umemsikia Ancelloti?Anasema,"with all regards to mr. Sacchi,many enemies,much honour!"akinukuu huo usemi wa fashisti Mussolini!kwa hiyo Ancelloti anasapoti huu upuuzi?nimechoka kabisa ila sijawahi kusikia mashabiki wa Juve wakimbagua muafrica,labda wakati fulani walikuwa na tuhuma za racist chants against southern Italians na watu wa Naples,na hili ni tatizo la kihistoria kule Italia wazungu wa kaskazini na kusini hawaivi chungu kimoja!
Ahsante Morata
berlusconi anakaribia kufanya maamuzi ya busara kabisa
Hii 2nd half tunacheza kifalafala kweli, kiungo imepoteana kabisa na tusipoangalia huyu Salah ataondoka na 'gozi' leo
hah hah hah leo neo tutajuwa tofauti ya maji na mma
Mtoto Morata ana goli lake leo, tuliza mapepe
Mtoto Morata ana goli lake leo, tuliza mapepe
sheikh mpira haujaisha tu?
Hatuna mpinzani ligi nzima, hii ligi kikwazo kwa maendeleo ya Juventus, Roma ngoma ya kitoto, Milan washazoea kushika ukuta siku hizi, wale washenzi wa Napoli mpira wao kama Mji Mpwapwa tu.
cc; Gang Chomba, Ziroseventytwo, juve2012, pachanya
Hapo pekundu tutake radhi. Huu msimu utaisha kama msimu uliopita. Nyie mlipata scudetto cc tukapata copa italia. Kule copa italia tayari mnatembelea gongo. Matumaini yenu ni madogo.
Milani kama kawa wanashiriki.
Cc: Gang Chomba