JWTZ inatarajia kufanya mazoezi mawili ya kijeshi hivyo imewataka wananchi kutokuwa na hofu


..mbona juzi tumetoka kufanya mazoezi ya kijeshi na Marekani?

..naamini taarifa zitakuja kutoka kuhusu nini kilitokea mpaka Goma ikaangukia mikononi mwa waasi huku askari wa Tanzania wakiwa huko.

..kuna watu hawakutimiza wajibu wao. Wanaweza kuwa ni Wacongo, au Watanzania, au Wamalawi, au Afrika Kusini.
 
Jeshi sio kijiwe cha kahawa , kwa Africa hii bado tuko imara sana
Tuondolee ulevi hapa.... &%#%÷&÷Tumbuktu..

Watu tunaumia mioyoni mwetu kuona jeshi letu linadharauliwa hadi na wapumbavu hawa M23... Halafu we unatuletea story. Hivi unajua jinsi watanzania tunavyolipenda na kuliheshimu jeshi letu??? Halafu unasikia mpuuzi mmoja tu mwembamba analidharau. Ni lazima turudi katika misingi. Mtoa hoja ana hoja na kama wewe una hoja leta hoja!!!

Nimelia Sana!!!
 
Hawajui namna Wazalendo wa kweli wa nchi hii tunavyoumia
 
Pole i wish you could know. Kama hukuelewa akili yakuambiwa ni vigumu kuelewa yanayo endelea ila watabiri wa mambo ndani ya mifumo naimani wana sali sana some thing bad might happen in Tanzania just be informed.
 
Acha kujipa presha tupigane na rwanda kwa sababu zipi labda ? Hakuna wanachotudai hakuna tunachowadai
Acha presha ya maisha kaa sehemu agiza kinywaji chako pendwa anza kuongelea upendo na furahia maisha.
 
Sasa DRC ni mali ya Tanzania? yaani mnataka vijana wetu wafe kwa upuuzi wa wakongo, huu ni upuuzi
 
..Nini kimetokea Goma?

..imekuwaje askari wetu wamezingirwa?
Sasa askari wetu wako wangapi kule ? yaani jeshi la DRC linakimbia mnataka askari wetu wajitoe kufa kijinga, mimi ningekuwa Rais hakuna askari wetu kwenda kule,huwezi kutetea nchi ya watu wasio jitetea wenyewe kwanza
 
Sasa wewe ndo unafurahisha. US ana mapandikizi mengi sana Africa kuliko hapo Rwanda. Unajua heavy equipments alizonazo South Africa?

Unajua Misri alivyo na ushirika wa kijeshi na US na ulaya? Panua wigo wa kutafakari, pia Israel hawezi kushikamana sana na Rwanda endapo kama akawa na maslahi mazuri na Tanzania. Tanzania ana resources, Rwanda ana nini? Ni rahisi zaidi mtu kujenga urafiki wa kudumu na Tanzania instead of Rwanda.
 
Kwani hujawahi kusikia chama pendwa kinapeleka vijana wake nje kusomea siasa ili wabaki madarakani?
 
Wewe jamaa una matatizo?

Malcom si alikuelekeza kwenye uzi mwengine ule jinsi mambo yalivyo?

Mbona kila kukicha unafanya haya? Lengo lako ni nini?
 
Inawezekana? Masharti ya IDF na Marekani ni kutofanya kazi za vyama vya siasa. Je itawezekana hapa bongo?

Symbiosis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…