Juzi nimemtokea demu

Juzi nimemtokea demu

Mkuu, kwani wewe ulitaka kumtumia na kumwaga? Kuambiwa ukajitambulishe kwao ina maana yeye kama yeye alikuwa ameshakukubali.. Ina maana ungeenda kwao kupata baraka za wazee, basi penzi lenu lingekuwa rasmi.. Think twice.. Mtumie hiyo laki, ukajitambulishe kwao and then hiyo laki utaikata kwenye mahari.
Hakuna kitu kama hicho
 
Juzi nilimtongoza demu akaniambia hawezi kunikubalia hadi nikajitambulishe kwao basi nikaamua kupiga kimya. Sasa leo kanitumia SMS anaomba nimsaidie 100,000/= na mie nimemwambia akajitambulishe kwetu.
Ukijifanya mjinga mie nakuwa mpumbavu.
Mkuu mtaka cha uvungun shart ainame... Wanakamsemo kapo hv "kama kweli unampenda utamhonga"
 
teh mtego haya nakufuata
Uje na dau lako kabisa no discount.
Na uchague sehemu ya kwenda kabisa..unalipa cash sku hio hio no mkopo no credit debit hakuna..
Siku lazima iwe ijumaa usiku ama jumamosi usiku.
 
Back
Top Bottom