 walitoka ktk hatua za mwanzo, lakini world cup 2006 wakabeba ndoo ya Dunia.
1. Buffon
2. Zambrotta
3. Grosso
4. Canavaro
5. Nesta
6. Pirlo
7. gatttuso
8. De rossi
9. Toni
10. Alexander Peter
11. Totti
Mfumo 4-3-3

Kisha Milan wakabeba Champions League 2007 na Inter 2010.
Lakini tazama timu za taifa na vilabu kama za ujerumani, ufaransa, uholanzi na Uingereza, je zina mafanikio ya kitaifa na vilabu kwa miaka ya karibuni?

Forza Azzuri
Sempre Rossoneli
Na huwa hawalolomi kama wale jamaa wa kisiwani. Wao ni kimya kimya tu mpaka fainal.
 
Tangazo...

Sasa umewadia wakati wa kuweka kando tofauti zetu ba kuungana pamoja ili kwenda brazil kwa ajili ya kupambana na adui...

Ukiuona ujumbe huu mjulishe mwenzio.

NB: juve ndo mabingwa wa Italy.
So kwa heshima napendekeza uzi huu huu kutumika kupeana mikakati yote ya timu ya taifa kule Brazil.

World cup ikiisha kila mtu atarudi kwake na vita vitaendelea
 
Mzee Prandelli kawataja hawa ndio watakaopanda Ndege kuelekea Brazil....

Manyanda:
Gianluigi Buffon,
Salvatore Sirigu, Mattia Perin

mabeki:
Giorgio Chiellini,
Leonardo Bonucci, Ignazio Abate,
Gabriel Paletta, Andrea Barzagli,
Andrea Ranocchia, Mattia De Sciglio,
Christian Maggio, Matteo Darmian,
Manuel Pasqual

Mido:
Andrea Pirlo, Antonio
Candreva,Claudio Marchisio, Riccardo
Montolivo, Daniele De Rossi, Thiago
Motta, Marco Verratti, Marco Parolo,
Romulo, Alberto Aquilani

strikers:
Mario Balotelli, Ciro
Immobile, Lorenzo Insigne, Giuseppe
Rossi, Antonio Cassano, Alessio Cerci,
Mattia Destro...
 
Conte nambebesha lawama kwa kushindwa kumpa nafasi kicheche na badala yake akampa muda mwingi Vuchinic...

Ona sasa mtu kama Destro anakwenda Brazil lakini toto sugu sumbufu kicheche Giovinco anabaki home...

Hili Conte siwezi msamehe.
 
Mzee Prandelli kawataja hawa ndio watakaopanda Ndege kuelekea Brazil....

Manyanda:
Gianluigi Buffon,
Salvatore Sirigu, Mattia Perin

mabeki:
Giorgio Chiellini,
Leonardo Bonucci, Ignazio Abate,
Gabriel Paletta, Andrea Barzagli,
Andrea Ranocchia, Mattia De Sciglio,
Christian Maggio, Matteo Darmian,
Manuel Pasqual

Mido:
Andrea Pirlo, Antonio
Candreva,Claudio Marchisio, Riccardo
Montolivo, Daniele De Rossi, Thiago
Motta, Marco Verratti, Marco Parolo,
Romulo, Alberto Aquilani

strikers:
Mario Balotelli, Ciro
Immobile, Lorenzo Insigne, Giuseppe
Rossi, Antonio Cassano, Alessio Cerci,
Mattia Destro...

Hivi huyu Prandelli huwa anatumia mfumo gani kwa timu ya Taifa??
Sijabahatika kufuatilia mechi za kufuzu za Italy...ni ule unaonza na 3-
Kwa maana ya mabeki 3....
NB;Naona ukuta utakuwa wa Juve tupu...huyu dogo Immobile nataka awe kama super sub wakongwe wakiishiwa upepo..
 
pachanya penye ukweli basi na tuuseme...
Huyo Immobile mi nampa nafasi ya kuanza.

Dogo ametupia kamba akiwa na Torino ambayo ni yeye na Cerci tu ndio wanajulikana.

Lakini mtu kama Balotelli kazungukwa na mtu kiibao but kashindwa kufanya aliofanya dogo..

Aaminiwe tu dogo
 
siafiki suala la ukuta kuwa wa Juve tu kwani game za mwisho za ligi Mzee Barzagli amechemsha sana...kiasi kwamba akapoteza hadi namba kwa Martin mruguay.

