Firauni aka Bashir aka watoto wa chupamzee mi ni mwanaume, siwezi kufanya huo ufirauni ambao cdm mmekuwa mkiupigia debe. ndio maana niko mstaarabu situkani kama wewe. ila wewe kwa tabia zako hizi unatia mashaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Firauni aka Bashir aka watoto wa chupamzee mi ni mwanaume, siwezi kufanya huo ufirauni ambao cdm mmekuwa mkiupigia debe. ndio maana niko mstaarabu situkani kama wewe. ila wewe kwa tabia zako hizi unatia mashaka.
Ila ukimtaka Mungu, usisahau kuwa huyo mungu wako Mbowe na wafuasi wake siyo watu watakatifu piaKuipata haki hapa Duniani ni ngumu sana, kitu kimoja naamini ni kwamba Mungu yupo, anaona, anasikia na anajibu, nani alijua kwamba yule Bwana fulani angeondika mapema tena hata bila kukamilisha mipango yake, Mbowe atulie, akubali matokeo yatakayokuja, awe na imani Mungu yupo na wenye haki wanamuombea.
we ni mjinga, na ni wa kukuacha tu uendelee kujiaibisha.Firauni aka Bashir aka watoto wa chupa
Mashaka mm baba ako?mzee mi ni mwanaume, siwezi kufanya huo ufirauni ambao cdm mmekuwa mkiupigia debe. ndio maana niko mstaarabu situkani kama wewe. ila wewe kwa tabia zako hizi unatia mashaka.
walikataa baada ya kushauriwa vibaya na Tundu Lisu anayekunywa bia huko ulaya wakati mwenzake yupo jela muda wote huu hata mbususu anazisikia tu kwenye luninga. na ugaidi una miaka mingi, ajiandae tu. Tundu Lisu amewapotosha wana cdm na kuna uwezekano anafanya makusudi kutokana na figisu za pesa ambazo wamekuwa wakipambana ndani kwa ndani kwa kitambo sasa. unakumbuka karibia zichapwe kipindi kile cha kampeni, mwenyekiti katumia pesa za kampeni...Sio rahis hivyo boss, Trust me. Kumbuka Chadema na Mbowe walikuwa na nafasi ya kuongea na Serikali kulimaliza hili km Zitto alivyolianzisha lakin wakakataa kabisa, so tusitumie hisia ngoja tusubiri mwisho wake.
"Huku tunamafunzo yetu ukifuzu ndio unapata vyeti"Hivi lile zoezi la "vyeti" lilipenya na huku?
Wewe unalazimisha kama nani?Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo.
Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata kuathiri taswira ya jeshi mbele ya umma.
Kuna haya mambo yafuatayo:
1. Je, jeshi lina taarifa za askari wake Denis Urio kumtafutia Mbowe walinzi ambao yeye Urio anasema walipanga kufanya uhaini? Hata hivyo mahakamani Urio kasema hakuripoti Jeshini bali karipoti kwrnye mamlaka ya kipolisi. Je, hivi ndivyo askari wa JWTZ anavyopaswa kufanya pindi anapopata taarifa za uhaini?
2. Ushahidi wa Urio una matobo mengi, kuna kila sababu ya kudhani kuwa Urio anatoa ushahidi wa uwongo ili kuwaumiza raia wasio na hatia–Hapa JWTZ haina budi kufanya uchunguzi binafsi na kujiridhisha juu ya mwenendo na tabia za askari wake huyu Denis Urio
3. Mbele ya jamii ni vigumu kwa JWTZ kujiweka pembeni katika hii kesi kwa sababu, wananchi wanapata taswira mbaya kuwa JW inatumika kisiasa kuumiza wapinzani. Kwa hiyo ipo haja kwa JWTZ kujisafisha dhidi ya tabia na mwenendo wa Denis Urio kama ulivyothibitika katika ushahidi anaoutoa mahakamani.
Kwamba askari wa JW alipewa ruhusa na askari polisi! Labda, ila sijui lakiniDenis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.
siro,kingai,urio,jumanne,sabaya,mahita,makonda na kina goodluck ndio wale watu wasiojulikana?Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo.
Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata kuathiri taswira ya jeshi mbele ya umma.
Kuna haya mambo yafuatayo:
1. Je, jeshi lina taarifa za askari wake Denis Urio kumtafutia Mbowe walinzi ambao yeye Urio anasema walipanga kufanya uhaini? Hata hivyo mahakamani Urio kasema hakuripoti Jeshini bali karipoti kwrnye mamlaka ya kipolisi. Je, hivi ndivyo askari wa JWTZ anavyopaswa kufanya pindi anapopata taarifa za uhaini?
