JWTZ cyber warfare unit

JWTZ cyber warfare unit

Kama tuma Vijana wa TISS kutwa nzima akitekenywa tu anasema mie ni Usalama. ( Ofcoz ni mwanausalama wa TISS).

Unadhan tunaweza kua na JWTZ Cyber unit yenye ubora, Uwezo ulotukuka??.

Sisi ya kwetu ni masifa na majiguvu tu.

Look, mwaka 2022 Mossad kupitia kampuni mbalimbali za ulaya, walifanikiwa kutengeneza Pagers, laptop, na simu ambazo Kwa pamoja zilipandikizwa milipuko. Fikiria Jambo kubwa kama Hilo, lakini Jamaa wanahakikisha vifaa hivo vitakwenda Kwa HEZIBOLLAH TU , kwamba hamna Raia wakawaida mwingine Ndani ya Lebanon na Dunia nzima atakayekua na kifaa hiko zaidi ya HEZIBOLLAH TU.

Angalia Kichapo wanachopewa HEZIBOLLAH Sasa !!.

Jana nilikua Job, kaletwa demu Yuko hoi, walomleta ni Wanawake wenzie majirani, huwezi amini walipofika tu ukasikia " jaman jaman msaidieeni huyu haraka Mumewe ni yule Usalama wa Taifa" ( Ofcoz ni kweli).

Kuna kipindi Niko ivoivo job, naletewa Faili na Nurse huku akiniambia.... Dokta Dokta doktaaa naomba unisaidie huyu Dada , ni mwanausalama wa Taifa ".
Inafikirisha 🤔
 
Nauliza tu…

Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.

Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.

Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.

Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.

Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.

Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.

Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.

Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.

Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.

Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Mkuu,
Tatizo ni kutukuza watawala wa kisiasa bila kujielekeza kwenye wigo wa teknolojia ya kivita. Mtu au kikundi kinaweza kushambuliwa kwa kutumia vifaa vya kielektroniki anavyovitumia na kuringa navyo akifikiri yuko salama kumbe ndio kilengesho cha ufasaha kutoka kwa adui siku hizi.

Case Study
Recently Pagers were turned into weapons of war in Lebanon and Syria where folks were instantly killed and hundreds seriously injured.
Read more at: Explained: How Israel turned pagers into weapons of war

Cyber War: 2025
There are three cyber-effect categories of defensive cyberspace operations (DCO), offensive cyberspace operations (OCO), and computer network exploitation (CNE). The premise of CyberWar: 2025 was to create a collaborative training environment in which leaders, policymakers, and non-technical personnel partner with those who have experience in cyberspace operations, cybersecurity, or a similar technical field.CyberWar: 2025 simulates a realistic cyberspace operational environment and models the effects of current real-world cyber activities in a non-technical andstraightforward manner. The complexity of CyberWar: 2025 lies within the core game mechanics of randomization and dynamic board changes, which challenge each player from one round to the next. The objective of CyberWar: 2025, like many strategic games, is a simple one: to accrue territory, eliminate competitors, and dominate the gameboard. A player achieves these objectives by gaining access to and controlling key server nodes, defending oneǯs network, and knocking adversaries out of the game by denying or destroying critical nodes and networks. Developing and executing a sound strategy using defensive, offensive, and exploitative cyber effects are key to victory. Three Defensive Cyberspace Operations (DCOs): Analyze, Secure, and ExpelAnalyze is an enhanced scanning effect that scans the players' entire network of linked server nodes to reveal any opponents that are covertly operating within their network. It can also attribute a manipulated effect to the attacker who launched the effect.

New Generation of Sophisticated Soft Skills
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
 
Nauliza tu…

Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.

Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.

Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.

Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.

Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.

Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.

Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.

Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.

Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.

Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Mkuu
Jeshi letu lote kuanzia polisi hadi juu wanajua kudukua mawasiliano ya raia. Hawavuki nje ya mipaka.

Sad and embarrasing
 
Kuna jamaa wanasimamia rada pale kambi x wakiwa mtaani wanajiita ma ma hacker eti kisa wanaona.kila.kimachopita angani ukowauliza Kuna cha.ziada.hawana, mtu una muuliza what is cyber attack hajui hata unasema nini Sasa ndo Hali halisi. Mimi nimekaa nao
Mmekalili sana
 
Inabidi na sisi tuwapeleke vina wetu huko Israel wakijifunze kwa IDF na kuimarishwa katika hiyo technolojia Future wars zote na za sasa zote zinategemea zaidi Electronic Technolgy, kuanzia hata hizo Dronese zenyewe mpaka hayo makombota ya masafa mafupi na marefu ( IBMs), mpaka Rad jamminig. Tumeona juzi kilichowakuta Hezbollah . Kuna ka nchi kadogo jirani yetu kenyewe kamekuwa na mahusiano mazuri na Jeshi la IDF na serikali ya Israel na kanapeleka vijana wake kufunzwa huko. Tusikubali kuachwa nyuma. Dunia inabadirika, size does not matter anymore.
 
