simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Sikuhizi ni mwendo wa jicho la mwewe tu kunako angani kwa kutumia teknolojia ya drones ambayo inaweza kurushwa ma mtu anae irusha anaweza akawa ni binti mdogo tu akiwa ofisini mkono moja anashika kikombe cha chai mwengine anasulubisha maadui.
Hakuna kujificha mbele ya drone, kitu kipo angani kina camera inayo zoom, ikiku zoom unalo.
Mnaweza kupitia mafunzo ya ukakamavubwa hali ya juu karibu mwaka mzima, ila kwa drone, hata binti ambae ni kuruta alie na muda wa wiki 1 tu kambini anaweza kuteketeza hao wote walipotia mafunzi makali mwaka mzima, achana na teknolojia aisee.
Mkuu wa majeshi ya Iran pamoja na mabidi gadi wake aliishia kupigwa na drone kipindi cha trump, achana na teknolojia aisee.
Yani ni kama mtu anacheza game tu kumbe anafanya kweli,
Modern warfare sawa na computer gaming.Tofauti pekee destruction,casualties and death are real.