JWTZ kufanya maonyesho ya ukakamavu kwenye Sherehe za Kitaifa kumepitwa na wakati

JWTZ kufanya maonyesho ya ukakamavu kwenye Sherehe za Kitaifa kumepitwa na wakati

Hii nchi kila kitu kimekaa kimaigizo kuanzia uongozi wa kisiasa mpaka kijeshi.

Jeshi la nchi hii linalochojua ni ubabe wa kupiga watu wanaovaa hata chupi zenye mabaka ya kijeshi na kupiga raia wakidundwa na wao kwa kuchukua wake za watu mitaani.
 
Kwa hiyo mkenda vitani mtakuwa mnapasua mawe na mbao kwa vichwa 😄

Ova
Nyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?

Mnalala mnaamka salama siku kucha mnajambiana na mademu zenu huko hamjui kwamba kuna watu wanakesha ili ninyi muwe safe au unafikiri wanafanya maigizo.

Hata kama CCM huipendi ila linapo fika suala la JWTZ kulinda nchi wape heshima yao usiite maigizo shenzi kabisa.
 
Back
Top Bottom