Tunapenda kuchukulia poa sana vitu vyetu! Mkitaka kujua kitengo kipo na kina ufanisi mzuri iguseni hiyo idara. Mambo ya ulinzi na usalama huku kwetu Afrika huwa ni siri.
 
Jamaa wenyewe ndo wale wanapiga mtungo demu mmoja, halafu wanajisifu "hadi ameomba maji!".

Ilhali mimi peke yangu mademu walishaniomba maji sana. Leo useme wana weledi wowote wale?
 
Kwenye nchi za kifisadi kama ya kwetu kila idara ni upigaji tu. Kila siku wanjunua vifaa na magari ya kichina sidhani kama wanajua hata kurusha drones
Afadhali hata magari na vifaa vya Kichina. Kihoja kilikuwa ni yale Magari ya TATA ya Kihindi. Nilipoyaona barabarani yana nembo nzuri ya Taifa letu, nilisikitika kuona Magari kama haya ya TATA eti nayo ni sehemu ya Fleet ya vijana wetu. Hiyo tenda aliifanyia mpango Manji na genge lake la wapigani ndo yakanunuliwa toka India. Wakaacha Mercides Benz ambao Jeshi letu lilikuwa linatumia na kuna vijana mafundi walishapelekwa huko Germany kujifunza namna ya kuyaendesha na kuyahudumia service na vipuli, na walikuwa wanatupa hata masaada wa Vipuli. Eti TATA nalo ni gari la kufanya kazi nzito na ngumu kwenye mazingira ya shughuli za vijana wetu. Hapo kweli tulipigwa , na JIWE alipokuwa madarakani aliliona hilo ndo akawa ameahidi kuongezea Actros Mercedes Benz kwenye Fleet za Vijana wetu, wakati wa operation za Korosho ya Mtwara. Sujui kama aliacha yamewasili kabla ya kifo chake au tena tuligeukia India ambako wale wahindi ni mabingwa wa kick backs kwenye biashara zao . Manji alikuwa na mtandao wa kifisadi ( Hata hivyo Mungu amrehemu , kama anastahili any way).
 
Small States zinakuwaga serious kwenye kuimarisha vikosi vyao. Haka ka nchi kamejizatiti na kana mahusiano mazuri USA na IDF-ya Israel kwenye training na vifaa. Tusibweteke na sisi pia. Not things as usual mambo yanabadirika. Lakini nchi ambako kuna ufisadi pia ufanisi na uimara wa taasisi zake unakuwa unalegalega. Alijisemea Former CDF Gen Mabeyo kwenye hotuba yake kwenye Mazishi ya Jiwe huko Chato mwezi March 2021, Ufisadi na rushwa ni adui wa haki na pia adui mkubwa wa Taifa. Bahati mbaya hatuelekezi nguvu nyingi huko badala yake tunajielekeza kupambana na Mbowe et al, ambao ki msingi hawana madhara yoyote ya wazi. Hata wengine wakiona Panya wanapiga kelele na kukimbia, kama yule jamaa KM wa Chama kile pendwa.
Ulishawahi kuona maonesho ya kijeshi hapo Kigali?
 
Wakiondoa hiyo system ya kuajiri, kesho watakuja kutoa tangazo kuombq raia wazaane

Unazani wao wajinga kuwa na sera za namna hiyo huku nchi zingine zikiwa zinapambana raia wao waongezeke?
Natamani wanchama wate wa hiki chama wangekuwa wanaisoma na kuizingatia hii IMANI YA MWANA CCM ( TANU). Imekaa vema sana. Nyerere na wenzake wakifukua na kuona namna chama hiki kilivyotekwa na wahuni watasikitika na kulia machozi ya samaki. Kimevamiwa na kuporwa.
 
Nauliza tu…

Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makandoo wa JWTZ.

Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono.

Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke.

Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito.

Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa jeshi letu ni moja ya majeshi bora 6 duniani 🤣.

Sasa, kwa ufahamu wangu mimi, majeshi yote yaliyo bora duniani yana vitengo vya cyber warfare.

Wiki hii tumeshuhudia moja ya kazi za kitengo cha cyber warfare huko Lebanon.

Ingawa hawajakiri kuwa ni wao, lakini watu wengi wenye akili wana fununu kuwa ni akina nani hao waliohusika na kuzilipua pagers za Hezbollah……IDF kupitia kitengo chao cha cyber warfare.

Sijui Kama JWTZ wana hicho kitengo. Sina hakika kama wana uwezo hata wa kudukua mifumo yoyote iliyopo Burundi au hata Sudan ya Kusini.

