92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Tulia ww kama ni mwanajeshi kajipange naona unahasira za kuvunjiwa tofali kichwani kwani huko kusiko na amani hakuna jeshi? Au wao hawavunji mbao za mchongoNyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?
Mnalala mnaamka salama siku kucha mnajambiana na mademu zenu huko hamjui kwamba kuna watu wanakesha ili ninyi muwe safe au unafikiri wanafanya maigizo.
Hata kama CCM huipendi ila linapo fika suala la JWTZ kulinda nchi wape heshima yao usiite maigizo shenzi kabisa.