haha duhJana ilivyokua mahakamani:
Wakili-Kuna msg yoyote/ujumbe wa sauti wowote ulio onyesha Mbowe akikuita wewe ndg Shahid (urio) Hilo jina la 'Homeboy'?
Urio-Hapana
Wakili:Je tukisema wewe ndio umetunga hilo jina la homeboy kwa kujipendekeza kwa Mbowe ili kujifanya unamjua sana tutakua tumekosea?
Urio-Sijui.
Ndugu Missile of the Nation zipo undoubtful facts kadhaa zimefunuliwa na kesi hii;Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo.
Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata kuathiri taswira ya jeshi mbele ya umma.
Kuna haya mambo yafuatayo:
1. Je, jeshi lina taarifa za askari wake Denis Urio kumtafutia Mbowe walinzi ambao yeye Urio anasema walipanga kufanya uhaini? —Hata hivyo mahakamani Urio kasema hakuripoti Jeshini bali karipoti kwrnye mamlaka ya kipolisi. Je, hivi ndivyo askari wa JWTZ anavyopaswa kufanya pindi anapopata taarifa za uhaini?
2. Ushahidi wa Urio una matobo mengi, kuna kila sababu ya kudhani kuwa Urio anatoa ushahidi wa uwongo ili kuwaumiza raia wasio na hatia–Hapa JWTZ haina budi kufanya uchunguzi binafsi na kujiridhisha juu ya mwenendo na tabia za askari wake huyu Denis Urio
3. Mbele ya jamii ni vigumu kwa JWTZ kujiweka pembeni katika hii kesi kwa sababu, wananchi wanapata taswira mbaya kuwa JW inatumika kisiasa kuumiza wapinzani—Kwa hiyo ipo haja kwa JWTZ kujisafisha dhidi ya tabia na mwenendo wa Denis Urio kama ulivyothibitika katika ushahidi anaoutoa mahakamani.
Chadema mnajitahidi sana kupotosha ili gaidi asifungwe lakini hamtafanikiwa.
Denis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.we
wewe ndio unasema ameshindwa, lakini wenye kesi wanajua kwanini wamemleta, ili aje aunganishe dot kwenye ushahidi wa yupi ambaye labda ameshatoa ushahidi au anakuja kutoa ushahidi baada yake. ndio maana tunasema msubiri hadi kesi iishe. msikurupuke.Mbona ameshindwa kuthibitisha?
We mpuuzi unadhani na sisi ni wajinga wenzako?wewe ndio unasema ameshindwa, lakini wenye kesi wanajua kwanini wamemleta, ili aje aunganishe dot kwenye ushahidi wa yupi ambaye labda ameshatoa ushahidi au anakuja kutoa ushahidi baada yake. ndio maana tunasema msubiri hadi kesi iishe. msikurupuke.
Hili ndio ombi letu.Haendi popote na Wala hafungwi!!!! Mark my words.
we hujui kitu mzee. trust me.We mpuuzi unadhani na sisi ni wajinga wenzako?
Kosa la hao vijana watatu liko wapi sasa au unaropoka tu na weweChadema mnajitahidi sana kupotosha ili gaidi asifungwe lakini hamtafanikiwa.
Denis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.
We dada acha kutumika kijingawe hujui kitu mzee. trust me.
chadema mmeshaanza matusi. ukiona hivyo jua dawa imeshakuingia au nimepiga kwenye mshono.We dada acha kutumika kijinga
Kutokuolewa kwako kusiwe issuechadema mmeshaanza matusi. ukiona hivyo jua dawa imeshakuingia au nimepiga kwenye mshono.
Hapa hakuna upotoshaji hadi hapa hii kesi ilipofikia ishabuma... akili zako nadhani ni finyu sana na mmefail pakubwa shame upon you viazi wa ccmChadema mnajitahidi sana kupotosha ili gaidi asifungwe lakini hamtafanikiwa.
Denis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.
Lakin kwa ushahidi unaoendelea kutolewa mahakamani naona bado hautoshi kumfanya Mbowe aonekane Gaidi, labda tusubiri huko mbeleShida mnakuja hapa na kujifanya mnajua kumbe wasindikizaji tu. unafikiri kweli jeshi halina taarifa za kutosha na mtu wao hadi anakuja kutoa ushahidi? pia, tuchukulie mfano, Mbowe ambaye alikuwa anamwita urio "homeboy", ameamua kuingia kwake ili amtafutie walinzi na akaamua kumshirikisha huyo homeboy wake uovu anaotaka kuufanya akijua kwamba urio hatamsaliti kwasababu wametoka mbali na ni homeboy, urio akafikisha taarifa ile kwa wakubwa zake, lazima wakubwa zake watamwelekeza akende polisi, na akifika polisi lazima tu watamwambia "ili tumpate mbowe na uovu anaouwaza, jifanye kushirikiana naye".
