Juventus Special Thread

Juventus Special Thread

19 mkuu,Llorente 15,Vidal 11,Pogba 6 kama sijakosea.ndio sabotage force ya Turin hiyo.

Kuna dogo mmoja anacheza Serie A sijui timu anaitwa Immobile nilisoma kuwa yuko mobile kichizi kwa kutikisa nyavu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna dogo mmoja anacheza Serie A sijui timu anaitwa Immobile nilisoma kuwa yuko mobile kichizi kwa kutikisa nyavu.

Ciro Immobile ana goli 21.ndio capocanoniere(top scorer).anachezea Torino.
 
Ciro Immobile ana goli 21.ndio capocanoniere(top scorer).anachezea Torino.

Immobile ni hot property huku Italia kwa sasa LAKINI kama Giussepe Rossi asingekaa bench muda mrefu kwa majeruhi, nadhani angekua na goals zaidi ya 25 mpaka sasa
 
Sasuolo kama kawaida yao,adabu hawana wakikutana na wakubwa badala ya kuamkia wanatukana!galagaza fiorentina 4-3!
 
Sasuolo kama kawaida yao,adabu hawana wakikutana na wakubwa badala ya kuamkia wanatukana!galagaza fiorentina 4-3!

Na katika mkubwa wanamchukulia poa ni shifta, hivi si walimpiga mbele na nyuma?
 
Last edited by a moderator:
Kwii kwiii kwiii kwiii..!!
Yaani huyu jamaa uwa ananiongezea siku za kuishi, siwezi soma post zake bila kuumia mbavu.

Huyo ndio kaka mkubwa bwana,a.k.a prezidaa wa mabuluda wa kitanzania.ila siku hizi uko kimya sana shifta nini maneno?au mama nanihii kakuzidi maujanja na simu kakunyang'anya?tusije tukawa tunachati na mama nanihii hapa Mourinho,anaitwa mama nani yule shem wetu?
 
Hujui kwani? Anaitwa mama Dinho bana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mourinho umesikia Conte anavyozingua huko?fuatilia alichosema baada ya ushindi dhidi ya Roma.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom