Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Nashangaa sana watu wanaipa promo sana Rwanda wakati tuliisha wahi mshikisha adabu huyu dogo, well labda ni kweli wanajiandaa but kwa Tanzania labda Rwanda ingeweza kupata ushindi enzi za mwendazake, hakutumia hiyo oportunity, sasa hivi asahau kabisaRwanda walianzisha chokochoko vita itapigwa ndani ya ardhi yake .
Tutampiga upande wa kagera
Tutaingia burundj tutampiga
Tutaingia kongo tutampiga
Tutaingia Uganda tutampiga
Yaani tutamzunguka kote kote tunampiga
Unashangaza sana kama siyo kufanya utani. Yaani Rwanda wana uwezo mkubwa kiuchumi (kuliko Tanzania) hivyo kuweza kununua silaha kali ambazo Tanzania haiwezi kununua. Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.Sisi hatupo vitani,ila tunayo ya kujifunza.
1. Miaka mingi iliyopita Armenia ilitandika Azerbaijan na kunyang'anya maeneo makubwa.
2. Mwaka 2020 Azerbaijan ilijipanga ikaanzisha vita, Armenia walikuwa na majeahi na silaha nzito mno lkn hawakujua alichokuwa nacho adui yao.
3. Armenia alipigwa,wanajeshi wake waliuawa hadi wakaweka silaha chini.hadi sasa Azwebaijan amerudisha maeneo yake.
4. Vita vya siku hizi sio vya maguvu,ni vya akili na technologia.
5. Wakati Armenia amekuja na vifaru na jeshi imara kama tulivyozoea, Azerbaijan alikuja na Drones,nyingi na efficient zikaua wanajeshi wengi.
6. Walinunua drones bora sana toka kwa Israel na Uturuki. Amini usiamini,wameshinda vita yote kwa deones.
7. Kwa sasa Israel,uturuki,china,ufaransa na marekani wameboresha sana technolojia hii.
8. Azerbaijan ni nchi ya kiislam lkn ni ally wa israel dhidi ya Iran,mosas hupitia pale kupeleleza na kutandika iran. Armenia ni pure christian ila hawana faida kwa israel. Wanajeshi wengi sana wa Azerbaijan wamekuwa trained kwa tech mpya,ans it yielded.
9. Israel wapo very close na Rwanda,wamewauzia silaha,na tech hii ndio walitaka watujaribishie kipindi kile tunataka kuwatwanga. Tungepigwa kama watoto. Hawakufanya hivyo kwasababu israel inatuhitaji na hawapendi adui ukanda huu. Ila tukileta fyokofyoko wangetufanya lolote.tushukuru Mungu kumtumia Blair.
NB:-Siongei hivi kwa kuichukia israel,mimi ni pro-israel na pro-jrws. Mungu ibariki Israel.
10. Jeshi letu pia wanunue vifaa vya kisasa,kama huamini,soma kilichotokea vita ya Armenia mwaka jana,waloaibika kupita kiasi. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
JWTZ wako vizuri saana kwa military discipline lakini serikali iwaboreshee vifaa vya kisasa na mafunzo ya kisasa. Vita ya Sasa Ni ya drones na sophisticated defense system pamoja na nuclear energy.Chezea Taasisi zote lakini sio JWTZ
Rwanda pesa zake anapata pale Congo anapoiba madini na sio GDP yake Wala nini.Unashangaza sana kama siyo kufanya utani. Yaani Rwanda wana uwezo mkubwa kiuchumi (kuliko Tanzania) hivyo kuweza kununua silaha kali ambazo Tanzania haiwezi kununua. Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.
Silaha kubwa ya kwanza kwenye vita ni UMOJA unaotokana na UZALENDO kwa nchi yako.Siraha zinazonunuliwa na Jeshi letu hawawezi kuzitangaza kwa kila mtu kama huamini waambie wabeep
Israel ina kitu Cha ziada... Israel Wana smart weapons ever... Hata wake waarabu wote milion 500 hawatoboi. Vinu vya nuclear alivyo navyo Israeli sio mchezo.Silaha kubwa ya kwanza kwenye vita ni UMOJA unaotokana na UZALENDO kwa nchi yako.
