TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Moutinho parefu pale. Mngejaribu Koke, sema Barca walijaribu last summer window, Atleti wakawaambia piteni hivi na ban yenu.Hakuna siku nilikasirika kama walivyotuletea Allegri ila kwa sasa niko poa tu, naona jamaa kajirekebisha lakini tutajua vizuri msimu ujao, ana record nzuri sana on his debut seasons halafu huwa yanafuta madudu
Brahimi basi ana future mzuri sana, asibweteke tu hapo Porto, atafute uhamisho kwenda EPL au Spain, akija Italy ni club moja tu ndio itamfaa
Kuna jembe jingine linaitwa Juao Moutinho, huyu ndio proper replacement kama tutamuuza Pogba. Kikwazo ni pesa ya kumpata huyu bwana
Kuna Javí Martinez pale kwa Pep, machine sana ile, wanaibania tu. Axel Witsel nae fundi hatari. Wajaribuni hao