Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ndio maana huwa wanasema wana mbinu 1000Kwani hujawahi kusikia chama pendwa kinapeleka vijana wake nje kusomea siasa ili wabaki madarakani?
Hata goli la mkono ni formula pia eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana huwa wanasema wana mbinu 1000Kwani hujawahi kusikia chama pendwa kinapeleka vijana wake nje kusomea siasa ili wabaki madarakani?
Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama iache kupambana na watanzania, hasa CHADEMA na watu wanaoikosoa, bali ijikite kwenye mambo nyeti kama haya.Kuna hatari moja kubwa sana naiona inakuja Tanzania.
Rwanda na Uganda zinajiimarisha sana kwenye maeneo ya Teknolojia ya kivita na Intelejensia.
Hivi karibuni Rwanda amesaini mkataba wa mashirikiano katika masuala ya Ulinzi na Uturuki. Nchi inayosifika kwa kutengeneza vifaa bora kabisa vya teknolojia mpya za kiulinzi mfano Drones na Makombora mbalimbali. Inasemwa vifaa hivi vimekisaidia sana Jeshi la Rwanda na M23 katika kuziteka Goma na Bukavu huko Congo.
Pia ameingia makubaliano ya Ethiopia katika masuala ya Ulinzi na hivi Karibuni Ethiopia kupitia Uwekezaji wa Kampuni za Ulinzi za Ubelgiji wameanza kutengeneza vifaa bora vya kijeshi vya teknolojia mpya ikiwemo Drones.
kwa utafiti wangu, nchi pekee zinazotengeneza silaha nzuri na za kisasa zinazoweza kupambana na silaha zinazotengenezwa na Mataifa haya ni Israel, Marekani na Uingereza.
Lord denning ninaamini miaka si zaidi ya 30 inayokuja, yanayotokea Congo Mashariki yataanza kutokea mpaka wa Magharibi wa Tanzania hasa mikoa ya Kagera, Kigoma hadi Geita na Shinyanga.
Lord Denning naamini kwa namna mifumo yetu ya kiulinzi na usalama ilivyokuwa compromised na siasa na mapandikizi haitakuwa rahisi sana kwa Tanzania kuweza kupambana na hiyo hatari.
Hivyo ni ushauri wangu kuwa;
1. Kuanzia sasa tuachane na siasa uchwara na kuwaunga mkono Palestina na Iran na tujikite kutengeneza mahusiano mazuri ikiwemo ya mafunzo ya kiulinzi na usalama na Mataifa ya Israel, Marekani na Uingereza
2. Tuwekeze sana kununua teknolojia za kisasa za kivita kutoka Mataifa haya na mafunzo ya umahiri kwa wanajeshi wetu katika teknolojia hizo
3. Tuwekeze sana kuimarisha kamand Iya Wanamaji hasa katika Maziwa ya Tanganyika, Victoria na Nyasa bila kusahau Bahari ya Hindi. Vifaa vya Kisasa kabisa vinavoendana na teknolojia mpya vinunuliwe na kuwekwa maeneo hayo. Kambi za kisasa za kijeshi zifunguliwe maeneo hayo.
Tujifunze sasa kutokana na aibu tuliyopata Congo baada ya Jeshi letu kushindwa vibaya na vikosi vya Rwanda na M23.
Mwisho ni ushauri wangu kuwa;
1. Jeshi likatae kuingiliwa na Wanasiasa na lijiweke kando na Siasa.
2. TISS ifumuliwe na kuunda upya. Baada ya Mchakato wa Katiba Mpya utakaowaondoa Wanasiasa kwenye ku control Watendaji na Mifumo ya Utendaji.
View attachment 3270062View attachment 3270063
Kumbe ni ww nimepoteza muda wangu bure.Kuna hatari moja kubwa sana naiona inakuja Tanzania.

Report ilishatoka kitambo na hatua zimeanza kuchukuliwa na serikali ya Congo. Jeshi la Congo ndiyo chanzo cha m23 kutwaa maeneo huko Kivu. Vipngozi wa kijeshi wa maeneo yaliyotwaliwa wanasomewa mashtaka ya kijeshi na watahukumiwa kwa usaliti. Baada ya uvamizi wa m23 majenerali wa jeshi la Congo walikimbia na kuwaacha wanajeshi wao bila uongozi! Za ndani kabisa zinasema wapo majenerali wanaouza info kwa m23..mbona juzi tumetoka kufanya mazoezi ya kijeshi na Marekani?
..naamini taarifa zitakuja kutoka kuhusu nini kilitokea mpaka Goma ikaangukia mikononi mwa waasi huku askari wa Tanzania wakiwa huko.
..kuna watu hawakutimiza wajibu wao. Wanaweza kuwa ni Wacongo, au Watanzania, au Wamalawi, au Afrika Kusini.
Wale ni askari wa SADC, Unataka kusema jeshi la S.A ni dhaifu kwa M23? Jeshi letu huwezi kulipima kule maana ilikuwa task maalum ya SADC na iliongozwa na S.A..Nini kimetokea Goma?
..imekuwaje askari wetu wamezingirwa?
