mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ugomvi wanaojua ni kugombea madem tu na ubabe wa kijinga 😄Kama mafunzo yenyewe ndio hayo ya kuvunja Bora kutokwenda
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugomvi wanaojua ni kugombea madem tu na ubabe wa kijinga 😄Kama mafunzo yenyewe ndio hayo ya kuvunja Bora kutokwenda
Hawana maajabu au sio mtusi ? Jinga kabisaHawana maajabu. Wangekuwa na maajabu tungejua.
Hahahaaa! Hivi huko Gaza hayo mambo kama ya kuvunja mbao kwa mikono yanasaidiaje?Huko wanakokwenda kufundishwa ukomandoo wanahenyeshwa na Hamas mitaani, tunawaona wakomandoo wanaowafundisha Tanzania wakilia na kujiharia. Kwa ushahidi kabisa.
Majeshi yote yanafanya hivyo, na uwezo wa jeshi haupimwi kwa Maonyesho, mbona Jwtz Wana Successfull mission nyingi tu Congo, Comoro, Uganda etc. Compare na Nchi jirani Jwtz wapo level headed sana.
Source : Trust Me Bro.Trump alitiwa hasira sana na kiduku kwa maonyesho yake,
Alivyokuwa mpumbavu awaambia US Army nao wafanye hayo maigizo, magenerali wa US Army wakamwambia akae kwa kutulia..... 🤣
Nchi inajilinda hii. Amani ya nchi hii siyo kwasabb ya jeshi. Ni aina ya watu wake. Wajinga waliojaa uoga na hofu.Nyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?
Mnalala mnaamka salama siku kucha mnajambiana na mademu zenu huko hamjui kwamba kuna watu wanakesha ili ninyi muwe safe au unafikiri wanafanya maigizo.
Hata kama CCM huipendi ila linapo fika suala la JWTZ kulinda nchi wape heshima yao usiite maigizo shenzi kabisa.
Hauwaogopi wakati huo unatumia ID feki ili usitambulike?, kwanza hata jeshi tumeenda mbali tumia utambulisho sahihi alafu uongee mbovu dhidi ya serikali uone kama ujapapaswa kalio mchana kweupe na vijana wa chama cha kijani .
Wakati wa Kikwete kulikua na mtifuano baina ya Jwtz na M23 waasi na Jwtz kufanikiwa kuwapiga labda kama umesahau.
Soma hii Hotuba ya Kikwete kuhusu Jwtz alilist mafanikio yao yote Darfur, Ivory coast, Liberia, Congo, Visiwa vya shelisheli, Uganda, Comoro etc.
Huko watu wanavaa bullet proof, risasi za kawaida haziingi wanalambwa na rpg za kupigia vifaru.Hahahaaa! Hivi huko Gaza nani mambo kama ya kuvunja mbao kwa mikono yanasaidiaje?
Mwanajeshi yeyote yule akijikuta yuko kwenye hali ya kupigana ngumi na adui ajue amekwisha.
Vitani hakuna anayepigana ngumi.
Yaani mimi mwanajeshi nimbananishe adui halafu eti tuanze kupigana ngumi wakati naweza kukutandika shaba? Abadani asilani.
Sitopoteza kabisa muda wangu kurusha mateke na ngumi. Ni shaba tu.
Hawana maajabu au sio mtusi ? Jinga kabisa
Tatizo lako umemeza kwamba Kila mkulima lazima apinde mgongoStori za kutunga tu. Mbona wanachapika na madreva bajaji.
Nimekutukana wapi wewe jinga la kitusi ?Wewe unamatatizo. Jifunze kupokea challenge. Wenzako hawajatukana ila wewe tu.
Trump alitiwa hasira sana na kiduku kwa maonyesho yake,
Alivyokuwa mpumbavu awaambia US Army nao wafanye hayo maigizo, magenerali wa US Army wakamwambia akae kwa kutulia..... 🤣
I am not in the least bit impressed.
Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo, kwangu hayana maana yoyote ile.
View: https://youtu.be/nE4VLXQ-bKY?si=VaXPStM2NnumYO_n
Nimekutukana wapi wewe jinga la kitusi ?
Wewe litusi ni lipumbavuKabila langu linahusikaje hapa?
I am not in the least bit impressed.
Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo, kwangu hayana maana yoyote ile.
View: https://youtu.be/nE4VLXQ-bKY?si=VaXPStM2NnumYO_n
Lingekuwa vizuri CCM isingekuwepo. Tuache kusifiana ujinga. Hawana la maana.Una uhakika kwamba hawajawah kuvamia? Sema walipovamia walikua jiwe naye hajaribiwi kingese... Unafikiri watu kutupwa kwenye viroba ilikua ni uzembe? Ile ilikua message Kwa wanaowatuma.
Jk alitaka akiwashe mara mbili ila wakorofi waliomba poo mapema
Remember lowasa na mkasa wa ziwa Nyasa na Ile ya jk baada ya kuletewa dharau na Mr pk
Pia kumbuka bahima empire ilivyofyekwa kimya kimya
Jeshi letu lipo vizur Kwa ukanda huu wa kwetu ni vile Hawa tunaowaona mitaani wameamua kujizima data na mabapa ya k vant
Acha tu mkuu, Kuna watu wamelewa Amani, ila hawajui wanaoisimamia hiyo Amani ni akina nani.Nyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?
Mnalala mnaamka salama siku kucha mnajambiana na mademu zenu huko hamjui kwamba kuna watu wanakesha ili ninyi muwe safe au unafikiri wanafanya maigizo.
Hata kama CCM huipendi ila linapo fika suala la JWTZ kulinda nchi wape heshima yao usiite maigizo shenzi kabisa.
Nyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?