shifta
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 474
- 192
Pamoja na kuchezea klabu kubwa,Chile imetuma madaktari kwenda Turin kumfanyia uchunguzi wa kina.sijui Samatta akiumia tutatuma madaktari wetu kwenda Congo?
hawa wanaopasua kichwa badala ya goti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kuchezea klabu kubwa,Chile imetuma madaktari kwenda Turin kumfanyia uchunguzi wa kina.sijui Samatta akiumia tutatuma madaktari wetu kwenda Congo?
Scudetto bado mkuu. AS Roma 2 Milan 0. Ubingwa bado. Leo Napoli tunapiga na kocha wetu wa zamani Walter Mazarri. Cc hatuna cha kupoteza heshima tu.
neples nikamatieni huyo asusa ili nizidundulize point zilizobaki na kupata nafasi ya kucheza hili kombe la alhamisi...
Scudetto bado mkuu. AS Roma 2 Milan 0. Ubingwa bado. Leo Napoli tunapiga na kocha wetu wa zamani Walter Mazarri. Cc hatuna cha kupoteza heshima tu.
Teeh teeh teeh teehee..!! Milan ni kama Abajalo vile, watu tunaandaa ratiba ya kusherehekea UCL baada ya kulinyanyua pale Lisbon we unapumulia gesi kupata nafasi ya kucheza Alhamisi? Kwii kwiii kwiii kwiii ...!!
juve 3 goli la llorente ni noma sana..
Maveteran wenzangu wa Juventus vipi leo hawa wareno benfica tunaweza tukawaadabisha leo kweli? Najua watakuja kupaki DCM lao!
Tutalifumuafumua kama ATM walivyolifanya utong la Chelsea
Forza Bianconeri, Forza Conte
Leo afe kipa afe beki lazima benfica atambelee kucha
Mkuu watoto wakianza kupata goli mechi itakuwa ngumu sana...
Naona Tevez na Llorient wataanza wote...It means mtashambulia tokea mwanzo..ila wasiwasi wangu ni Counter za Watoto na walivyo na winga zenye kasi???