wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
Hakuna kitu kama hichoMkuu, kwani wewe ulitaka kumtumia na kumwaga? Kuambiwa ukajitambulishe kwao ina maana yeye kama yeye alikuwa ameshakukubali.. Ina maana ungeenda kwao kupata baraka za wazee, basi penzi lenu lingekuwa rasmi.. Think twice.. Mtumie hiyo laki, ukajitambulishe kwao and then hiyo laki utaikata kwenye mahari.