connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
OkMwamba ongeza nyama kdg
Kwenye cmnt
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkMwamba ongeza nyama kdg
Kwenye cmnt
Ova
Nyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?
Mnalala mnaamka salama siku kucha mnajambiana na mademu zenu huko hamjui kwamba kuna watu wanakesha ili ninyi muwe safe au unafikiri wanafanya maigizo.
Hata kama CCM huipendi ila linapo fika suala la JWTZ kulinda nchi wape heshima yao usiite maigizo shenzi kabisa.
Acha dharau dogo umewahi pita hata JKT angalau kwa miaka miwili ?
Sasa unataka waonyeshe skills zao zote hadharani? Hivi nyie sayansi ya majeshi na vita mnaijua?
Hao wenzenu walio toka huko kwenye kuvunja mbao si ndo wameshindwa kuokoa mateka hapo gaza dhidi ya wahuni wa Hamas mwezi wa nne huu? ,kijana acha dharau dhidi ya wanao kufanya uwe salama.
I am not in the least bit impressed.
Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo, kwangu hayana maana yoyote ile.
View: https://youtu.be/nE4VLXQ-bKY?si=VaXPStM2NnumYO_n
Unajua umezungukwa na nchi ngapi zilizokosa amani na zimejaa waasi na wewe upo hapa unatapika upuuzi bila ya hofu yoyote?
Una uhakika kwamba hawajawah kuvamia? Sema walipovamia walikua jiwe naye hajaribiwi kingese... Unafikiri watu kutupwa kwenye viroba ilikua ni uzembe? Ile ilikua message Kwa wanaowatuma.Zina waasi kutokana na tawala za kijinga zilizo kwenye nchi hizo. Kwani hizo nchi nyingine zenye waasi wana uhusiano gani na kuvunjiana matofali kichwani kwa askari wetu. Na kwa taarifa yako tushukuru tu hawajataka kuvamia hapa nchini, maana wakiamua huenda ikawa bonge la aibu. Acha vitisho vya kijinga boss.
Huko wanakokwenda kufundishwa ukomandoo wanahenyeshwa na Hamas mitaani, tunawaona wakomandoo wanaowafundisha Tanzania wakilia na kujiharia. Kwa ushahidi kabisa.Sasa unataka waonyeshe skills zao zote hadharani? Hivi nyie sayansi ya majeshi na vita mnaijua?
Hao wenzenu walio toka huko kwenye kuvunja mbao si ndo wameshindwa kuokoa mateka hapo gaza dhidi ya wahuni wa Hamas mwezi wa nne huu? ,kijana acha dharau dhidi ya wanao kufanya uwe salama.
Kuwa na heshima wewe! Tukikukamata utajamba!
Mtu asiye na akili pekee ndo atashindwa kuelewa maana ya neno sherehe wanayoyafanya ndo yanayopaswa kufanywa kwe sherehe tusijifanye tuko serious sana hadi kwenye sherehe
Una uhakika kwamba hawajawah kuvamia? Sema walipovamia walikua jiwe naye hajaribiwi kingese... Unafikiri watu kutupwa kwenye viroba ilikua ni uzembe? Ile ilikua message Kwa wanaowatuma.
Jk alitaka akiwashe mara mbili ila wakorofi waliomba poo mapema
Remember lowasa na mkasa wa ziwa Nyasa na Ile ya jk baada ya kuletewa dharau na Mr pk
Pia kumbuka bahima empire ilivyofyekwa kimya kimya
Jeshi letu lipo vizur Kwa ukanda huu wa kwetu ni vile Hawa tunaowaona mitaani wameamua kujizima data na mabapa ya k vant
Libadilike liende wapi wewe unalifahamu jeshi kuliko linavyo jifahamu lenyewe ? Wewe ni mpuuzi wa siasa taka za CCM na Chadema sio kila kitu kimekaa mlengo huo
Nenda makao makuu Dodoma kawaulize wana maajabu gani tofauti na kuvunjiana matofali au nenda kwenye kambi yoyote unayo ifahamu kawa ulize wata kufahamisha.
Ahh dada yang kipenziNunga mkono hoja.
Hatuna ubunifu. Kwanza hayo maadhimisho ya viwanjani kila sherehe ni kupoteza muda na pesa.
Watu wanaandaa matamasha hayo wajipigie pesa kiulaini. Uliza gharama za hizo sherehe kama hukuambiwa mabilioni.
Hao wenye hizo drone si ndo wako gaza wanahenyeshwa na wanamgambo wanao tumia silaha za mwaka 47?
Kijana acha dharau hao ndo wanakufanya unalala usingizi.
Achana na madogo wa humu wanatema shit wameshiba viporo basi JF ndio ulingo wao wa kutapika hawajui hata ni mambo mangapi JWTZ wamezuiaUna uhakika kwamba hawajawah kuvamia? Sema walipovamia walikua jiwe naye hajaribiwi kingese... Unafikiri watu kutupwa kwenye viroba ilikua ni uzembe? Ile ilikua message Kwa wanaowatuma.
Jk alitaka akiwashe mara mbili ila wakorofi waliomba poo mapema
Remember lowasa na mkasa wa ziwa Nyasa na Ile ya jk baada ya kuletewa dharau na Mr pk
Pia kumbuka bahima empire ilivyofyekwa kimya kimya
Jeshi letu lipo vizur Kwa ukanda huu wa kwetu ni vile Hawa tunaowaona mitaani wameamua kujizima data na mabapa ya k vant