Juventus Special Thread

Kesho mtoto hatumwi Dukani.. Mourinho juve2012 nitakuwa Roma kwa muda...
Muda;19;00 JuveVsRoma..

Kwi kwii!pole kaka,ila hii mechi imevurugwavurugwa na refa hadi nimeshikwa na aibu ya kushangilia ushindi!
Marefa wa Italia ovyo sana,bora hata wa bongo!
Wanasababisha Juve ionekane inabebwa,kumbe upuuzi wao tu!
 
Last edited by a moderator:
Mourinho atakuwa shambani kwake Wami Dakawa akigonga togwa nadhani,na iPhone yake imekwisha charge,na charger kaiacha Sinza teh teh!

Teh teh teh teh.....lol
Nilikua mbali zaidi ya hapo Mkuu, nimezurura sana kwenye vijiji vya mkoa wa Kigoma, ndio maana niliadimika hapa jukwaani
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh.....lol
Nilikua mbali zaidi ya hapo Mkuu, nimezurura sana kwenye vijiji vya mkoa wa Kigoma, ndio maana niliadimika hapa jukwaani

Habari za Kigoma?umetuletea nini,mawese au dagaa teh teh!karibu jukwaani,huku tumeshamaliza kazi kwa Roma,ingawa maamuzi yalikuwa mabovu sana mkuu
 
Habari za Kigoma?umetuletea nini,mawese au dagaa teh teh!karibu jukwaani,huku tumeshamaliza kazi kwa Roma,ingawa maamuzi yalikuwa mabovu sana mkuu

maamuzi mabovu yalichangia sana juve kupata ushindi. Hapa jukwaani palidorora kwa kutokuwepo mathread owner, yaani wewe juve2012 na Mourinho. Game niliiangalia kwa utulivu mkubwa. Ki ubora, Roma wazuri zaidi. Refarii Rocchi aliharibu sana ile game Kadi 3 nyekundu, penalty 3 njano kibao.
 
Last edited by a moderator:
Habari za Kigoma?umetuletea nini,mawese au dagaa teh teh!karibu jukwaani,huku tumeshamaliza kazi kwa Roma,ingawa maamuzi yalikuwa mabovu sana mkuu

Kigoma nimekutana na fursa nyingi sana Mkuu, mawese, vitenge, dagaa na migebuka nimekuja navyo kwa wingi na kuna gawio maalumu kwa mabuluda wote wa JF, wasilianeni na Gang Chomba
Match ya Roma niliichekia pale Kibondo kuna lodge moja maarufu inaitwa Cheyo Hotel, kwa kweli refa aliboronga sana akampa Totti nafasi ya kutuchafua na sikufurahia mchezo wetu kwa kweli.
Kudos kwao Roma, niliwafurahia sana siku walipocheza na Man City, kama wataweza kumbakiza Strootman na Rossi akarudi kutoka kwenye majeruhi, kwa kweli hawa jamaa wanatakua na msimu mzuri sana, sijui kama tutaweza kutetea scudeto
 
Last edited by a moderator:

Roma wazuri sana, wana Kocha mzuri pia kuliko huyu mpuuzi wetu, tutamkumbuka sana Conte.
Team yako vipi lakini? Naona mnachechemea tu na Benitez wako asiyejua kujenga team, kazi yake kuvurugavuruga tu, na mpaka aondoke atawaachia kikosi kibovu sana na wachezaji waliokua demoralized
 
Last edited by a moderator:
Yah!Italia kuna tabu ya marefa.Sikufurahia ule ushindi honestly.
 
juve2012 Hawa Sassuolo wametumwa nini? Wamekomaa kweli hawa watoto hata safari zangu na Dunhill hazishuki, lol
 
Last edited by a moderator:
juve2012 where art thou?

Nipo mkuu,nimepoa kama maji mtungini manake timu halieleweki siku hizi,unaweza kuongea sana ukishinda leo,kesho mnapigwa.

Vidal simfurahii sasa hivi.Bora angeenda Man utd tu,bichwa limekuwa kubwa hamna anachofanya uwanjani.

That last gasp penalty was the golden opportunity to make things more better in terms of head to head you know.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…