Kwa mnaojua, JWTZ wakoje kwenye hayo mambo?
Technolojia mpya zote duniani huanzia majeshini, pote, marekani, Israel, Urusi, nk. Hii ni kwa sababu huko ndipo bongo kubwa kabisa huajiriwa. Usitegemee jeshi lililopatikana kwa ajira za vimemo vya wakubwa na kadi za vyama, likuletee matokeo ya ujuzi. Mbali na majeshini, tuelewe kuwa Nchi zote duniani zimepiga hatua kubwa kwa kuwategemea wenye akili kubwa kama watafiti, wangunduzi na watalaam tu

Teknolojia mpya pote duniani imeanzia majeshini, huko ndipo wenye akili kubwa huajiriwa. Ukiwa na jeshi lililopatikana kwa vimemo vya wakubwa na kadi za vyama vyao, usitegemee matokeo ya kiujuzi. Uliyemwajiri alitumia kadi, jina la mkuu fulani au ushabiki wa kisiasa, kumtaka akupe matokeo mazuri ya ujuzi asiokuwa nao, ni kumuonea sana

Teknolojia Bora kabisa katika nchi kubwa kama Marekani, Urusi, Israel, China, Uingereza nk zilianzia jeshini. Wao wanaajiri akili kubwa. Kama ajira ilitokana na ushabiki wa vyama, kadi za vyama na majina ya wakubwa na sio sifa na ujuzi, hatutegemei matokeo tofauti na walivyoingia jeshini. Tunavuna mapando tuliyopanda. Hata maendeleo ya kawaida, nchi zote duniani zimeemdelea kwa kuheshimu, kutumia na kufuata ushauri wa watafiti, wangunduzi na watalaam wabobevu katika nyanja zote, iwe ktk afya, viwanda, elimu ya anga, mawasiliano nk. Ila tukikubali kuongozwa na matamko ya siasa tu ( ambayo kimsingi sio mbaya) tuvumilie maumivu yake miaka mamia yajayo. Ukweli mchungu ni kuwa kuna mambo hayataki kabisa siasa hata kidogo, ingawa siasa Ina mahala pake. Bado hatujachelewa kubadilika,, ila tukiamua.
 
Acheni dharau
 
Angalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
Kuna dogo ni hacker balaa, alikua mandela university arusha,alihack tigopesa yangu kwamba katoa pesa,ni rafiki yangu, alikua anatest mitambo tu
 
Technolojia mpya zote duniani huanzia majeshini, pote, marekani, Israel, Urusi, nk. Hii ni kwa sababu huko ndipo bongo kubwa kabisa huajiriwa. Usitegemee jeshi lililopatikana kwa ajira za vimemo vya wakubwa na kadi za vyama, likuletee matokeo ya ujuzi. Mbali na majeshini, tuelewe kuwa Nchi zote duniani zimepiga hatua kubwa kwa kuwategemea wenye akili kubwa kama watafiti, wangunduzi na watalaam tu

Teknolojia mpya pote duniani imeanzia majeshini, huko ndipo wenye akili kubwa huajiriwa. Ukiwa na jeshi lililopatikana kwa vimemo vya wakubwa na kadi za vyama vyao, usitegemee matokeo ya kiujuzi. Uliyemwajiri alitumia kadi, jina la mkuu fulani au ushabiki wa kisiasa, kumtaka akupe matokeo mazuri ya ujuzi asiokuwa nao, ni kumuonea sana

Teknolojia Bora kabisa katika nchi kubwa kama Marekani, Urusi, Israel, China, Uingereza nk zilianzia jeshini. Wao wanaajiri akili kubwa. Kama ajira ilitokana na ushabiki wa vyama, kadi za vyama na majina ya wakubwa na sio sifa na ujuzi, hatutegemei matokeo tofauti na walivyoingia jeshini. Tunavuna mapando tuliyopanda. Hata maendeleo ya kawaida, nchi zote duniani zimeemdelea kwa kuheshimu, kutumia na kufuata ushauri wa watafiti, wangunduzi na watalaam wabobevu katika nyanja zote, iwe ktk afya, viwanda, elimu ya anga, mawasiliano nk. Ila tukikubali kuongozwa na matamko ya siasa tu ( ambayo kimsingi sio mbaya) tuvumilie maumivu yake miaka mamia yajayo. Ukweli mchungu ni kuwa kuna mambo hayataki kabisa siasa hata kidogo, ingawa siasa Ina mahala pake. Bado hatujachelewa kubadilika,, ila tukiamua.
Kuna kipindi 2005-10 huko, jeshini walikua wakiwavutia watu wa IT na sayansi zingine kwenda jeshini na kwamba hawatapigishwa kwata sana
 
Back
Top Bottom