Kazi ya jeshi sio kupindua serikali, hayo mapinduzi unayoyataka yapo kinyume na kiapo Cha mwanajeshi.
Zaman nilikua nataman upinzani uchukue nchi Ili tuone mabadiliko, Ilia nilivokuja Kujua akina lisu na Lema wanakula posho ya dollar 6000 Kwa mwez Ili watibue nchi niliwaona kumbe nao ni maboga tu
Maendeleo ya nchi nyingi za kiafrika hayatakuja Kupitia sanduku la kura Bali ni kujiondoa kwenye mfumo wa ukoloni mambo Leo
We need win win situation tufanye biashara na mataifa mengine na sio kupewa misaada