2. Ushahidi wa Urio una matobo mengi, kuna kila sababu ya kudhani kuwa Urio anatoa ushahidi wa uwongo ili kuwaumiza raia wasio na hatia–Hapa JWTZ haina budi kufanya uchunguzi binafsi na kujiridhisha juu ya mwenendo na tabia za askari wake huyu Denis Urio
3. Mbele ya jamii ni vigumu kwa JWTZ kujiweka pembeni katika hii kesi kwa sababu, wananchi wanapata taswira mbaya kuwa JW inatumika kisiasa kuumiza wapinzani. Kwa hiyo ipo haja kwa JWTZ kujisafisha dhidi ya tabia na mwenendo wa Denis Urio kama ulivyothibitika katika ushahidi anaoutoa mahakamani.
Ni ushahidi upi usio Acha shaka unaomtia hatiani Mbowe kwa kosa la ugaidi mpaka afungwe?Shida mnakuja hapa na kujifanya mnajua kumbe wasindikizaji tu. unafikiri kweli jeshi halina taarifa za kutosha na mtu wao hadi anakuja kutoa ushahidi? pia, tuchukulie mfano, Mbowe ambaye alikuwa anamwita urio "homeboy", ameamua kuingia kwake ili amtafutie walinzi na akaamua kumshirikisha huyo homeboy wake uovu anaotaka kuufanya akijua kwamba urio hatamsaliti kwasababu wametoka mbali na ni homeboy, urio akafikisha taarifa ile kwa wakubwa zake, lazima wakubwa zake watamwelekeza akende polisi, na akifika polisi lazima tu watamwambia "ili tumpate mbowe na uovu anaouwaza, jifanye kushirikiana naye".
Hapo watashirikiana hadi kuwapata hao walinzi na mambo yote yaliyoendelea mbowe akiamini kuwa urio yupo upande wake kumbe mwenzake ameshakuwa pandikizi. kumbuka kuwa hayo mambo ua uovu lazima yalikuwepo kitambo na serikali ilikuwa inatafuta namna ya kureveal kupata ushahidi. mbowe akaingia king...na ndio yupo hapo anashangaashangaa tu anatokaje, anasubiri tu huruma za wananchi na serikali. ukweli halisi anaujua mbowe, na Mungu anamuona.
ukisikia kitu kinaitwa " Proof beyond reasonable doubt - uthibitisho usioacha shaka"haitegemei shahidi mmoja, wakati mwingine huwa unategemea circumstantial evidence ambayo ili uthibitishe unatakiwa uwe na ushahidi wa matukio yasiyokatika kwenye mnyororo wake.....hivyo kila shahidi anakuwa na kakitu kake anakuja kuthibitisha anaondoa,ninyi mtahangaika kupuyanga kwenye cross examination kuuliza maswali ya kufurahisha umma kumbe wenzenu kile walichomleta aje kuthibitisha sicho kile mnachokishambulia. ndilo linalotokea hapo kwenye kesi, hadi nawaonea huruma hao mawakili wa mbowe. hawaelewi kitu, ila wanajua kuufurahisha umma ambao hawa haujui mambo ya kisheria zaidi ya ushabiki wa kisiasa.Ni ushahidi upi usio Acha shaka unaomtia hatiani Mbowe kwa kosa la ugaidi mpaka afungwe?
Kwa hisia na maelekezo kutoka juu ni sawa
Hata kama walikuwa na huo mpango, kwanini Urio asiache kazi ya Jeshi ili aambatane na Mbowe kuchukua Dola badala ya kuwabambikia watoto wa watu kesi mbaya kama hii?Shida mnakuja hapa na kujifanya mnajua kumbe wasindikizaji tu. unafikiri kweli jeshi halina taarifa za kutosha na mtu wao hadi anakuja kutoa ushahidi? pia, tuchukulie mfano, Mbowe ambaye alikuwa anamwita urio "homeboy", ameamua kuingia kwake ili amtafutie walinzi na akaamua kumshirikisha huyo homeboy wake uovu anaotaka kuufanya akijua kwamba urio hatamsaliti kwasababu wametoka mbali na ni homeboy, urio akafikisha taarifa ile kwa wakubwa zake, lazima wakubwa zake watamwelekeza akende polisi, na akifika polisi lazima tu watamwambia "ili tumpate mbowe na uovu anaouwaza, jifanye kushirikiana naye".
Hapo watashirikiana hadi kuwapata hao walinzi na mambo yote yaliyoendelea mbowe akiamini kuwa urio yupo upande wake kumbe mwenzake ameshakuwa pandikizi. kumbuka kuwa hayo mambo ua uovu lazima yalikuwepo kitambo na serikali ilikuwa inatafuta namna ya kureveal kupata ushahidi. mbowe akaingia king...na ndio yupo hapo anashangaashangaa tu anatokaje, anasubiri tu huruma za wananchi na serikali. ukweli halisi anaujua mbowe, na Mungu anamuona.
