JWTZ kufanya maonyesho ya ukakamavu kwenye Sherehe za Kitaifa kumepitwa na wakati

JWTZ kufanya maonyesho ya ukakamavu kwenye Sherehe za Kitaifa kumepitwa na wakati

Yani unavunja mbao kwa mkono halafu mbele ya kadamnasi unajiita komando?

Majeshi ya wenzetu washatoka huko kwenye huo mfumo wa kutegemea mikono kuvunja mbao.

View attachment 2870001
Hao wenzenu walio toka huko kwenye kuvunja mbao si ndo wameshindwa kuokoa mateka hapo gaza dhidi ya wahuni wa Hamas mwezi wa nne huu? ,kijana acha dharau dhidi ya wanao kufanya uwe salama.
 
Hata IDF na mosad walikuwa wanapewa promo sana lakini cha kushangaza wameshindwa kuwamaliza HAMAS ila usitumie kigezo cha hizo picha kuhukumu uwezo wa kijeshi sababu hiyo ni demonstration tu kwa tuliopita jeshi tunaelewa
 
Mlitaka wafanye nini? Mlitaka walipue mabomu live ama ? Nyie vipi nyie?

Halafu nyie mnao ponda hayo mnayo yaita magembe ( maigizo) mnafahamu chochote kuhusu sayansi ya majeshi na sanaa ya vita ( military science & the art of war?

Moja kati ya kanuni za sanaa ya vita ni " pretend to be weak when ur strong and strong when ur a weak so that u can fool ur enemies."

Hakuna jeshi lolote duniani linaweza kuweka skills zake hadharani namna hiyo.

JWTZ wapo sahihi kabisa
 
Nyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?

Mnalala mnaamka salama siku kucha mnajambiana na mademu zenu huko hamjui kwamba kuna watu wanakesha ili ninyi muwe safe au unafikiri wanafanya maigizo.

Hata kama CCM huipendi ila linapo fika suala la JWTZ kulinda nchi wape heshima yao usiite maigizo shenzi kabisa.
Unaniita dogo wakati wee ni mdogo wangu kabisa,ntake radhi bana
Dunia ya leo unavunja tofali
Na ubao kwa mkono

Ova
 
Nyie madogo ni wapumbavu sana mmezungukwa na manchi yaliyokosa amani na bado mpo safe leo mnaleta dharau kwa JWTZ ?

Mnalala mnaamka salama siku kucha mnajambiana na mademu zenu huko hamjui kwamba kuna watu wanakesha ili ninyi muwe safe au unafikiri wanafanya maigizo.

Hata kama CCM huipendi ila linapo fika suala la JWTZ kulinda nchi wape heshima yao usiite maigizo shenzi kabisa.
Acha mkwala mbuzi dogo

Wanalinda nchi kwa kuvunjiana matofali kichwani? Kazi ya ulinzi sio hisani Bali ni ajira kama zilivyo nyingine. Na huu uoga hapa nchini a.k.a amani haujaletwa na jeshi, bali uko automatically kutokana na uoga wa wananchi wa nchi hii. Usitake kutoa sifa za kijinga. Watu wanataka jeshi libadilike liachane na mambo ya kizamani.
 
Hii nchi kila kitu kimekaa kimaigizo kuanzia uongozi wa kisiasa mpaka kijeshi.

Jeshi la nchi hii linalochojua ni ubabe wa kupiga watu wanaovaa hata chupi zenye mabaka ya kijeshi na kupiga raia wakidundwa na wao kwa kuchukua wake za watu mitaani.
Hata kupiga hawawezi si yule mwenzao kapigwa hadi kufa na dereva bajaji😂😂😂 alafu wanaleta porojo mara jeshi la sita kwa ubora 😂😂😂 labda ubora wa maigizo huku mtaani mbona gwanda zinavalika kama kawa watu hawaogopi wala nn
 
Tena wanavunja tofali la mchanga kwa kichwa.

Nilidhani watatumia akili kumbe wanatumia kichwa...

Wenzetu leo wanatumia drones lakini sisi tupo bize na kuvunja mbao mwilini
 
Back
Top Bottom