baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
I am not in the least bit impressed.
Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo kwangu hayana maana yoyote ile.
View: https://youtu.be/nE4VLXQ-bKY?si=VaXPStM2NnumYO_n
Majeshi yote yanafanya hivyo, na uwezo wa jeshi haupimwi kwa Maonyesho, mbona Jwtz Wana Successfull mission nyingi tu Congo, Comoro, Uganda etc. Compare na Nchi jirani Jwtz wapo level headed sana.