Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2-1 Juve Leo ni msiba tu...
Refa anaharibu mpira mkuu...
Mourinho atakuwa shambani kwake Wami Dakawa akigonga togwa nadhani,na iPhone yake imekwisha charge,na charger kaiacha Sinza teh teh!
Teh teh teh teh.....lol
Nilikua mbali zaidi ya hapo Mkuu, nimezurura sana kwenye vijiji vya mkoa wa Kigoma, ndio maana niliadimika hapa jukwaani
Habari za Kigoma?umetuletea nini,mawese au dagaa teh teh!karibu jukwaani,huku tumeshamaliza kazi kwa Roma,ingawa maamuzi yalikuwa mabovu sana mkuu
Habari za Kigoma?umetuletea nini,mawese au dagaa teh teh!karibu jukwaani,huku tumeshamaliza kazi kwa Roma,ingawa maamuzi yalikuwa mabovu sana mkuu
Duuu bado pagumu..
juve2012 where art thou?