Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu haijalishi kama walikuwa marines au navy seals, kikubwa ni kuwa kukamilisha ile mission walitumia ujuzi wa kiakili pamoja na technology ya hali ya juu hawakutumia karate wala kupasua mawe. Mafunzo yao si ya maonyesho kwa kila mtu kuyaona. Halafu Mkuu Acha dharau kwa kuharisha mdomoni.We Duwanzi kweli.
Waliommaliza Bin Laden walikua ni MARINES au NAVY SEALS??
If yes, kaangalie mazoezi yao au actions zao.
Hivi kumbe lishe duni utotoni ina madhara makubwa kiasi hichi mpaka uwezo wa kutumia kichwa unakua hakuna.
TFNC wanayo kazi
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Namshangaa awatazame wale Navy SEAL, Spetnaz wa Russia, SAS wa UK ni ubishani wa vijiweni tu ndo maana nasoma comments nabaki kusikitika.Kuna kitu is missing kwenu kuhusu jeshi. Yani mkisikia jeshi mnawaza vita tu, tena vya kumiminiana risasi au kuvurumishiana makombora tu basi
Jeshi ni taasisi mazee...
Wale unaoona wanavunja tofali kwa kichwa usichukulie lelemama mzee inawasaidia kwenye baadhi ya mazingira mfano special mission
Kuna vitengo vingi mule; intelijensia mizinga anga mawasiliano nk kwahiyo hata hao unaosema wa kuwasha kompyuta wapo wengi tu tena wengine serikali inagharamia kabisa kuwapeleka nje kusomea hayo mambo unayoyataja
Kuhusu maonesho huwezi kuonesha mambo ya cyber na maswala mengine ya kiintelijensia kwahiyo muendelee tu kuwa wavumilivu kwani mtaendelea kuona mazoezi ya ukakamavu yakiwemo kubeba mtu kwa meno na kujipigiza chini kwa kichwa
Mwisho kabisa nisikushangae wala kukulaumu kwani nyinyi ndio wale mnaosababisha mtu ajitume zaidi au akate tamaa kabisa. Hamthamini (mnadharau) vya kwenu. Naomba nikuache na swali pia ukipenda unijibu je hizo nchi unazoona wamewekeza zaidi kwenye teknolojia katika majeshi yao hakuna watu/vitengo/maonesho ya kuvunja matofali kwa kichwa?
Ujinga mzigo
Kwa hiyo mfano ukiwa mwanajeshi uko doria mtaani akija akija kibaka kwa nyuma yako akakukaba utabonyeza computer? kuumchomoa kwenye shingo yako kiteknolojia mjinga wewe?
Kwahiyo hata wakitaka kwenda kukamata majambazi watumie technology? Au unataka watoe siri za kambi? Hivi bila mazoezi Askari si watakuwa na vitambi kabisa, acha wapasue siku ukikutana na wale wazee [emoji123] au ndoo ndiyo utajua
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kutokujuwa kinachoendea TISS ama (na) JWTZ hakufanyi unavyowaza iwe ndivyo.
Kutokujuwa kinachoendea TISS ama (na) JWTZ hakufanyi unavyowaza iwe ndivyo.
Kutokujuwa kinachoendea TISS ama (na) JWTZ hakufanyi unavyowaza iwe ndivyo.
Usijidanganye wewe, they're well equipped with modern tech. Weapons and facilities including night goggle vision.Na wakiwa wakiwamekamilika ujue ni mpaka chupi kavaa zina nembo ya UN
Tanzanian special forces training for the Monsuco FIB (United Nations Force Intervention Brigade) mission
View attachment 1861062
Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua!
Hiyo ni moja, mbili..
Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila zinazo tua ardhini chache sana kutokana na nguvu ya technolojia ya kulinda anga ya IRON DOME.
Yani kombora kabla halija tua lina maliziwa huko huko angani..