Ndo ulipime jeshi kwenye task ile ya Congo iliyojumuisha majeshi ya nchi mbalimbali za SADC? Kwani tulikuwa na wanajeshi wangapi kule mpaka ikupe uhalali wa kuamini jeshi letu dhaifu? Punghza ujuaji kijana, huyo bwege mnayehisi ana maarifa na uwezo mkubwa kijeshi anaijua nguvu ya JWTZ na hawezi kuthubutu kutujaribu.Tuondolee ulevi hapa.... &%#%÷&÷Tumbuktu..
Watu tunaumia mioyoni mwetu kuona jeshi letu linadharauliwa hadi na wapumbavu hawa M23... Halafu we unatuletea story. Hivi unajua jinsi watanzania tunavyolipenda na kuliheshimu jeshi letu??? Halafu unasikia mpuuzi mmoja tu mwembamba analidharau. Ni lazima turudi katika misingi. Mtoa hoja ana hoja na kama wewe una hoja leta hoja!!!
Nimelia Sana!!!
Rwanda ni Israel ya Afrika kwenye mdomo, Mnyarwanda hana akili ni uhalifu tu alionao. Kinachoipa Rwanda faida ni kitendo chake cha kukubali kutumika kuiba hapo Congo DRC wala hana cha zaidi.we jamaa unafurahisha wakati mwingine, kutwa unamponda mnyarwanda halafu unaongelea tanzagiza kujihusisha na Israeli?hivi unaelewa unachokiandika? rwanda ndiyo Israeli ya afrika kama ulikuwa haujui, mnyarwanda ni only african leader ambaye ni US military trained, labda useme tanzagiza waanzie kwa kujikomba kwa rwanda ndo wawapigie kifua huko kwa Christians, au unafikiri ubabe wote na kanchi kadogo rwanda anaupata wapi ?
Sio kweli, baadhi vipo ila bado inahitajika investment kubwaTanzania mambo ya kijeshi ni SIRI sana, unaeza Kuta tuna kila kitu ambacho hao Rwanda wanacho na tunawazidi ili huku SIRI, SIRI, SIRI
Viongozi wakisafiri wanaenda na wasanii na machawa unategemea nini hapoDunia imebadilika sana tangu enzi hizo, ila ni mfano tu kuwa vijana walienda nje kusoma
Na sasa pia wangepelekwa hata US, China kote kutafuta elimu hii ya sasa ili tuendane na haya mapya
Shida yupo theoretical zaidi. Haya ninayosema kila siku humu ni tahadhari kubwa kutokana na ukweli uliopo kwa ground.Wewe jamaa una matatizo?
Malcom si alikuelekeza kwenye uzi mwengine ule jinsi mambo yalivyo?
Mbona kila kukicha unafanya haya? Lengo lako ni nini?
Kamanda, naamini wewe ni Kanali kweli... Do the needful (collectively) jeshi letu liheshimike... That's it!!! It's a big shame Sadc jeshi as a whole mmefukuzwa DRC na Vibaka tu wa M23... Je akija Kagame mwenyewe...Ndo ulipime jeshi kwenye task ile ya Congo iliyojumuisha majeshi ya nchi mbalimbali za SADC? Kwani tulikuwa na wanajeshi wangapi kule mpaka ikupe uhalali wa kuamini jeshi letu dhaifu? Punghza ujuaji kijana, huyo bwege mnayehisi ana maarifa na uwezo mkubwa kijeshi anaijua nguvu ya JWTZ na hawezi kuthubutu kutujaribu.
Pia ujue uwezo wa kijeshi unapimwa kwa mambo mengi, silaha/zana za kijeshi huja mwishoni kabisa na huwa ni siri kwa nchi nyingi za Kiafrika.
Ndo ulipime jeshi kwenye task ile ya Congo iliyojumuisha majeshi ya nchi mbalimbali za SADC? Kwani tulikuwa na wanajeshi wangapi kule mpaka ikupe uhalali wa kuamini jeshi letu dhaifu? Punghza ujuaji kijana, huyo bwege mnayehisi ana maarifa na uwezo mkubwa kijeshi anaijua nguvu ya JWTZ na hawezi kuthubutu kutujaribu.
Pia ujue uwezo wa kijeshi unapimwa kwa mambo mengi, silaha/zana za kijeshi huja mwishoni kabisa na huwa ni siri kwa nchi nyingi za Kiafrika.
Hatuwezi poteza wanajeshi wetu kwa ujinga wa wakongo, mwenyeji anakimbia vita wewe mgeni unasubiri nini?Heheheh Ndio ni kweli maana Congo imetulizwa na SADC na SAMICO
Vimemo ni kawaida, Museven ana mtoto wake jeshini pale Uganda na cheo kampa, Kagame ana mtoto wake jeshini na sasa ana cheo kikubwa, kwahiyo acha hoja dhaifu muhimu anazo sifaKwa sisi ambao tunaingizana kwa vimemo? Kuwa serious basi.
Rwanda ni Israel ya Afrika kwenye mdomo, Mnyarwanda hana akili ni uhalifu tu alionao. Kinachoipa Rwanda faida ni kitendo chake cha kukubali kutumika kuiba hapo Congo DRC wala hana cha zaidi.