Juzi nimemtokea demu

Hakuna kitu kama hicho
 
Juzi nilimtongoza demu akaniambia hawezi kunikubalia hadi nikajitambulishe kwao basi nikaamua kupiga kimya. Sasa leo kanitumia SMS anaomba nimsaidie 100,000/= na mie nimemwambia akajitambulishe kwetu.
Ukijifanya mjinga mie nakuwa mpumbavu.
Mkuu mtaka cha uvungun shart ainame... Wanakamsemo kapo hv "kama kweli unampenda utamhonga"
 
teh mtego haya nakufuata
Uje na dau lako kabisa no discount.
Na uchague sehemu ya kwenda kabisa..unalipa cash sku hio hio no mkopo no credit debit hakuna..
Siku lazima iwe ijumaa usiku ama jumamosi usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…