19 mkuu,Llorente 15,Vidal 11,Pogba 6 kama sijakosea.ndio sabotage force ya Turin hiyo.
Kuna dogo mmoja anacheza Serie A sijui timu anaitwa Immobile nilisoma kuwa yuko mobile kichizi kwa kutikisa nyavu.
Ciro Immobile ana goli 21.ndio capocanoniere(top scorer).anachezea Torino.
Immobile ni hot property huku Italia kwa sasa LAKINI kama Giussepe Rossi asingekaa bench muda mrefu kwa majeruhi, nadhani angekua na goals zaidi ya 25 mpaka sasa
Kwii kwiii kwiii kwiii..!!
Yaani huyu jamaa uwa ananiongezea siku za kuishi, siwezi soma post zake bila kuumia mbavu.
Hujui kwani? Anaitwa mama Dinho bana
Aahaaa!wajina wake na huyu Dinho wa Barca?
We mgomvi sasa, Barca kuna Dinho? Au una yako?