JWTZ imejifunzaje kwa Armenia vs Azerbaijan?

Tech ya Israel angekuwa anaishi kama ndege alikuwa analukaluka halali kwake. Huu uongo wako peleka kwa watoto wenzio!
 
Umewaza kivivu sana. Jitahidi huwaza upya pia fanya tafiti.
Wewe ndio umejenga hoja kivivu. Dhana yako ni kisasi lakini mwisho unakuja kuhusianisha na kitu tofauti na kisasi.
 
We unafikiri kwanini Congo Hadi leo anatandikwa na kanchi Kama rwanda? Vita sio ukubwa wa nchi... Vita Ni investment kwenye silaha na intelligence unit Basi.
Kwani Kongo na Rwanda zipo vitani??
 
watu wapo kwenye hypersonics uko nyie mnaongelea drones leo, hivo vilikua vita vya watoto
 
Kwenye suala la kujitanua kijeshi na kiintelijensia Rwanda wanakuja vizuri sana. Wakati wa Kikwete kuna wanajeshi wengi walikimbia kazini baada ya msako wa kusaka mamluki. Rwanda amepenyeza watu wengi kwenye sekta tofauti hapa East Africa.
Sio vizur kumdharau Rwanda, vita sio ukubwa wa eneo, vita ni teknolojia na intelijensia pamoja na umoja wa kupigania nchi. Kwa miongo kadhaa, wanajeshi wa Rwanda wanazunguka huko na huku kwenye masuala ya kivita. Mfano Rwanda imepeleka jeshi lake huko Africa ya kati. Wamezoea mikikimikiki ya vita mda wowote. Tofauti na sisi kwa muda sasa tume relax.

Mimi naona nia ya Kagame kuelekea kutangaza ubabe ndani ya east Afrika ndani ya miaka 20 ijayo.. kasi yake ni kubwa mno, ukizingatia ni juzi juzi tu alikua na genocide, na nchi isiyoeleweka. Lakini kama umetembelea Rwanda hivi karibuni utaona mabadiliko. Wamewekeza kwenye elimu yao, kila mwanafunzi ana tablets au pc. Wamewekeza sana kwenye teknolojia ya IT. Twende nao taratibu wale jamaa... Ohooo!

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Wanajeshi wa Tanzania wame relax? Usioongee usichokijua Huwezi kutangaziwa kila jeshi operation wanazofanya Tanzania ni nchi ambayo kupata taarifa zake za kijeshi ni ngumu sana hata Hayo mashirika wanaotangaza nguvu za kijeshi ukigoogle silaha walizoandika Tanzania wanazo miaka yote ni Hzo Hzo inamaana hawaongezi silaha au mnaanzisha Mada za kijasusi hili watu wapanick waanze kutaja humu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…