JWTZ inatarajia kufanya mazoezi mawili ya kijeshi hivyo imewataka wananchi kutokuwa na hofu

Kuna hatari moja kubwa sana naiona inakuja Tanzania.

Rwanda na Uganda zinajiimarisha sana kwenye maeneo ya Teknolojia ya kivita na Intelejensia.

Hivi karibuni Rwanda amesaini mkataba wa mashirikiano katika masuala ya Ulinzi na Uturuki. Nchi inayosifika kwa kutengeneza vifaa bora kabisa vya teknolojia mpya za kiulinzi mfano Drones na Makombora mbalimbali. Inasemwa vifaa hivi vimekisaidia sana Jeshi la Rwanda na M23 katika kuziteka Goma na Bukavu huko Congo.

Pia ameingia makubaliano ya Ethiopia katika masuala ya Ulinzi na hivi Karibuni Ethiopia kupitia Uwekezaji wa Kampuni za Ulinzi za Ubelgiji wameanza kutengeneza vifaa bora vya kijeshi vya teknolojia mpya ikiwemo Drones.

kwa utafiti wangu, nchi pekee zinazotengeneza silaha nzuri na za kisasa zinazoweza kupambana na silaha zinazotengenezwa na Mataifa haya ni Israel, Marekani na Uingereza.

Lord denning ninaamini miaka si zaidi ya 30 inayokuja, yanayotokea Congo Mashariki yataanza kutokea mpaka wa Magharibi wa Tanzania hasa mikoa ya Kagera, Kigoma hadi Geita na Shinyanga.

Lord Denning naamini kwa namna mifumo yetu ya kiulinzi na usalama ilivyokuwa compromised na siasa na mapandikizi haitakuwa rahisi sana kwa Tanzania kuweza kupambana na hiyo hatari.

Hivyo ni ushauri wangu kuwa;

1. Kuanzia sasa tuachane na siasa uchwara na kuwaunga mkono Palestina na Iran na tujikite kutengeneza mahusiano mazuri ikiwemo ya mafunzo ya kiulinzi na usalama na Mataifa ya Israel, Marekani na Uingereza

2. Tuwekeze sana kununua teknolojia za kisasa za kivita kutoka Mataifa haya na mafunzo ya umahiri kwa wanajeshi wetu katika teknolojia hizo

3. Tuwekeze sana kuimarisha kamand Iya Wanamaji hasa katika Maziwa ya Tanganyika, Victoria na Nyasa bila kusahau Bahari ya Hindi. Vifaa vya Kisasa kabisa vinavoendana na teknolojia mpya vinunuliwe na kuwekwa maeneo hayo. Kambi za kisasa za kijeshi zifunguliwe maeneo hayo.

Tujifunze sasa kutokana na aibu tuliyopata Congo baada ya Jeshi letu kushindwa vibaya na vikosi vya Rwanda na M23.

Mwisho ni ushauri wangu kuwa;
1. Jeshi likatae kuingiliwa na Wanasiasa na lijiweke kando na Siasa.

2. TISS ifumuliwe na kuunda upya. Baada ya Mchakato wa Katiba Mpya utakaowaondoa Wanasiasa kwenye ku control Watendaji na Mifumo ya Utendaji.

View attachment 3270062View attachment 3270063

..mbona juzi tumetoka kufanya mazoezi ya kijeshi na Marekani?

..naamini taarifa zitakuja kutoka kuhusu nini kilitokea mpaka Goma ikaangukia mikononi mwa waasi huku askari wa Tanzania wakiwa huko.

..kuna watu hawakutimiza wajibu wao. Wanaweza kuwa ni Wacongo, au Watanzania, au Wamalawi, au Afrika Kusini.
 
Jeshi sio kijiwe cha kahawa , kwa Africa hii bado tuko imara sana
Tuondolee ulevi hapa.... &%#%÷&÷Tumbuktu..

Watu tunaumia mioyoni mwetu kuona jeshi letu linadharauliwa hadi na wapumbavu hawa M23... Halafu we unatuletea story. Hivi unajua jinsi watanzania tunavyolipenda na kuliheshimu jeshi letu??? Halafu unasikia mpuuzi mmoja tu mwembamba analidharau. Ni lazima turudi katika misingi. Mtoa hoja ana hoja na kama wewe una hoja leta hoja!!!

Nimelia Sana!!!
 
Hawajui namna Wazalendo wa kweli wa nchi hii tunavyoumia
 
Kuna hatari moja kubwa sana naiona inakuja Tanzania.

Rwanda na Uganda zinajiimarisha sana kwenye maeneo ya Teknolojia ya kivita na Intelejensia.

Hivi karibuni Rwanda amesaini mkataba wa mashirikiano katika masuala ya Ulinzi na Uturuki. Nchi inayosifika kwa kutengeneza vifaa bora kabisa vya teknolojia mpya za kiulinzi mfano Drones na Makombora mbalimbali. Inasemwa vifaa hivi vimekisaidia sana Jeshi la Rwanda na M23 katika kuziteka Goma na Bukavu huko Congo.