Hapo watashirikiana hadi kuwapata hao walinzi na mambo yote yaliyoendelea mbowe akiamini kuwa urio yupo upande wake kumbe mwenzake ameshakuwa pandikizi. kumbuka kuwa hayo mambo ua uovu lazima yalikuwepo kitambo na serikali ilikuwa inatafuta namna ya kureveal kupata ushahidi. mbowe akaingia king...na ndio yupo hapo anashangaashangaa tu anatokaje, anasubiri tu huruma za wananchi na serikali. ukweli halisi anaujua mbowe, na Mungu anamuona.
Wewe ndo maana inaitwa Chapwa naona unachapwa sana na akili zako za ...Shida mnakuja hapa na kujifanya mnajua kumbe wasindikizaji tu. unafikiri kweli jeshi halina taarifa za kutosha na mtu wao hadi anakuja kutoa ushahidi? pia, tuchukulie mfano, Mbowe ambaye alikuwa anamwita urio "homeboy", ameamua kuingia kwake ili amtafutie walinzi na akaamua kumshirikisha huyo homeboy wake uovu anaotaka kuufanya akijua kwamba urio hatamsaliti kwasababu wametoka mbali na ni homeboy, urio akafikisha taarifa ile kwa wakubwa zake, lazima wakubwa zake watamwelekeza akende polisi, na akifika polisi lazima tu watamwambia "ili tumpate mbowe na uovu anaouwaza, jifanye kushirikiana naye".
Hapo watashirikiana hadi kuwapata hao walinzi na mambo yote yaliyoendelea mbowe akiamini kuwa urio yupo upande wake kumbe mwenzake ameshakuwa pandikizi. kumbuka kuwa hayo mambo ua uovu lazima yalikuwepo kitambo na serikali ilikuwa inatafuta namna ya kureveal kupata ushahidi. mbowe akaingia king...na ndio yupo hapo anashangaashangaa tu anatokaje, anasubiri tu huruma za wananchi na serikali. ukweli halisi anaujua mbowe, na Mungu anamuona.
ukiona matusi ujue nimegusa kwenye mshono, nimepiga penyewe. tulia dawa ikuingie mzee.Wewe ndo maana inaitwa Chapwa naona unachapwa sana na akili zako za ...
nitacheka sana siku nikija kugundua kuwa co-accuseds na urio wote walikuwa na lao moja, kumkamatisha mbowe aliyekuwa na uchu wa kufanya uovu. na mbowe pale alipo anaweza kuwa anaamini wale wenzie ni wenzie. na chadema wanawatetea kwelikweli. jueni hao ni makombandoo. au hamuelewi?Lakin kwa ushahidi unaoendelea kutolewa mahakamani naona bado hautoshi kumfanya Mbowe aonekane Gaidi, labda tusubiri huko mbele
mzee mi ni mwanaume, siwezi kufanya huo ufirauni ambao cdm mmekuwa mkiupigia debe. ndio maana niko mstaarabu situkani kama wewe. ila wewe kwa tabia zako hizi unatia mashaka.Kutokuolewa kwako kusiwe issue
Sio rahis hivyo boss, Trust me. Kumbuka Chadema na Mbowe walikuwa na nafasi ya kuongea na Serikali kulimaliza hili km Zitto alivyolianzisha lakin wakakataa kabisa, so tusitumie hisia ngoja tusubiri mwisho wake.nitacheka sana siku nikija kugundua kuwa co-accuseds na urio wote walikuwa na lao moja, kumkamatisha mbowe aliyekuwa na uchu wa kufanya uovu. na mbowe pale alipo anaweza kuwa anaamini wale wenzie ni wenzie. na chadema wanawatetea kwelikweli. jueni hao ni makombandoo. au hamuelewi?
Tahira kwa kwangu cha huu DCI na Chain of command ya jeshi wapi na wapiChadema mnajitahidi sana kupotosha ili gaidi asifungwe lakini hamtafanikiwa.
Denis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.