Wakati Tanzania inapigana na Uganda, haikuwa na vifaa vya kijeshi kumzidi Amini.
Tena Idd Amin alikuwa na madege ya kivita yale yenye kasi, alipewa na Gadaff na ndio maana alikuwa na kiburi sana cha kutaka vita.
Ila Watanzania walipigana ile vita kwa moyo sana. Karibia kila mtu alishiriki. Hata vijana wa mtaani tu ambao hawakuwa wanajeshi walienda.
Muhimu kwa vita za sasa hivi, ni UMOJA ( UZALENDO ) na TEKNOLOJIA ndio vitu muhimu. Hivi vitu ndio vinaibeba hata Israel.
Wewe umevurugwa..hujui unachoongea. Muulize Rwanda kwanini anaacha vyuo vyote vya kijeshi Africa, analeta wanajeshi wake kuja kufundishwa vita hapa TanzaniaHii inaitwa red arrow anti tank missiles inayoweza kutandika medium range kwa maana ya any range ndani ya East Africa.
Ana negotiate kununua Air defense system itakayomuwezesha kujilinda na mashambulizi yote ya anga.
Anavyopenda utawala yule bwana tunaweza kujikuta whole East Africa block tunaongea kinyarwanda siku moja.. Kagame Ni war monger.View attachment 1797033View attachment 1797034View attachment 1797035
Wewe umevurugwa..hujui unachoongea. Muulize Rwanda kwanini anaacha vyuo vyote vya kijeshi Africa, analeta wanajeshi wake kuja kufundishwa vita hapa Tanzania
I beg to correct many of you who have contributed in this topic, Rwanda haina uwezo au nguvu juu ya Tanzania, hiyo haipo na haitotokea. sikuandika kumaanisha hivyo. nilichotaka kusema ni kwa mataifa makubwa kumtumia, na sio yeye binafsi. Mungu ibariki Tanzania.sorry to tell you this ww umeangalia vita moja tu.
America wana moja ya jeshi kubwa la anga.. including drones.
but even today bado wanatuma infantry forces kufanya kazi nzito, huku jeshi la anga likibaki kama support kutoka angani.
Rwanda wangekuwa superior kuliko sis. wasingekuwa wanaleta vijana wao kula coz za uongozi monduli au chuo cha usalama. kila mwaka wanaleta watu wao kujifunza.
Pili huwez shinda vita only buy deploying drones. lazimanu deploy na other forces pia.
Picha ya kwanza hizo ATM haziwezi piga popote East Africa. ATM zote zikienda mbali ni 10km range. Ziwe man portable, vehicle mounted au helicopter launched.Hii inaitwa red arrow anti tank missiles inayoweza kutandika medium range kwa maana ya any range ndani ya East Africa.
Ana negotiate kununua Air defense system itakayomuwezesha kujilinda na mashambulizi yote ya anga.
Anavyopenda utawala yule bwana tunaweza kujikuta whole East Africa block tunaongea kinyarwanda siku moja.. Kagame Ni war monger.View attachment 1797033View attachment 1797034View attachment 1797035
Unajua chochote kuhusu hii vita? Nina taarifa za kinyume na za huu Uzi, nimeacha kuzifuatilia mpaka nirudi tena kwenye mafaili na itanichukua muda.Hii mada nilitaka kuiandika leo nikaona uvivu
Hakuna vita nimefatilia kama hii kwa miaka ya hivi karibuni. Kwanza hii ilikuwa na taarifa za kila siku angalau kuliko kule Syria na Libya ambako taarifa nyingi zinatoka upande mmoja.Unajua chochote kuhusu hii vita? Nina taarifa za kinyume na za huu Uzi, nimeacha kuzifuatilia mpaka nirudi tena kwenye mafaili na itanichukua muda.