JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

Bila Shaka Hili jeshi letu linaweza kuchapwa vizuri tu na Rwanda,hapa East Africa tutakae mmudu Ni Burundi pekee
 
Mkuu haijalishi kama walikuwa marines au navy seals, kikubwa ni kuwa kukamilisha ile mission walitumia ujuzi wa kiakili pamoja na technology ya hali ya juu hawakutumia karate wala kupasua mawe. Mafunzo yao si ya maonyesho kwa kila mtu kuyaona. Halafu Mkuu Acha dharau kwa kuharisha mdomoni.
 
Namshangaa awatazame wale Navy SEAL, Spetnaz wa Russia, SAS wa UK ni ubishani wa vijiweni tu ndo maana nasoma comments nabaki kusikitika.

Kule maeneo wanajisemea PAIN IS MY MEDICINE
 
Jeshi siyo kwa ajili ya Kibaka jomba
Ujinga mzigo

Kwa hiyo mfano ukiwa mwanajeshi uko doria mtaani akija akija kibaka kwa nyuma yako akakukaba utabonyeza computer? kuumchomoa kwenye shingo yako kiteknolojia mjinga wewe?
 
Kukutana nao vp?

Jeshi cyo kwa ajili ya raia bro,sa raia wa nn au ndio wale wanaoingia jeshini ili aogopeke mtaani.damn.

Jeshi ni kwa mwanajeshi kak[emoji23][emoji23]
 
Naweza waza hivyo cos kuna mamb ambayo yanaprove kuw kiteknolojia tupo nyuma sana has kati vyombo vya usalama mfano halisi ni kwa huyu jamaa anayejiita kigogo ambaye ameweza kutoa nyeti za serikali na mpk leo hawajamkamata.
Kutokujuwa kinachoendea TISS ama (na) JWTZ hakufanyi unavyowaza iwe ndivyo.
 
yale ni maonyesho tu kama ni missiles hata bongo zpo, yale ni maonyesho tu ndo maaana hata kwa iddi amini tulirusha makombora
 
Usijidanganye wewe, they're well equipped with modern tech. Weapons and facilities including night goggle vision.

Acheni kupotosha, na hizo bunduki Ni za Tanzania siyo UN, Cha UN ni badge na vitu vingine vya kiutaratibu tu.
Aaahh
acha longolongo, vifaa vyote ni vya kiwango cha vita ya pili ya dunia

Hebu changamkia fursa..
 
Mmeathiriwa na nadharia kuliko uhalisia! Mambo ya kijeshi yanapimwa kwa ukanda husika na level of threat.

Kwa mfano unatamani JWTZ iwe equipped with modern ( 4th and 5th gen) supersonic and hypersonic weapons za nini?

Modernization ya jeshi hufanywa kwa kuangalia maadui au mataifa yanayokuzunguka hasa kwa kuzingatia maeneo ya kamandi kuu tatu za kivita.

Hatuhitaji kutumia pesa nyingi Sana kununua S-400 air defense system kwa sababu hakuna adui wa karibu anayeweza kuenda kimapambano nje na uwezo wetu ( silaha).

Usidhani manunuzi ya silaha hufanya kiholela Kama kununua mikate bakery!
 
Niwashauri watz tujitahidi tuwezavyo tuwe tunatoa ushauri na sio kila wakati kumlalamika.Na kamwe ushauri hauwezi kufanana.Suala la teknolojia ni muhimu lakini pia ukakamavu una sehemu yake.Mleta mada tunapata wapi au tutumie mbinu gani kuwatambua watu wenye IQ kubwa?
 
Kifupi huna akili kwa hiyo kwa kuwa raia anajua kutumia pistol na bunduki kwa hiyo mwanajeshi asifundishwe kutumia pistol na bunduki?

Mambo ya jeshini ya need kucheza na vitoto vyenzio golori
Nahisi kama elimu yako na uwezo wa kujenga hoja ni Kwa level Pre unit. So siwezi kuendelea kujibishana na moumbavu
 
Ingekuwa kweli unayoyasema jeshi lisingewekeza Kwa sasa kwenye military science, why viijana wengi Sana waliomaliza form six Kwa mchepuo wa science wanachukuliwa Sana kwenda jeshini. Unaweza kuelezea sababu ni nini?
 
Sijasema jeshi haliwekezi technology ila nilikuwa namjibu mtu aliyekuwa anadharau uwezo na silaha za jeshi letu akilinganisha na mataifa mengine yaliyoendelea.

Jeshi letu lina maboresho mengi yanayolenga kuendana na teknolojia ya kisasa ambayo mara nyingi inaendana na kuimudu kifedha na kimatumizi.
 
Ushauri mzuri lakini si raisi hivyo wizara ya ulinzi ina bajeti ndogo mno pili hapa kwetu masuala ya ugaidi na uhalifu si mengi na kama yapo syo ya ukubwa huo hzo iron dome za israel zimewekwa kwa shinikizo maalumu kwa magumu waliyopitia mfano mfumo mzima wa ulinzi na usalama wa USA uliimarika mara 10 zaid baada ya tukio la sept 11 hvyo kwa hapa kwetu bado ni vigumu kufika huko kwa sasa ila kitafanyika ambacho kina umuhimu kwa wakati na mazingira maalumu pekee haya maoni tu wana jamii int
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…