Pia ameingia makubaliano ya Ethiopia katika masuala ya Ulinzi na hivi Karibuni Ethiopia kupitia Uwekezaji wa Kampuni za Ulinzi za Ubelgiji wameanza kutengeneza vifaa bora vya kijeshi vya teknolojia mpya ikiwemo Drones.

kwa utafiti wangu, nchi pekee zinazotengeneza silaha nzuri na za kisasa zinazoweza kupambana na silaha zinazotengenezwa na Mataifa haya ni Israel, Marekani na Uingereza.

Lord denning ninaamini miaka si zaidi ya 30 inayokuja, yanayotokea Congo Mashariki yataanza kutokea mpaka wa Magharibi wa Tanzania hasa mikoa ya Kagera, Kigoma hadi Geita na Shinyanga.

Lord Denning naamini kwa namna mifumo yetu ya kiulinzi na usalama ilivyokuwa compromised na siasa na mapandikizi haitakuwa rahisi sana kwa Tanzania kuweza kupambana na hiyo hatari.

Hivyo ni ushauri wangu kuwa;

1. Kuanzia sasa tuachane na siasa uchwara na kuwaunga mkono Palestina na Iran na tujikite kutengeneza mahusiano mazuri ikiwemo ya mafunzo ya kiulinzi na usalama na Mataifa ya Israel, Marekani na Uingereza

2. Tuwekeze sana kununua teknolojia za kisasa za kivita kutoka Mataifa haya na mafunzo ya umahiri kwa wanajeshi wetu katika teknolojia hizo

3. Tuwekeze sana kuimarisha kamand Iya Wanamaji hasa katika Maziwa ya Tanganyika, Victoria na Nyasa bila kusahau Bahari ya Hindi. Vifaa vya Kisasa kabisa vinavoendana na teknolojia mpya vinunuliwe na kuwekwa maeneo hayo. Kambi za kisasa za kijeshi zifunguliwe maeneo hayo.

Tujifunze sasa kutokana na aibu tuliyopata Congo baada ya Jeshi letu kushindwa vibaya na vikosi vya Rwanda na M23.

Mwisho ni ushauri wangu kuwa;
1. Jeshi likatae kuingiliwa na Wanasiasa na lijiweke kando na Siasa.

2. TISS ifumuliwe na kuunda upya. Baada ya Mchakato wa Katiba Mpya utakaowaondoa Wanasiasa kwenye ku control Watendaji na Mifumo ya Utendaji.

View attachment 3270062View attachment 3270063
Pole i wish you could know. Kama hukuelewa akili yakuambiwa ni vigumu kuelewa yanayo endelea ila watabiri wa mambo ndani ya mifumo naimani wana sali sana some thing bad might happen in Tanzania just be informed.
 
Acha kujipa presha tupigane na rwanda kwa sababu zipi labda ? Hakuna wanachotudai hakuna tunachowadai
Acha presha ya maisha kaa sehemu agiza kinywaji chako pendwa anza kuongelea upendo na furahia maisha.
 
Tuondolee ulevi hapa.... &%#%÷&÷Tumbuktu..

Watu tunaumia mioyoni mwetu kuona jeshi letu linadharauliwa hadi na wapumbavu hawa M23... Halafu we unatuletea story. Hivi unajua jinsi watanzania tunavyolipenda na kuliheshimu jeshi letu??? Halafu unasikia mpuuzi mmoja tu mwembamba analidharau. Ni lazima turudi katika misingi. Mtoa hoja ana hoja na kama wewe una hoja leta hoja!!!

Nimelia Sana!!!
Sasa DRC ni mali ya Tanzania? yaani mnataka vijana wetu wafe kwa upuuzi wa wakongo, huu ni upuuzi
 
..Nini kimetokea Goma?

..imekuwaje askari wetu wamezingirwa?
Sasa askari wetu wako wangapi kule ? yaani jeshi la DRC linakimbia mnataka askari wetu wajitoe kufa kijinga, mimi ningekuwa Rais hakuna askari wetu kwenda kule,huwezi kutetea nchi ya watu wasio jitetea wenyewe kwanza
 
we jamaa unafurahisha wakati mwingine, kutwa unamponda mnyarwanda halafu unaongelea tanzagiza kujihusisha na Israeli?hivi unaelewa unachokiandika? rwanda ndiyo Israeli ya afrika kama ulikuwa haujui, mnyarwanda ni only african leader ambaye ni US military trained, labda useme tanzagiza waanzie kwa kujikomba kwa rwanda ndo wawapigie kifua huko kwa Christians, au unafikiri ubabe wote na kanchi kadogo rwanda anaupata wapi ?
Sasa wewe ndo unafurahisha. US ana mapandikizi mengi sana Africa kuliko hapo Rwanda. Unajua heavy equipments alizonazo South Africa?

