Na huwa hawalolomi kama wale jamaa wa kisiwani. Wao ni kimya kimya tu mpaka fainal.Italy bana soka lao ni la kujipanga sana, na wanapokuwa tayari wameshajipanga basi lazima warudi na ndoo.
Kama unakumbuka ktk euro 2004 walitoka ktk hatua za mwanzo, lakini world cup 2006 wakabeba ndoo ya Dunia.
1. Buffon
2. Zambrotta
3. Grosso
4. Canavaro
5. Nesta
6. Pirlo
7. gatttuso
8. De rossi
9. Toni
10. Alexander Peter
11. Totti
Mfumo 4-3-3
Kisha Milan wakabeba Champions League 2007 na Inter 2010.
Lakini tazama timu za taifa na vilabu kama za ujerumani, ufaransa, uholanzi na Uingereza, je zina mafanikio ya kitaifa na vilabu kwa miaka ya karibuni?
Forza Azzuri
Sempre Rossoneli
Mzee Prandelli kawataja hawa ndio watakaopanda Ndege kuelekea Brazil....
Manyanda:
Gianluigi Buffon,
Salvatore Sirigu, Mattia Perin
mabeki:
Giorgio Chiellini,
Leonardo Bonucci, Ignazio Abate,
Gabriel Paletta, Andrea Barzagli,
Andrea Ranocchia, Mattia De Sciglio,
Christian Maggio, Matteo Darmian,
Manuel Pasqual
Mido:
Andrea Pirlo, Antonio
Candreva,Claudio Marchisio, Riccardo
Montolivo, Daniele De Rossi, Thiago
Motta, Marco Verratti, Marco Parolo,
Romulo, Alberto Aquilani
strikers:
Mario Balotelli, Ciro
Immobile, Lorenzo Insigne, Giuseppe
Rossi, Antonio Cassano, Alessio Cerci,
Mattia Destro...
Hivi huyu Prandelli huwa anatumia mfumo gani kwa timu ya Taifa??
Sijabahatika kufuatilia mechi za kufuzu za Italy...ni ule unaonza na 3-
Kwa maana ya mabeki 3....
NB;Naona ukuta utakuwa wa Juve tupu...huyu dogo Immobile nataka awe kama super sub wakongwe wakiishiwa upepo..
Hivi huyu Prandelli huwa anatumia mfumo gani kwa timu ya Taifa??
Sijabahatika kufuatilia mechi za kufuzu za Italy...ni ule unaonza na 3-
Kwa maana ya mabeki 3....
NB;Naona ukuta utakuwa wa Juve tupu...huyu dogo Immobile nataka awe kama super sub wakongwe wakiishiwa upepo..
pachanya penye ukweli basi na tuuseme...
Huyo Immobile mi nampa nafasi ya kuanza.
Dogo ametupia kamba akiwa na Torino ambayo ni yeye na Cerci tu ndio wanajulikana.
Lakini mtu kama Balotelli kazungukwa na mtu kiibao but kashindwa kufanya aliofanya dogo..
Aaminiwe tu dogo
Tatizo makocha wengi huwa wanaamini wachezaji wa sampuli ya Immobile hawana uzoefu na Michuano mikubwa kama World Cup..
Kumbuka kuna England,Uruguay kwenye kundi la Italy..so uzoefu wa mtu kama Ballotel unatakiwa..
unaweka kiungo chenye watu 5...
1. De Rossi
2. Pirlo
3. Motta
4. Marchisio
5. Montolivo
kisha kule mbele unamsimamisha Immobile alone...aah Gari lazima liwake wewee
Hapo kwa Marchisio nitamuweka Marco Veratti
dah Veratti ataingia dakika ya 65 kwa kweli...
Marchisio ni mjeda muhimu saana kwenye kikosi cha buluda.
timu nzuri. Kule Argentina jamaa'ko Castilo katupwa nje. Nasikia kulikuwa na maandamano wakimtaka tevenga aitwe timu ya taifa. Nini unadhani kimemponza?
timu nzuri. Kule Argentina jamaa'ko Castilo katupwa nje. Nasikia kulikuwa na maandamano wakimtaka tevenga aitwe timu ya taifa. Nini unadhani kimemponza?
kujuwa kwake mpira ndo kumemponza...
Huwezi kumuita Palacio kisha ukamuacha Tevez.
Makocha wengine wanatutafutia BAN tu
kujuwa kwake mpira ndo kumemponza...
Huwezi kumuita Palacio kisha ukamuacha Tevez.
Makocha wengine wanatutafutia BAN tu
Benfica walitubania tu, hili kombe halikua lao from the beginning...
Na huyu Jesus wao naona haijui vizuri ile sanaa ya mazingaombwe ukipenda 'miujiza' kama wajina wake, the famous one. Fainali ya pili hii mfululizo na anatoka kapa, labla nae akaanzishe kanisa sasa, lmao!
Laana ya kumnyima posho mzee wa watu inaendelea teh teh!tusiudhi wazee jamani.