Moja ya kasha kubwa JWTZ ambapo miaka yote imekuwa inaheshimika sana. Sioni kwa nini mabeyo anaendeleza huu ujinga hii ndio shida ya viongozi wanaobebwa.Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo.
Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata kuathiri taswira ya jeshi mbele ya umma.
Kuna haya mambo yafuatayo:
1. Je, jeshi lina taarifa za askari wake Denis Urio kumtafutia Mbowe walinzi ambao yeye Urio anasema walipanga kufanya uhaini? Hata hivyo mahakamani Urio kasema hakuripoti Jeshini bali karipoti kwrnye mamlaka ya kipolisi. Je, hivi ndivyo askari wa JWTZ anavyopaswa kufanya pindi anapopata taarifa za uhaini?
2. Ushahidi wa Urio una matobo mengi, kuna kila sababu ya kudhani kuwa Urio anatoa ushahidi wa uwongo ili kuwaumiza raia wasio na hatia–Hapa JWTZ haina budi kufanya uchunguzi binafsi na kujiridhisha juu ya mwenendo na tabia za askari wake huyu Denis Urio
3. Mbele ya jamii ni vigumu kwa JWTZ kujiweka pembeni katika hii kesi kwa sababu, wananchi wanapata taswira mbaya kuwa JW inatumika kisiasa kuumiza wapinzani. Kwa hiyo ipo haja kwa JWTZ kujisafisha dhidi ya tabia na mwenendo wa Denis Urio kama ulivyothibitika katika ushahidi anaoutoa mahakamani.
Wanaume wa Dar ni waoga sana,kwa akili ya kawaida unadhani komando ni 'untouchable' au 'unbeaten'.Kamwe siwezi kumuogopa mtu yoyote.Kwanza anawajulisha raia makomando wa mtaani ambao wametoka kazini. Sisi wala hatuwajui sasa kuwatambua tu ni hatari kubwa. Kwakuwa ukimteka mke au mtoto wa komando na ukamshurutisha komamdo afanye lolote atafanya bila kusita hvyo si vyema kuwatambua watu hatari kama hao kwa namna yoyote ile hata waliopo kazini bora tu kujua huyu ni mwanajesh na si kujua kuwa ana uwezo gani
Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo.
Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata kuathiri taswira ya jeshi mbele ya umma.
Kuna haya mambo yafuatayo:
1. Je, jeshi lina taarifa za askari wake Denis Urio kumtafutia Mbowe walinzi ambao yeye Urio anasema walipanga kufanya uhaini? Hata hivyo mahakamani Urio kasema hakuripoti Jeshini bali karipoti kwrnye mamlaka ya kipolisi. Je, hivi ndivyo askari wa JWTZ anavyopaswa kufanya pindi anapopata taarifa za uhaini?
2. Ushahidi wa Urio una matobo mengi, kuna kila sababu ya kudhani kuwa Urio anatoa ushahidi wa uwongo ili kuwaumiza raia wasio na hatia–Hapa JWTZ haina budi kufanya uchunguzi binafsi na kujiridhisha juu ya mwenendo na tabia za askari wake huyu Denis Urio
3. Mbele ya jamii ni vigumu kwa JWTZ kujiweka pembeni katika hii kesi kwa sababu, wananchi wanapata taswira mbaya kuwa JW inatumika kisiasa kuumiza wapinzani. Kwa hiyo ipo haja kwa JWTZ kujisafisha dhidi ya tabia na mwenendo wa Denis Urio kama ulivyothibitika katika ushahidi anaoutoa mahakamani.
Fikiria kua MI nae angapata hii taarifa kutoka chanzo kingine alafu anawasiliana na DCI kupanga mikakati then DCI anamwambia askari wake Urio alimpatia hii taarifa bila ya kumwambia MI.No no mkuu urio alitakiwa apeleke taarifa hizi za kigaidi kwa MI ,ambao wangewasiliana na DCI for the way forward,tusiwe vihiyo hivi!
Unaelezea kitu kingine...Urio ameshasema kua hakutoa taarifa Jeshini inatosha.Shida mnakuja hapa na kujifanya mnajua kumbe wasindikizaji tu. unafikiri kweli jeshi halina taarifa za kutosha na mtu wao hadi anakuja kutoa ushahidi? pia, tuchukulie mfano, Mbowe ambaye alikuwa anamwita urio "homeboy", ameamua kuingia kwake ili amtafutie walinzi na akaamua kumshirikisha huyo homeboy wake uovu anaotaka kuufanya akijua kwamba urio hatamsaliti kwasababu wametoka mbali na ni homeboy, urio akafikisha taarifa ile kwa wakubwa zake, lazima wakubwa zake watamwelekeza akende polisi, na akifika polisi lazima tu watamwambia "ili tumpate mbowe na uovu anaouwaza, jifanye kushirikiana naye".