Mi naona kulia aanze De Sciglio na kushoto acheze Darmian.
Dabali pale wamalize Georgio na Leonardo.

Kama siku game ikiwa na mawinga sugu ndo aanze Maggio kulia badala ya Mattia na kushoto atupwe Giorgio badala ya Damian

Full stop
 
pachanya penye ukweli basi na tuuseme...
Huyo Immobile mi nampa nafasi ya kuanza.

Dogo ametupia kamba akiwa na Torino ambayo ni yeye na Cerci tu ndio wanajulikana.

Lakini mtu kama Balotelli kazungukwa na mtu kiibao but kashindwa kufanya aliofanya dogo..

Aaminiwe tu dogo

Tatizo makocha wengi huwa wanaamini wachezaji wa sampuli ya Immobile hawana uzoefu na Michuano mikubwa kama World Cup..
Kumbuka kuna England,Uruguay kwenye kundi la Italy..so uzoefu wa mtu kama Ballotel unatakiwa..
 
unaweka kiungo chenye watu 5...
1. De Rossi
2. Pirlo
3. Motta
4. Marchisio
5. Montolivo
kisha kule mbele unamsimamisha Immobile alone...aah Gari lazima liwake wewee
 
unaweka kiungo chenye watu 5...
1. De Rossi
2. Pirlo
3. Motta
4. Marchisio
5. Montolivo
kisha kule mbele unamsimamisha Immobile alone...aah Gari lazima liwake wewee

Hapo kwa Marchisio nitamuweka Marco Veratti
 
dah Veratti ataingia dakika ya 65 kwa kweli...
Marchisio ni mjeda muhimu saana kwenye kikosi cha buluda.

timu nzuri. Kule Argentina jamaa'ko Castilo katupwa nje. Nasikia kulikuwa na maandamano wakimtaka tevenga aitwe timu ya taifa. Nini unadhani kimemponza?
 
timu nzuri. Kule Argentina jamaa'ko Castilo katupwa nje. Nasikia kulikuwa na maandamano wakimtaka tevenga aitwe timu ya taifa. Nini unadhani kimemponza?

Kuna wakati ndio unaamini hata makocha wa timu kubwa wana chuki binafsi...Tevez hastahili kuachwa timu ya Taifa ukizingatia Aguero ndo anarecover toka kwenye majeraha...
 
timu nzuri. Kule Argentina jamaa'ko Castilo katupwa nje. Nasikia kulikuwa na maandamano wakimtaka tevenga aitwe timu ya taifa. Nini unadhani kimemponza?

kujuwa kwake mpira ndo kumemponza...
Huwezi kumuita Palacio kisha ukamuacha Tevez.
Makocha wengine wanatutafutia BAN tu
 
kujuwa kwake mpira ndo kumemponza...
Huwezi kumuita Palacio kisha ukamuacha Tevez.
Makocha wengine wanatutafutia BAN tu

Na huyu wa kwetu je?

Kawaacha Alberto Gilardino na Luca Toni pamoja na kuwa na msimu mzuri wakiwa na magoli 35 kati yao na experience ya kutosha na mashindano makubwa halafu wako fit (kiafya) kuliko Cassano na Rossi.

Ukiangalia hii provisional squad yetu kwenye strikers tunao, Mario Balotelli, Antonio Cassano, Alessio Cerci, Ciro Immobile, Giuseppe Rossi, Mattia Destro na Lorenzo Insigne, kuna watoto ambao wangeweza kuwapisha watu wazima, me ningempiga chini Cerci na Destro.

Namkubali Rossi kuliko striker yeyote wa Azzuri kwa sasa lakini hakuna mwenye hakika kama anaweza kumaliza michuano bila kuumia(kutonesha) majeraha yake ya muda mrefu.

Nimesikitika pia kumkosa Emanuele Giaccherini, angeweza kutusaidia sana akitokea bench kwenye kutengeneza nafasi na magoli yenyewe lakini kwa case yake I understand
 
Benfica walitubania tu, hili kombe halikua lao from the beginning...

Na huyu Jesus wao naona haijui vizuri ile sanaa ya mazingaombwe ukipenda 'miujiza' kama wajina wake, the famous one. Fainali ya pili hii mfululizo na anatoka kapa, labla nae akaanzishe kanisa sasa, lmao!
 
Laana ya kumnyima posho mzee wa watu inaendelea teh teh!tusiudhi wazee jamani.
 
Back
Top Bottom