Unajua Misri alivyo na ushirika wa kijeshi na US na ulaya? Panua wigo wa kutafakari, pia Israel hawezi kushikamana sana na Rwanda endapo kama akawa na maslahi mazuri na Tanzania. Tanzania ana resources, Rwanda ana nini? Ni rahisi zaidi mtu kujenga urafiki wa kudumu na Tanzania instead of Rwanda.
 
Ni kweli pia tukiwa na nguvu ki uchumi zaidi basi hata hiyo technology tutaipata na kujifunza mengi na kupata silaha sehemu nyingi tu
Na ni kweli hawa wazungu hawaaminiki
Kuna mjadala mwezi uliopita uliwashtua watu wasiojua ila wengi tunalijua hilo kuwa terror organization zinafadhiliwa na wao
USAID ilikuwa inatuma $40m kila week kwa Taliban na kuna vikundi vingi vya kigaidi wao ndio wanafadhili
Sasa ni kuangalia je nani anatufaa hata kinafiki mradi tunaangalia maslahi

Mataifa kama China walituma vijana wao wengi America na nji zingine za magharibi ili kujifunza kila sekta hata ushushu wa kiuchumi na leo wqmefanikiwa pakubwa sana

Nyerere alituma vijana Cuba kujifunza mengi
Kwanini tusiendeleze vijana wengi wakasome huko hata namna ya kutengeneza biological weapons kama inavyosemekana kwa majirani?

Tukiuza sana nje hakika tutapata vya kurudi pia
Kwani hujawahi kusikia chama pendwa kinapeleka vijana wake nje kusomea siasa ili wabaki madarakani?
 
Wewe jamaa una matatizo?

Malcom si alikuelekeza kwenye uzi mwengine ule jinsi mambo yalivyo?

Mbona kila kukicha unafanya haya? Lengo lako ni nini?
 
Kuna hatari moja kubwa sana naiona inakuja Tanzania.

Rwanda na Uganda zinajiimarisha sana kwenye maeneo ya Teknolojia ya kivita na Intelejensia.

Hivi karibuni Rwanda amesaini mkataba wa mashirikiano katika masuala ya Ulinzi na Uturuki. Nchi inayosifika kwa kutengeneza vifaa bora kabisa vya teknolojia mpya za kiulinzi mfano Drones na Makombora mbalimbali. Inasemwa vifaa hivi vimekisaidia sana Jeshi la Rwanda na M23 katika kuziteka Goma na Bukavu huko Congo.

Pia ameingia makubaliano ya Ethiopia katika masuala ya Ulinzi na hivi Karibuni Ethiopia kupitia Uwekezaji wa Kampuni za Ulinzi za Ubelgiji wameanza kutengeneza vifaa bora vya kijeshi vya teknolojia mpya ikiwemo Drones.

kwa utafiti wangu, nchi pekee zinazotengeneza silaha nzuri na za kisasa zinazoweza kupambana na silaha zinazotengenezwa na Mataifa haya ni Israel, Marekani na Uingereza.

Lord denning ninaamini miaka si zaidi ya 30 inayokuja, yanayotokea Congo Mashariki yataanza kutokea mpaka wa Magharibi wa Tanzania hasa mikoa ya Kagera, Kigoma hadi Geita na Shinyanga.

Lord Denning naamini kwa namna mifumo yetu ya kiulinzi na usalama ilivyokuwa compromised na siasa na mapandikizi haitakuwa rahisi sana kwa Tanzania kuweza kupambana na hiyo hatari.

Hivyo ni ushauri wangu kuwa;

1. Kuanzia sasa tuachane na siasa uchwara na kuwaunga mkono Palestina na Iran na tujikite kutengeneza mahusiano mazuri ikiwemo ya mafunzo ya kiulinzi na usalama na Mataifa ya Israel, Marekani na Uingereza

2. Tuwekeze sana kununua teknolojia za kisasa za kivita kutoka Mataifa haya na mafunzo ya umahiri kwa wanajeshi wetu katika teknolojia hizo

3. Tuwekeze sana kuimarisha kamand Iya Wanamaji hasa katika Maziwa ya Tanganyika, Victoria na Nyasa bila kusahau Bahari ya Hindi. Vifaa vya Kisasa kabisa vinavoendana na teknolojia mpya vinunuliwe na kuwekwa maeneo hayo. Kambi za kisasa za kijeshi zifunguliwe maeneo hayo.

Tujifunze sasa kutokana na aibu tuliyopata Congo baada ya Jeshi letu kushindwa vibaya na vikosi vya Rwanda na M23.

Mwisho ni ushauri wangu kuwa;
1. Jeshi likatae kuingiliwa na Wanasiasa na lijiweke kando na Siasa.

2. TISS ifumuliwe na kuunda upya. Baada ya Mchakato wa Katiba Mpya utakaowaondoa Wanasiasa kwenye ku control Watendaji na Mifumo ya Utendaji.

View attachment 3270062View attachment 3270063
Inawezekana? Masharti ya IDF na Marekani ni kutofanya kazi za vyama vya siasa. Je itawezekana hapa bongo?

Symbiosis
 
Back
Top Bottom