JWTZ inatarajia kufanya mazoezi mawili ya kijeshi hivyo imewataka wananchi kutokuwa na hofu

Kwani hujawahi kusikia chama pendwa kinapeleka vijana wake nje kusomea siasa ili wabaki madarakani?
Ndio maana huwa wanasema wana mbinu 1000
Hata goli la mkono ni formula pia eti
 
Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama iache kupambana na watanzania, hasa CHADEMA na watu wanaoikosoa, bali ijikite kwenye mambo nyeti kama haya.
 
Tujenge uchumi vijana wanateseka hawana kazi hakuna pesa za kuhangaikia majeshi kwasasa
 
Kumbe ni ww nimepoteza muda wangu bure.
 
Report ilishatoka kitambo na hatua zimeanza kuchukuliwa na serikali ya Congo. Jeshi la Congo ndiyo chanzo cha m23 kutwaa maeneo huko Kivu. Vipngozi wa kijeshi wa maeneo yaliyotwaliwa wanasomewa mashtaka ya kijeshi na watahukumiwa kwa usaliti. Baada ya uvamizi wa m23 majenerali wa jeshi la Congo walikimbia na kuwaacha wanajeshi wao bila uongozi! Za ndani kabisa zinasema wapo majenerali wanaouza info kwa m23
 
..Nini kimetokea Goma?

..imekuwaje askari wetu wamezingirwa?
Wale ni askari wa SADC, Unataka kusema jeshi la S.A ni dhaifu kwa M23? Jeshi letu huwezi kulipima kule maana ilikuwa task maalum ya SADC na iliongozwa na S.A
 
Ndo ulipime jeshi kwenye task ile ya Congo iliyojumuisha majeshi ya nchi mbalimbali za SADC? Kwani tulikuwa na wanajeshi wangapi kule mpaka ikupe uhalali wa kuamini jeshi letu dhaifu? Punghza ujuaji kijana, huyo bwege mnayehisi ana maarifa na uwezo mkubwa kijeshi anaijua nguvu ya JWTZ na hawezi kuthubutu kutujaribu.
Pia ujue uwezo wa kijeshi unapimwa kwa mambo mengi, silaha/zana za kijeshi huja mwishoni kabisa na huwa ni siri kwa nchi nyingi za Kiafrika.
 
Kwa mawazo haya jiite tu Zelensky ili tukujue tukuweke kiporo
 
Rwanda ni Israel ya Afrika kwenye mdomo, Mnyarwanda hana akili ni uhalifu tu alionao. Kinachoipa Rwanda faida ni kitendo chake cha kukubali kutumika kuiba hapo Congo DRC wala hana cha zaidi.
 
Nina wasuwasi sana na uzalendo wetu watanzania.Tuna watu wazalendo kwa vyama hasahasa CCM, tumeshindwa kutenfanisha maslahi ya hivi vyama na utaifa.
Tumekuwa na uchawa na unafiki mwingi - watu wanaongea ili kulinda maslahi yao na si ukweli, serikali kupitia vyombo vya usalama wamefanya strategic mistakes za kutosha kiasi kwamba watu wanaona, wanashimdwa kusema lkn pia wanakata tamaa, kuna suala la rushwa, ukilitimba na bureaucracy ya hatari....Nina hofu na haya mazingara hayawezi yakatengeneza wazalendo wa kuwazia nchi 100 yrs to come..ndo maana hata miundo mbinu tunashindwa kupredict for the coming 20 yrs ni jenga, bomoa, jenga bomoa...
SIsi ni watu wa maneno mengi bila vitendo, kila siku naona watu wako kwenywe warsha, sijui makungamano ya kufuturisha...without any tangible effects, tunakaa vikao vingi kuongea porojo na sera ambazo hazifanyiwi kazi kuliko kuwaza na kutenda namna ya kutengeneza ajira..
 
Dunia imebadilika sana tangu enzi hizo, ila ni mfano tu kuwa vijana walienda nje kusoma
Na sasa pia wangepelekwa hata US, China kote kutafuta elimu hii ya sasa ili tuendane na haya mapya
Viongozi wakisafiri wanaenda na wasanii na machawa unategemea nini hapo

Ova
 
Wewe jamaa una matatizo?

Malcom si alikuelekeza kwenye uzi mwengine ule jinsi mambo yalivyo?

Mbona kila kukicha unafanya haya? Lengo lako ni nini?
Shida yupo theoretical zaidi. Haya ninayosema kila siku humu ni tahadhari kubwa kutokana na ukweli uliopo kwa ground.
 
Kamanda, naamini wewe ni Kanali kweli... Do the needful (collectively) jeshi letu liheshimike... That's it!!! It's a big shame Sadc jeshi as a whole mmefukuzwa DRC na Vibaka tu wa M23... Je akija Kagame mwenyewe...
 
Bora ungesema upeleke watu wetu Irani. Hao wamagharibi sasahivi wanambwilala kwa irani
 
Kwa sisi ambao tunaingizana kwa vimemo? Kuwa serious basi.
Vimemo ni kawaida, Museven ana mtoto wake jeshini pale Uganda na cheo kampa, Kagame ana mtoto wake jeshini na sasa ana cheo kikubwa, kwahiyo acha hoja dhaifu muhimu anazo sifa
 
Rwanda ni Israel ya Afrika kwenye mdomo, Mnyarwanda hana akili ni uhalifu tu alionao. Kinachoipa Rwanda faida ni kitendo chake cha kukubali kutumika kuiba hapo Congo DRC wala hana cha zaidi.

kukubali kutumika na nani? na ufikiri huko unakokuita kutumika hakuna manufaa kwa rwanda?
 
Huu ni uwaribifu wa pesaa,mazoezi na practical waende gongo wakawachape m23 ndo kujipimaaa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…