Sasa najiuliza hayo makombora yaliyo rushwa kwenda Israel na yakamalizwa kabla hayajatua ardhini je yangetua pale Magogoni au pale posta au pale kariakoo kuna Mtanzania hata mmoja angepona kweli?
Nadhani ni wakati sasa TISS na JWTZ wakaanza kuwekeza kwenye technolojia zaidi maana vita vya kisasa ni technolojia na sio mabavu!!
Unaweza pigwa na kanchi kadogo kisa tu kanatumia technolojia wakati wewe umewekeza kwenye mabavu na kuvunja matofali kwa kichwa!
Dunia ya sasa ni bora uwe na jeshi la watu 1000 wenye IQ kubwa na wenye kuweza kutumia technolojia kuliko uwe na jeshi la watu milioni moja ambao hawajui hata kuwasha kompyuta!
Ajirini vijana wenye IQ/Akili kubwa ili muwatumie katika technolojia na tafiti mbalimbali za kitechnolojia!!
Acheni kuangalia TBC kila saa washa Aljazeera mjifunze kichoendelea huko gaza na jinsi wenzetu wanavyowekeza kwenye technolojia!!
Zindukeni dunia imebadilika hii!!
Naomba kuwasilisha!
AaahhUsijidanganye wewe, they're well equipped with modern tech. Weapons and facilities including night goggle vision.
Acheni kupotosha, na hizo bunduki Ni za Tanzania siyo UN, Cha UN ni badge na vitu vingine vya kiutaratibu tu.
Mmeathiriwa na nadharia kuliko uhalisia! Mambo ya kijeshi yanapimwa kwa ukanda husika na level of threat.Aaahh
acha longolongo, vifaa vyote ni vya kiwango cha vita ya pili ya dunia
Hebu changamkia fursa..
![]()
How to Join the British Army as a Foreigner | How2Become.com
Click here to Find Out What You Need to do to Join the British Army as a Foreigner or Commonwealth Citizen, and Secure Your Dream Career in 2019! Learn More About British Army Recruitment for Commonwealth Countries 2019.www.how2become.com
Nahisi kama elimu yako na uwezo wa kujenga hoja ni Kwa level Pre unit. So siwezi kuendelea kujibishana na moumbavuKifupi huna akili kwa hiyo kwa kuwa raia anajua kutumia pistol na bunduki kwa hiyo mwanajeshi asifundishwe kutumia pistol na bunduki?
Mambo ya jeshini ya need kucheza na vitoto vyenzio golori
Ingekuwa kweli unayoyasema jeshi lisingewekeza Kwa sasa kwenye military science, why viijana wengi Sana waliomaliza form six Kwa mchepuo wa science wanachukuliwa Sana kwenda jeshini. Unaweza kuelezea sababu ni nini?Mmeathiriwa na nadharia kuliko uhalisia! Mambo ya kijeshi yanapimwa kwa ukanda husika na level of threat.
Kwa mfano unatamani JWTZ iwe equipped with modern ( 4th and 5th gen) supersonic and hypersonic weapons za nini?
Modernization ya jeshi hufanywa kwa kuangalia maadui au mataifa yanayokuzunguka hasa kwa kuzingatia maeneo ya kamandi kuu tatu za kivita.
Hatuhitaji kutumia pesa nyingi Sana kununua S-400 air defense system kwa sababu hakuna adui wa karibu anayeweza kuenda kimapambano nje na uwezo wetu ( silaha).
Usidhani manunuzi ya silaha hufanya kiholela Kama kununua mikate bakery!
Sijasema jeshi haliwekezi technology ila nilikuwa namjibu mtu aliyekuwa anadharau uwezo na silaha za jeshi letu akilinganisha na mataifa mengine yaliyoendelea.Ingekuwa kweli unayoyasema jeshi lisingewekeza Kwa sasa kwenye military science, why viijana wengi Sana waliomaliza form six Kwa mchepuo wa science wanachukuliwa Sana kwenda jeshini. Unaweza kuelezea sababu ni nini?